Posts

Showing posts from September 26, 2013

Mwandishi wa Mwananchi Morogoro afariki

Image
Mwandishi wa gazeti la Mwananchi mkoani Morogoro, Venance George, amefariki dunia muda mfupi uliopita. Venance aliugua ghafla na kulazwa katika hospitali ya AghaKan Morogoro na amefariki dunia kutokana na kusumbuliwa na tumbo. Habari zilizoifikia Tajoa , zinaeleza kuwa mipango ya mazishi inaandaliwa na kwamba umma utajulishwa phars blog inatoa pole kwa tasnia, familia ya Venance na zaidi sana Mwananchi kwa kupoteza mwandihsi mahiri. Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina lake lihimidiwe Chanzo: Tanzania Journalists Alliance (TAJOA)

VYAMA VYA UPINZANI VYAENDELEA NA MKUTANO WA KATIBA MPYA ZANZIBAR HAPO JANA

Image
Mshikamano: Wenyeviti wa vyamba vya upinzani nchini wakishikana mikono kuonyesha mshikamano kabla ya kuanza mkutano kwenye Uwanja vya Kibandamaiti, Zanzibar  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto) akiteta jambo la Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, Joseph Mbatia wakati wa mkutano wa kuungwa mkono na wananchi katika upatikanji wa katiba mpya. Umati: Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kutafuta katiba mpya. Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia wananchi wakati wa mkutano wa kuungwa mkono na wananchi katika upatikanaji wa katiba mpya. Lipumba akisalimiana na Mbowe.Kwa hisani ya Global Publishers Blog

DAKTARI FEKI WA KCMC APANDISHWA KIZIMBANI

Image
MTU anayetuhumiwa kuwa daktari bandia aliyekamatwa akijiandaa kufanya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC leo atapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Moshi kusomewa shitaka kwa mara ya kwanza. Mtuhumiwa huyo, Alex Sumni Massawe, alinaswa Septemba 5, mwaka huu majira ya saa 5 asubuhi katika hospitali akidai kuahidi kumfanyia upasuaji mgonjwa aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi. Kabla ya kukamatwa kwa Massawe, mama mzazi wa kijana aliyekuwa akitakiwa kufanyiwa upasuaji, Pamvelina Shirima, alikutana na daktari huyo katika baa maarufu iliyopo eneo la Dar Street na kumtoza sh 200,000 akidai zitatumika kuharakisha mwanae afanyiwe vipimo vya upasuaji. Alex anadaiwa alitaka kumfanyia upasuaji kijana, Makasi Tipesa, mkazi wa Manispaa ya Moshi ambaye amekuwa akisumbuliwa na  maradhi ya ngozi kwa muda mrefu sasa. Tukio hilo lililoongeza hali ya wasiwasi kwa  wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika hospit

JE,WAJUA KUWA KUFIKIA KILELE KWA MWANAMKE KUKO HIVI...!!!!

Image
Mambo mengi yanayohusu mwanamke yameandikwa na wanaume.Jambo hili limesababisha kuwepo na taarifa nyingi za kutia mashaka kuhusu mwanamke. Dr Marie Robinson ni mwanamke aliyeolewa.Katika utafiti wake juu ya mwanamke kufika kilele ktk tendo la ndoa anasema hivi Kufika kilele ni ule muda ambao kushikamana kwa msuli na akili huzuka ghafla mpaka kufikia ambapo haiwezekani kwa mwili kuvumilia. Huku mwanaume akiendelea kusukuma kwa nguvu hali ya raha ya mwanamke huongezeka sambamba na msukumo wa kiuno cha mwanamke. Mwanamke hujikaza kupita kiasi,mpaka pale ambapo huona haiwezekani kuendelea,,maana wakati huo tayari mwili mzima hutikiswa kwa mawimbi ya furaha. Hapo mwanamke huonekana usoni,mikononi,miguuni,ktk kiwiliwili na ndani kabisa ya nyayo za miguu. Hayo yote humfanya mwanamke bila kujijua anafanya nini au anatamka nini,kichwa chake hurudishwa nyuma,na sehemu ya chini huinuka juu katika juhudi za yeye kutaka aingiwe zaidi na zaidi.Ikifika hatua hii wanawak

PRESIDENT DR. KIKWETE MEETS MCC CEO AND OMAN’S FOREIGN MINISTER IN NEW YORK

Image
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets the CEO of the MCC Mr.Daniel Yohannes in New York this morning. President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets and hold talks with the Foreign Minister of the Sultanate of Oman Mr.Yousef Bin Alawi Bin Abdullah in New York this morning. Zanzibar’s Minister for Labour, Economic Empowerment and Cooperation Mr.Haroun Ali Suleiman meets MCC Chief Executive Officer Mr.Daniel Yohannes in New York this morning (photos by Freddy Maro)

