Posts

Showing posts from January 30, 2015

Baby Madaha: Naota nafanya mapenzi kila siku

Image
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.    Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na mpenzi.   “Mwenyewe anasema ni hali inayomtesa sana, asubuhi akiamka anakuwa amechoka na muda mwingi anakuwa hana hamu ya kuwa na mpenzi,” kilidai chanzo hicho.   Baada ya kupata ‘tipu’ hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Baby Madaha, alipopatikana alisema: “Ni kweli ndoto za kimapenzi zinanitesa sana na huwezi amini nimekuwa nikiota nafanya mapenzi na mwanaume mwenye sura ya Ronaldo (Mwanasoka wa kimataifa anayechezea Timu ya Real Madrid).

Mh.Mbatia: Jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake

Image
Serikali imeshauriwa jeshi la polisi lifanyiwe marekebisho ya kimfumo ili kuboresha utendaji wake ambao kwa sasa unalalamikiwa kwa sehemu kubwa na wananchi kwa kukiuka haki za binadamu.   Akizungumza jana mjini Dodoma katika kuhitimisha hoja kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa wa chama cha CUF, Prof Ibrahim Lipumba na wanachama wake,Mbatia alisema kuwa kitendo hicho kilikiuka haki za binadamu ikiwemo wanawake kudhalilishwa kijinsia.   Mh. Mbatia emeongeza kuwa ili chaguzi zijazo ziwe za amani na utulivu ameishauri serikali kubadilisha sera za vyama vya siasa na utawala pamoja na mfumo wa jeshi la polisi kuendeleza amani na utulivu ambavyo kwa sasa vinaonekana kuanza kutoweka.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Anusurika Kufa

Image
Msafara wa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajab Rudenge umepata ajali katka eneo la Msavu barabara ya Morogoro Iringa majira ya saa tisa alasiri. Katika ajali hiyo Meya wa Manispaa ya Morogoro Amily Nondo na mwaandishi wa habari wa ITV wamejeruhiwa vibaya na wanaendelea na matibabu katika hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro. Wengine walio jeruhiwa katika ajali hii ni pamoja na Dereva wa Meya na mwandishi wa habari wa Tbc. Tupe Maoni Yako

Shilole aomba radhi kwa kumdunda Nuh Mziwanda .......Nuh naye kasema yupo tayari kupigwa mpaka AKOME!!!

Image
Baada ya Shilole  kumchapa vibao mchumba wake Nuh Mziwanda, Shilole amelazimika kuomba radhi. Shilole amewaomba radhi mashabiki wake kwenye mtandao wa Instagram kwa kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika:   “ Huyu hapa mjanja wangu mimi, daah nimekamatika hapa, na naamini ni mwanaume sahihi kwangu maana hawezagi kurusha hata ngumi japo namchokozaga mie mjeuri tu, mnao muhandama mme wangu mmeshindwa, kugombana ni kawaida sana kwenye mapenzi na kama nliwaudhi mashabiki wangu mnisamehe mie nampenda mme wangu.”   Naye Nuh Mziwanda aliandika: Mwanaume lijali aliekamilika ampigi mpenzi wake wala kurudishia kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake.naamini kwenye mapenzi ya kweli wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekup rukhsa nipige mpaka nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki wangu pamoja sana .#zimaTaa sie tayar

Baba AJIUA Baada ya kuona picha za Uchi za Binti yake

Image
Wazazi wamekua na nafasi kubwa sana katika malezi ya watoto wao hata wakati  wanapokuwa watu wazima lakini baba huyu kutokana na upendo kwa mwanaye aliamua kujiua baada ya kuona picha za mtoto wake alizopiga akiwa mtupu katika jarida la Playboy nchini Romania.     Loredana Chivu aliamua kuweka picha hizo akiwa amepiga katika staili tofauti katika mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo baba yake baada ya kuziona alimkana mwanaye huyo. Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror , msichana huyo akisimulia kwa machungu baada ya kifo cha baba yake alisema hakutegemea kama ipo siku baba yake angekasirika kiasi cha kujitoa uhai. Tupe Maoni Yako

NAPE AANZA AMSHA-AMSHA YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA

Image
 Wananchi wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye leo kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma mjini Songea leo, alipowasli kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM ambayo inafanyika Jumapili hii, Kitaifa mjini Songea kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.  Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya CCM mkoa wa Ruvuma leo kumpokea Nape  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili leo mjini Songea   Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili leo mjini Songea   Katibu wa NEC, Itikadi na U...

