Posts

Showing posts from October 6, 2016

Kizza Besigye Azuiwa Kutoka Nje Ya Nyumba Yake

Image
Kizza Besigye akizungumza na ofisa wa polisi. KAMPALA: Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Uganda, Kizza Besigye leo amezuiliwa na polisi wa Kayihura kutoka nje ya nyumba yake.   ā€¦Baada ya kushuka garini. Polisi hao wamemweleza mwanasiasa huyo kwamba wamepewa amri kutoka juu kwamba haruhusiwi kutoka nje ya nyumba yake. ā€¦Polisi wakiwa wameweka kizuizi. Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa Twitter mwanasiasa huyo ameandika: ā€œ Happening just now, Kayihura Police officers say their orders are not to allow me out of my home at all- period! Impunity at its highest.ā€ Na Leonard Msigwa/MTANDAO.