Posts
Showing posts from December 22, 2013
LINAH AAMUA KUWATOLEA UVIVU
- Get link
- X
- Other Apps
Linah Sanga maarufu kama Lina kutoka jumba la vipaji Tanzania (THT) anayetamba sasa na ngoma yake ya ‘Tumetoka Mbali’, ameamua kuwachana wale wote wanaomfuatilia nje ya muziki. Linah amekuwa ni miongoni mwa wasanii wa kike wanaovaa nguo fupi sana wawapo kwenye showz zao kitu kinachopelekea wengi kuwa na maswali na mtazamo hasi juu ya uvaaji huo. Akiongea na E-Newz ya EATV, Linah amesema kuwa mtindo wake wa mavazi unazingatia sehemu anayokuwepo na ushauri anaoupata kutoka kwa watu wake wakaribu baada ya kujadiliana nao na kuona kuwa atapendeza na atavutia zaidi akivaa hivyo. “Wakati mwingine nafikiria kuwa huwezi kumridhisha kila binadamu, kuna watu wanapenda Linah avae hivi na wengine avae vile. Sasa kuna wakati unafika inabidi inafikia hatua unaamua kwamba mimi ni wa hivi na utaelewa kuwa mimi ni wa hivi kama hutaki basi as long as unachotakiwa kunifuatilia mimi ni kazi yangu ninayofanya either unafurahi na kazi yangu au haufurahi.” – Linah .
HUU NDIO UTUMBO WA MOVIE YA RAY IITWAYO ''TWISTED''.........HABARI YA MUJINI BLOG MPYA INAYOUMBUA MAKOSA YA MOVIE
- Get link
- X
- Other Apps
kwenye scene hii anaonekana camera man kwa mbali ukiangalia kwenye viio vya nyumba io ni baada tu ya wazee wao kurudi kutoka zanzibar.... Wakati ray anaongea na mpenzi wake wa siri wakati mpenzi wake huyo akiogelea huku akimueleza ray historia yakeya maisha kwa ufupi..... Wakati ray amepigiwa simu na mwanasheria wake kwamba anatakiwa aende ili aelezwe jambo fulani alilolifanya mama yake..... picha ya upande wa kulia inaonesha ray akiongea..... na kwa nje utaona ukuta mrefu na mweupe lakini shot ya pili yani baada ya sekunde tu inaonesha yupo sehemu nyingine kabisa lakini akiendeleza mazungumzo yale yale.......
HUYU NDIYE MSANII WA KIZAZI KIPYA ALIYEAMUA KUWA MGANGA WA KIENYEJI
- Get link
- X
- Other Apps
MSANII wa zamani wa kundi la Wakilisha, Witness Mwaijaga, amesema pamoja na kufanya hip hop kwa sasa ni mfanyabiashara na mtaalam wa tiba asili zinazotumia vyakula vyenye virutubisho. Akizungumza na kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio, Witness alitoa ufafanuzi wa jinsi ulaji mbovu ulivyo na madhara kwa afya. “Siku hizi watu wengi wamekuwa wanakula vyakula vyenye cholesterol,kwa mfano mtu mwingine anaweza akawa na kansa au inaanza au mwingine anaweza akawa ana high blood pressure,hajui tatizo ni nini. Lakini mimi ninaweza nikakuelezea natural ukaelewa hiyo hali natural. Kwasababu tu kula wengine mazoezi,at the same time. Wakati mwingine kuna tatizo lingine ambalo tunalo hapa obesity, suala la ‘unene’ huku kwetu ndio kabisa kwasababu hata mafuta tunayotumia na vyakula vingi viko namna hiyo, watu wanakula nyama nyama sana na vyakula vingi vyenye cholesterol,” alisema rapper huyo. Kwa upande wa muziki, rapper huyo amesema amemaliza kurekodi vi...
HUYU NDIYE MSANII ANAYEDAI KUTO "DO" MWAKA HUU WOTE WA 2013
- Get link
- X
- Other Apps
Ni miongoni kati ya mastaa wanaotisha kwenye Tasnia ya Filamu hapa bongo Salma Jabu ‘Nisha’ aliyewahi kuingia kwenye game la muziki kwa kufuata mkumbo. ‘Nisha’ now katia fora kwa kumaliza mwaka kishujaa bila ya kuwa na mpenzi yeyote wala kushiriki tendo la ndoa ikiwa tangu alipoachana na mpenzi wake ambaye hakupenda kumtaja jina ni kutokana na busy aliyokuwa nayo mwaka 2013. “Sikuweza kukaa na kufikiria suala la mapenzi kutokana na u-busy niliokuwanao tangu nilipoachana na mpenzi wangu lakini busy yangu ya kazi pia ndio ilionipa mafanikio niliyonayo hivyo namshukuru Mungu kwa kunilinda mwaka mzima “- Nisha.
