Posts

Showing posts from January 10, 2014

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI ZILIZOTANGAZWA

Program Finance & Administration Officer - 25 Positions Ref No WVT/P&C/F14/11 Job Title: Program Finance & Administration Officer (25 Positions) Reports to: Administratively to Program Development Coordinator, Technically (Matrix) to Senior Cluster Accountant Location: Lake Zone, Northern Zone, Kagera Zone, Central Zone and Kigoma Zone. Purpose of the Position To provide Financial Management and Administrative support to the Program as per WV policies and procedures. Major Responsibilities: 1. Prepare internal and external disbursement according to World vision operating policies and GAAP and submit them to the cluster office for payment. Also ensure that all such payment requests are within budget, adequately supported and in accordance to WV Tanzania approval limits.       2. Handle petty cash float of the program, ensure all payments are properly approved, re imbursements done timely; all cash collections are recorded and timely dep...

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO MKOANI MBEYA BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA , ENEO LA MLIMA NYOKA.

Image
 Miili ya Marehemu ikiwa imetelekezwa katika mlima nyoka  Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya  Kiatu vya mmoja wa marehemu aliye uawa Picha na Ezekiel Kamanga Mbeya yetu Blog

KAULI YA AWALI KUHUSU ONGEZEKO LA BEI ZA UMEME

Image
Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), katika kikao chake cha tarehe 10 Desemba 2013 pamoja na mambo mengine, ilitoa maamuzi ya ongezeko la bei za umeme kwa viwango mbalimbali kwa makundi mbalimbali ya wateja hatua ambayo itaongeza mzigo wa gharama za maisha kwa wananchi na itaathiri uchumi wa nchi. Maamuzi hayo yamefikiwa kufuatia tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa EWURA. TANESCO ilipendekeza kuongeza bei kwa asilimia 67.87 kuanzia tarehe 1 Oktoba 2013, asilimia 12.74 kuanzia tarehe 1 Januari 2014 na asilimia 9.17 kuanzia tarehe 1 Januari 2015. Vilevile TANESCO waliomba kuidhinishwa kwa kanuni ya kurekebisha bei ya umeme kulingana na mabadiliko ya bei za mafuta, mfumuko wa bei na mabadiliko ya thamani ya shilingi ya kitanzania. Maamuzi hayo ya Bodi ya EWURA ambacho ni chombo cha Serikali yamethibitisha kwamba Waziri wa Nishati na Madini...

KWA WAPENZI WA MANCHESTER UNITED..HAWA NDO WACHEZAJI WANAO TAKIWA KUONDOKA NA WANAO TAKIWA KUBAKI..KILA MMOJA NA SABABU ZAKE

Image
   :ROBBIE SAVAGE HUYU JAMAA KAFUNGUKA KWAMBA MAN UTD TUNAHITAJ £200m KUIJENGA TIMU PIA AKAORODHESHA WACHEZAJ WANAOTAKIWA WASEPE NA SABABU ZAKE NOW WATU WANAJADILI KAMA YUPO SAHIHI AU HAPANA EMBU PITIA SABABU ZAKE UMUONE ASEMACHO MIMI BINAFSI NAMUUNGA MKONO JAMAA 100% Chris Smalling: I am not convinced by him. His passing is not good enough for a Manchester United player. He should go. Did you know? Smalling has given the ball away seven times per game on average this season and his pass completion rate stands at 80%. Only Rafael (76%) fares worse among United's defenders Alexander Buttner : I'm surprised he is there in the first place. He is not good enough to be a Manchester United player and has not played enough games for that reason. Did you know? Since joining Manchester United at the beginning of last season, Buttner has completed just two of his 25 open crosses in the Premier League. Fabio : He is not as good as...