BALOZI MARMO ASISITIZA USHIRIKIANO KATI YA WATANZANIA WAISHIO CHINA

Image
Balozi akiwa na baadhi ya wahudhuriaji. Balozi wa zamani wa Tanzania nchini China Mh Philip Marmo ambaye amehamishwa kituo cha kazi na kupangia Ujerumani, ameagwa rasmi siku ya Jumatano tarehe 26,9,2013 hapa Beijing. Hafla hiyo ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wafanyakazi wa Ubalozi, Watanzania waishio China, viongozi mbalimbali kutoka serikali ya China pamoja na marafiki mbalimbali wa Kichina. Balozi akiwa na baadhi ya wageni waliohudhuria sherehe hiyo Balozi Marmo ambaye anatarajia kuondoka leo kuelekea kwenye kituo kipya cha kazi huko Berlin Ujerumani, aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini China mwaka 2012, katika kipindi chake kama Balozi ameweza kunafinikisha mambo mengi, kwa mfano; kuongezeka kwa wawekezaji wa Kichina walioenda kuwekeza Tanzania, kuongezeka kwa miradi ya kimaendeleo kati ya Tanzania na China, kuongezeka kwa watalii wa Kichina walioenda kutalii Tanzan

MAMA ANASWA AKIWA AMEMBEBA KWA MBELEKO MTOTO WA MBUZI MGONGONI HUKU AKIKATIZA MITAA.....WATU WAPIGWA NA BUTWAA NJIA NZIMA...!!

Image
Na Rashid Mkwida — Katika hali isiyozoeleka, mwanadada huyu alikutwa na kamera ya Mkwidna blog katika mitaa ya Jijini Dar es salaam akihaha na mwanambuzi mgongoni huku mwanambuzi huyo akilia  mee meee !!  Mwanadada huyo alilazimika kumbembeleza kwa  kujaribu  kumnyonyesha mwanambuzi huyo aliyekuwa akilia kwa sauti kiasi cha kuwashangaza wapita njia..  Kuna wakati mwanambuzi huyo alitaka kuchoropoka katika mbeleko ya mwanadada huyo lakini mwanadada huyo alijitahidi kuifunga vyema mbeleko yake ili mwanambuzi huyo akae vyema, haikufahamika mara moja mwanadada huyo alikuwa akimpeleka wapi mwanambuzi huyo.

MAGARI MANNE YAGONGANA NA KUSABABISHA VIFO MBEYA

Image
          WILAYA YA MBEYA VIJIJINI – AJALI  YA MAGARI MANNE KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO.   §    MNAMO TAREHE 26.09.2013 MAJIRA YA SAA 06:45HRS HUKO KATIKA MTEREMKO WA PIPE LINE INYALA BARABARA YA MBEYA/IRINGA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI MKOA WA MBEYA. GARI T.605 AXX /T.480 CAX AINA YA  SCANIA LORI LIKITOKEA NCHINI ZAMBIA KUELEKEA DAR – ES SALAAM LIKIENDESHWA NA DEREVA WILSON  MACHA, AKIWA NA TINGO WAKE JUMA S/O SALEHE WOTE WAKAZI WA DSM [AMBAO KATIKA AJALI HIYO WOTE WAMEFARIKI DUNIA] LILIGONGA KWA NYUMA GARI T.548 BLY/ T.974 BVN AINA YA  SCANIA LORI LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA SAMWEL  ARON, MIAKA 30, MBENA, MKAZI WA SINZA, KISHA GARI HILO LILILIGONGA GARI T.876 BKV/T.465 BQU AINA YA  IVECO LORI AMBALO LILIKUWA LIMEEGESHWA PEMBENI YA  BARABARA LIKIWA LIMEHARIBIKA, LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA SAMWEL  KASUSU, MIAKA 37, MJITA, MKAZI WA GONGO LA MBOTO DSM. §    AIDHA GARI HILO  T.605 AXX /T.480 CAX LIKIWA LIMEPOTEZ

ANGALIA PICHA JACKLINE WOLPER AIGIZA KAMA MTOTO WA RAIS KATIKA FILAMU MPYA HUKU SALHA ISRAEL AKIWA MPAMBE WAKE

Image
Wolper akionyesha swaga zake kama mtoto wa Rais ambapo bado kujulikana ni nani amecheza kama baba yake Wolper yaani Rais mwenyewe. Wolper na Salha Israel Jackline Wolper na Salha Israel ambaye ni Miss Tanzania 2011 wanakuja na filamu mpya inayoandaliwa na RJ Company. Katika filamu hiyo ambayo jina lake bado kujulikana Wolper ameigiza kama mtoto wa Rais huku Salha akiigiza kama mpambe wa Wolper na rafiki yake wa karibu. Wolper ambaye ni moto wa kuotea mbali Swahiliwood kwasasa katika filamu hiyo anaonekana kuwa na walinzi(bodyguards) wanaomlinda sambamba na mpambe wake Salha ambaye anatarajiwa kung'ara zaidi na filamu hii baada ya kuanza safari yake ya uigizaji katika Bad Luck. Angalia baadhi ya picha wakiwa location............. Wolper katikati akiwa na Salha na walinzi wake akiwemo Walter de Ngonde mwenye upara

LADY JAYDEE ROCKS MTOKO DESIGNS BY SALIM ALI, COMING UP WITH NEW PROJECT WITH FALLY IPUPA, ACTOPIZZO AND M.I

Image
East African popular singer Lady Jaydee likes to support local designers by wearing their products and one of her favorite Tanzanian fashion designers seems to be Salim Ali of Mtoko Designs. Jaydee has been rocking Mtoko designs and yesterday the diva did it again and looked fresh. The singer is in Nairobi, Kenya. She and other African musicians namely Fally Ipupa(Congo) Actopizzo(Kenya) and M.I(Nigeria) are expected to come up with big project soon. Look photos below... If Jaydee supports local designers why not you?