KAULI YA MANJI BAADA YA KIPIGO CHA JANA TOKA KWA SIMBA CHA BAO 3-1
- Get link
- X
- Other Apps
Mwenyekiti wa Yanga Bw.Yusuf Manji akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, kushoto ni makamu mwenyekiti Clement Sanga Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Bw. Yusuf Manji ameaomba wanachama, wapenzi na washabiki wasivunjike moyo kwa matokeo ya jana ya mchezo wa kirafiki dhidi ya ya Simba SC, mechi iliyochezwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga makutano ya mitaa wa Twiga/Jangwani Manji amesema anajua wanachama, na wapenzi wameumia sana hakuna aliyefurahishwa na matokeo ya kufungwa mabao 3-1 lakini isiwakatishe tamaa uongozi unafanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza. "Mechi ya jana ilikuwa ni bonanza, ndio maana hapakuwa na timu iliyopata pointi katika mchezo huo zaidi ya kusherehekea, sisi tumepata zawadi ya milion 98 wakati wenzetu Simba SC wamepata milion 1, hivyo zaidi sisi tumeendelea kuimarika kiuchumi zaidi wenzetu wameishia kusherehekea...
WIVU WA MAPENZI WASABABISHA ANG'ATWE SIKIO NA KUNYOFOLEWA KABISAAAA
- Get link
- X
- Other Apps
Hivi karibuni hapa jiji mwanza mkazi mmoja wa Igoma Aliefahamika kwa jina moja la Consolata amepigwa na mmewe na kung’atwa sikio na mtu anaedaiwa kuwa ni hawara wa mumewe bi consolata amesema alikuwa akigombana na mumewe ndipo hawara yake huyu alipokuja na kusema ngoja tukuonyeshe maana hutujui ndipo alipong’atwa sikio na kuondolewa sikio zima Mara baada ya kufanyiwa ukatili huo alienda kulipoti katika kituo cha polisi lakini kwa madai yake ni kwamba watuhumiwa waliachiwa huru kwa kuwa walikuwa wakijuana na baadhi ya askari waliokuwepo kituoni .Ndipo bi consolata alipochukua hatua za kutafuta wasamalia wema kama waandishi ili waweze kumsaidia aweze kupatiwa matibabu kwani ni mgeni jiji mwanza toka kigoma na alikuja mwanza kwa ajili ya kumsalimu mumewe. Baada ya kuzungumza na waandishi alipelekwa kwenye taasisi ya kivulini ambao mpaka sasa wanampatia huduma ya matibabu ukatili huu kiukweli ni aibu kubwa kwa taifa letu
MAN UNITED YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI ENGALND
- Get link
- X
- Other Apps
On the run: Adnan Januzaj celebrates after scoring for Manchester United against West Ham Back of the net: Januzaj puts Manchester United two up after 36 minutes Composed: Danny Welbeck fires past West Ham goalkeeper Adrian to open the scoring for Manchester United Looking to the fans: Welbeck celebrates his opening goal against West Ham On target: Ashley Young scores Manchester United's third goal at Old Trafford Contrast: Adrian is on his knees in dejection as Young celebrates with his United team-mates in the background No holding back: Januzaj clashes with West Ham's Mark Noble (left) as James Collins looks on Catch me if you can: Januzaj dribbles with the ball as he is closely followed by West Ham players Arm up: West Ham's Ravel Morrison (left) and Manchester United's Wayne Rooney battle for the ball Third leg: Patrice Evra's leg gets a little too close for Mohamed Diame...
MAMA MZAZI NA MWANAYE WAFUMWA WAKINYONYANA NDIMI a.k.a DENDA
- Get link
- X
- Other Apps
DIAMOND ATOA MSAADA KWA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU, BUGURUNI
- Get link
- X
- Other Apps
Maisha yetu wengi ni ya mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta..nimekuwa bize mwaka mzima ..lakini siku yangu ya leo baada ya Swalt Ijumaa niliitumia kujumuika na watoto waishio kwenye mazingira magumu kilichopo Buguruni ambapo nilipata wasaa wa ..kula nao pamoja ,kucheza..kubadilishana mawazo. .lakini pia kutumia nafasi hiyo kuwaonyesha kwa mara ya ,kwanza kabisa,video yangu ya number 1 remix niliyoifanya na Davido . .nimefanya hii kwa sababu ,hawa ndio mashabiki wetu wakubwa. mara nyingi show zetu tunafanya usiku..mda ambao watoto hawaruhusiwi na ukizingatia watotot hawa ,wanaishi katika mazingira ambayo hawawezi kuhudhuria maonyesho yetu hivyo leo nimeamua kwa mara ya kwanza niwaonyeshe wao kwanza,kabla sijaisambaza kwa wananchi wote...lingine la mhimu ni kwamba..mwezi huu tarehe 25..nimeandaa onyesho maalum ...