ZARI MPENZI MPYA WA DIAMOND PLATNUM AONYESHA MAGARI YAKE YA THAMANI YA JUU==>>WEMA SEPETU TUPA KULEEE

Image
Going by the look of things, Zari Hassan is by far one of the richest socialites in East Africa. Her dating and relationship records suggest and show links with top A-class celebrities which explains the possible root of her wealth. Anyway, the lass who has managed to completely woo Diamond Platnumz recently shared photos of her parking lot, raising eyebrows because of the posh and exorbitant vehicles in it. Check them out.

Baada ya kufikisha miaka 40 na hakuna aliye jitokeza hata kumchumbia, aamua kujioa mwenyewe

Image
Yasmin Eleby hakupata mchumba wa kumuoa mtu ambaye alitaka awe mume wake atakapofikisha miaka 40--kwa hivyo akafanya kitendo ambacho kimewashangaza wengi, aliamua kujioa mwenyewe.  Kwa mujibu wa mtandao wa MySanAntonio.com ,Eleby aliahidi kwamba ikiwa hatapata mchumba wakati atakapokuwa ametimiza miaka 40, basi atafanya harusi ya mtu mmoja yaani atajioa ili kusherehekea miaka yake 40. Duru zinasema kuwa mwanamke Eleby alifanya harusi yake mwenyewe katika makavazi ya Houston akiambatana na jamaa na familia yake na wageni wengine waalikwa. Kwa sherehe hii, dadake Eleby ndiye aliendesha sherehe hio, kwani ni kinyume na sheria kwa mtu kujioa mwenyewe. Harusi ya kawaida ni kati ya watu wawili. Katika picha za kanisani sherehe ilionekana kuwa ya kawaida bila ya mchumba. Kulingana na John Guess Jr afisaa mkuu wa makavazi hayo, sherehe hiyo ilionekana kuwa bila tashwishi na kuonekana kama jambo la kawaida kwani makavazi hayo huwakumbatia watu wa jinsia mbali mbali...

MKASA MZIMA WA YULE MAMA ALIYEWANYONGA WATOTO WAKE WAWILI WA KUWAZAA KWA UCHUNGU NA KUWAFUKIA NDANI KWAKE:

Image
BADO hali ni tete kufuatia mwanamke mmoja, Zuhura Sudi (26), mkazi wa Mtaa wa Utusi Kata ya Chemchemi Manispaa ya Tabora kudaiwa kuwaua kwa kuwakaba shingo watoto wake wawili, Mwamvua (6) na Sudi Mrisho (miezi saba) kisha kuwazika kwenye mashimo mawili ndani ya nyumba. Mwanamke  ( Zuhura Sudi)  anayetuhumiwa kuwaua watoto wake. Tukio hilo ambalo limeishangaza nchi hasa kufanywa na mama mzazi ambaye anaujua uchungu wa kuzaa, lilijiri Jumapili usiku ndani ndani ya nyumba ya mwanamke huyo. SIKU MOJA KABLA Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika, siku moja kabla ya tukio, mwanamke huyo ambaye ni mtata kiasili alionekana akicheza na watoto wake na watoto wa jirani huku akionesha uchangamfu mkubwa. “Kama wale watoto wake wangejua mama yao mzazi ndiyo safari ya kifo chao naamini wasingemchangamkia mama yao. “Walicheza kwa amani, kwa upendo. Kumbe mama ana mahesabu yake. Haiwezekani leo niambiwe kuwa mawazo ya kuwaua watoto wake aliyapata ghafla,” alise...