Posts

Showing posts from June 8, 2014

Hundreds of naked bike enthusiasts have swarmed through Manchester city centre in a mass show of cycling solidarity.

Image
At 7pm on Friday the crowd of bare bikers left All Saints Park on Oxford Road to streak through the city streets – causing crowds of onlookers to stop and stare open-mouthed, reports the Manchester Evening News. To wolf-whistles and car horns the crowd of male and female cyclists – some with environmental slogans emblazoned across their backs – rode around the city centre before heading back to where they began. The bizarre annual event, part of World Naked Bike Ride Day, is now in its ninth year. Organiser Sean Fitton said there were more than 200 participants for the 2014 event – double last year’s turnout. It was amazing he told the MEN. There were a lot more people here so it was just huge. Nice weather certainly helped for a start. I didn’t do that much promotion so there must have been an awful lot of word of mouth going on. The peaceful event – mirrored the world over – gave after-work drinkers an eyeful as they soaked up the evening su...

MREMBO ANAYEDAIWA KIPIGA PICHA ZA UTUPU ZA MBUNGE AFUNGUKA NA KUTOA YA MOYONI

Image
Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa   Ford   na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni. Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito. Hata hivyo picha hizo zinatia shaka kuwa sio halisi ni za kutengenezwa ingawa hatuna uhakika kwa asilimia zote kwasababu msichana anayedaiwa kuwa Shamsa   Ford   ana umbo tofauti na la star huyo, Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo anaonekana kuwa na umbo namba nane. Jana baada ya kuona picha hizo ambazo zimeenezwa hasa kwenye pages za kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa Chadema Swahiliworldplanet  ilimtafuta Shamsa na kumueleza kila kitu na kwa kujiamini Shamsa alisema sio zake hizo picha zimetengenezwa na pia msichana anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura na akasema anajiheshimu sana na ana familia yake asingeweza kufanya jambo kama hilo, alipoulizwa je anafahamian...

BIBI HARUSI MTARAJIWA AKUTWA GETO KWA JAMAA AKILIWA URODA

Image
Dada huyu ameharibu ndoa yake mwenyewe na kujikuta anajuta, zikiwa zimebakia wiki mbili tu kufanya kufanya harusi  mpango ulivurugika baada ya picha za uchi ya huyu dada kunaswa akiwa getoni kwa jamaa akiwa amejiachia uchi wa mnyama akicheki TV. Tunaposisitiza kuwa michepuko haifai watu wanatuchukulia kama wajinga, wewe unajua kabisa ulikuwa na mwanaume fulani  na sasa umepata mchumba kwanini usiende ukampigia magoti na kumweleza ukweli akutunzie siri kwa kuwa tayari umepata mchumba? Haya ona sasa maji yashamwagika.       BOFYA HAPA KUONA PICHA YA UCHIII

YANAYOJIRI KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL

Image
Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.  Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake. Sauda akilia kwa uchungu.

PICHA ZA MBUNGE JOSHUA NASSARI ALIVYOFUNGA NDOA YA KIHISTORIA HII JIJINI ARUSHA

Image
Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto. Sherehe hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana siku ya leo ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa na wananchi wote wa Arumeru Mashariki ambao wamepiga ‘mpunga’ wa kutosha na vinywaji hadi kila mtu akaondoka akisema ‘Nassari ameacha historia’.  

ANGALIA PICHA SHOW KUBWA YA KILI TOUR KAHAMA JANA

Image
  MWONEKANO WA STAGE NA JINSI  KAHAMA WALIVYOKUWA WANASHANGWESHEKA.   HAPO SASA NDIPO SHOKA ILIPOUNGUA MPINI UKABAKI.   BIA BUREEEEEEEE KWA GETI UKIINGIA TU. KAZI NA DAWA   JAMAA WASHADAKA ZAO MAPEMAAA   A

SENTENSI ALIYOITOA MC WA MTV MAMA INAYO MUHUSU WEMA SEPETU NA WANAWAKE WALIOHUDHULIA TUZO ZA MTV

Image
Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like Miley Cyrus.(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA. Watu wenye maumbo kama Wema Sepetu na wanawake wengi wa huko nchini South Africa achilia mbali wageni waaalikwa kutoka nchi mbali mbali za africa, kwa jinsi walivyo umbika kwa asili ya maumbo yao ya ki-africa, yalimfanya hadi MC ambaye ndiye mchekeshaji muigizaji maarufu huko hollywood maarufu kama Marlon Wayans, ashundwe kujizuia na kutamka maneno kama hayo hadharani.

IBADA YA KIISLAMU KUFANYIKA VATICAN ( MAKAO MAKUU YA KANISA KATOLIKI ) KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA

Image
Kwa mara ya kwanza katika historia, sala na mafundisho kutoka kwenye Quran yatasikika Vatican Jumapili, ambako ni makao makuu ya kanisa katoliki duniani. Uamuzi huo umefanywa na Papa Francis ikiwa ni hatua ya kutengeneza mazingira ya amani kati ya waisrael na wapalestina. Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani aliwaalika rais, Shimon Peres na rais wa Palestina Mahmoud Abbas kwenda Vatican pale alipozitembelea Palestina na Israel hivi karibuni. Kwa mujibu wa Times of Israel, marais wote wawili wamekubali mualiko huo. Msemaji wa ikulu ya Israel ameeleza kuwa watasindikizwa na viongozi wa dini za kikristo na kiislam. Kwa mujibu wa Associated Press, Papa Francis amesema kuwa kutakuwa na maombi ya jioni jumapili hiyo pale watakapokutana na kwamba yatalenga kusaidia amani kati ya matakwa ya wapalestina na waisrael katika nyanja zo te.

MUIGIZAJI MKONGWE MZEE SMALL AFARIKI DUNIA

Image
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

DIAMOND & WEMA WAFUNIKA RED CARPERT MTV

Image
Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. Picha na mtandao