Posts

Showing posts from February 24, 2014

Utafiti: Busu latajwa kama siri kuu ya uhusiano wenye furaha

Image
By phars Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa Marekani, siri ya ndoa/uhusiano wenye furaha ni busu na kusema ‘Nakupenda’ mara 10 kwa wiki pamoja na kwenda ‘out’ au date mara tatu kwa mwezi. Utafiti huo uliofanywa kwa wanandoa 1000, uligundua pia kuwa surprise 10 za kimapenzi na mazungumzo ya kina na ya kueleweka 10 kila mwezi ni chanzo cha uhusiano thabiti. Kuwa na hobby tatu au interest zinazofanana na kwenda likizo mara mbili kwa mwaka ni miongoni mwa mambo yanayotakiwa kwenye uhusiano. Kwenye utafiti huo pia imebainika kuwa siri ya ndoa kamilifu ni kukubaliana udhaifu wa kila mmoja, kuaminiana na muhimu zaidi kuwa tayari kusema samahani. Kuwa na muda mwingi wa pamoja, kuwa marafiki wa dhati na kuweza kufurahia pamoja ni miongoni mwa mambo yaliyotajwa pia kwenye orodha hiyo. Msemaji wa mtandao wa OnePoll.com, uliofanya utafiti huo alisema: Kila mtu anaweza kuoa/kuolewa lakini inahitaji kujitoa sana ili kufanya ndoa iwe kamilifu.” Utafiti huo pia ulibaini kuwa ndoa kami

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA ( TRA )

Image
Manager Internal Affairs Officer-Security Purpose of the Job -To assist the Head of Internal Affairs Department to oversee, administer, coordinate and ensure corporate security. -Major Activities of the Job. -Develop and enforce security policy, standards, guidelines and Procedures. -Prepare security operational plans and ensure its successful implementation. -Analyse security risk assessment and report the findings to the Head of department for Management attention. -Develop, implement and administer incident response and protection programmes for the Authority. -Manage security personnel and monitor performance of outsourced security firms. -Provide technical support and devise specific strategies and actions to effectively prevent all kinds of acts that endanger the security of the Authority’s resources. -Liaise with other departments in conducting security risk assessment in the Authority’s operational areas. -Enhance good working relationship with state security o

CCM WAANZA KAMPENI KALENGA: GODFREY MGIMWA AOMBA KURA

Image
Mgombea wa ubunge jimbo la kalenga kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) Godfrey Mgimwa amewataka wananchi wa jimbo hilo kumpa kura kwa sababu ni yeye pekee kupitia chama chake atayaendeleza yaliyoachwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo Dk. William Mgimwa. Mgimwa ambae pia ni mmoja wa watoto wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo na Waziri wa fedha, Dk. Mgimwa aliyasema hayo juzi wakati wa kampeni ilyofanyika katika kata ya Mseke. Anasema kuwa kati ya vitu atakavyovifanya endapo atachaguliwa na wanakalenga ni kumalizia yale yalioanza kufanywa na baba yake na kuwa malengo yake ni pamoja na kushughulikia barabara itokayo Njia panda ya tosa kuelekea hospitali teule ya Ipamba, kuboresha huduma za afya hususani zahanati za kila kijiji kama sera ya chama hicho inavyoagiza na elimu ya msingi na sekondari. Anasema wananchi wanatakiwa kumchagua mbunge anaetambua kuwa nini kinachofanyika kalenga na kipi kinatakiwa kufanyika ili kuleta maendeleo ndani ya jimbo hilo. "Wa

MAUAJI KAHAMA!!! MWANAMKE ACHINJWA,CHANZO CHATAJWA KUWA NI WIVU WA MAPENZI,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

Image
Mwili wa Bi Monica Elias ukiwa eneo la tukio mara baada ya jeshi la Polisi kupata taarifa na kufika eneo  la tukio SOMA ZAIDI Ikiwa ni wiki moja tu baada ya mwanamke mmoja kuchinjwa na mme wake huko Wilayani Nzega mkoani Tabora kwa kile kilichodaiwa kunyimana unyumba kwa wanandoa hao ,matukio ya kikatili yameendelea kujitokeza ambapo ,Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Ntobo "B" kata ya Ntobo Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga,  Monica Elias (40) ameuawa kwa kuchinjwa wakati akiwa nyumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

NYONGEZA YA POSHO YAGONGA MWAMBA

Image
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakinyoosha mikono ili wapatiwe Rasimu ya Kanuni zitakazoendesha bunge hilo Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini. Habari kutoka ndani ya kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho ili kufuatilia madai hayo, zimedai kuwa baada ya uchunguzi wa kina, wajumbe wa kamati hiyo hawakuona sababu ya kupendekeza posho hizo kupandishwa. Taarifa hizo zilidai kuwa wajumbe hao wamefikia uamuzi huo baada ya kupitia viwango vya posho vinavyolipwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali na Mashirika ya Umma. Pia kamati hiyo ilichambua viwango vya posho walivyolipwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na viwango vya posho ya kujikimu vya Sh80, 000 kwa siku wanavyolipwa watumishi wa Serikali. "Hili jambo linahitaji busara sana na kutazama mazingira ya nchi pia, kwa hiyo wajumbe wale b

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI TTCL

Image
POST: MANAGER STRATEGIC BUSINESS DEVELOPMENT Summary To develop, coordinate and support the Strategic Business planning and implementation processes and report Performance Closing Date:Thursday, February 27, 2014 Reports To:-Chief Financial Officer Duties   1.To drive and coordinate planning processes to ensure timely preparation and completion of strategic business plans. 2.To monitor and review the social-economic environment, including the company’s performance, country’s macro economic performance, trends in the telecommunications industry, etc. for business planning purposes. 3.Provide strong supervision as required to TTCL’s corporate planning processes and developing functional plans that support the achievement of TTCL’s corporate objectives and the TTCL Strategic Business Plan 4.To coordinate and support the preparation of Key functional objectives, strategies, action plans and Key performance indicators of various functional departments for the Strategic Business Pla

MREMBO HUYU ANATAJWA KUWA MZURI ZAIDI KWA AFRIKA MAGHARIBI, HEBU MCHEKI KISHA TUAMBIE JE ANASTAHILI???

Image
Jarida la burudani la A-Listers limemtaja star wa movie Juliet Ibrahim kutoka Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Afrika magharibi. Juliet ambaye pia anafahamika kama Juliet Safo ni Mghana aliyechanganyika kutoka kwa baba mwenye asili ya Lebanon pamoja na mama mwenye asili ya Ghana na Liberia. Kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na Crime to Christ (2005), Honor My Will (2008), “Marriage of sorrows”(2009) na nyingine nyingi.     Mtandao wa Naija Gists wa Nigeria umeandika habari hii  lakini mwandishi ameonekana kutoridhishwa sana na kuhoji “Do you believe Juliet Ibrahim is indeed the most beautiful woman in West Africa abi dey wan say the most beautiful woman in Ghana?” credit:bongoclantz

KUMBE LULU "ANAPATIKANA" KIIVI BANA...HUU NDIO "UPUPU" MUPYA..SOMA ZAIDI HAPA...!!!!

Image
OOHOOO! Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekwaa skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na mw i gizaji mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa jina moja la Johnson.  Chanzo makini kilipenyeza ‘upupu’ huo ambao umefafanuliwa na Steve Nyerere kuwa ukar i bu wa Lulu na bosi huyo umetokana na kazi kwani yeye na Lulu wameingia mkataba hivyo walitegemea kusikia manenomaneno.   credit:kandili yetu

HONGERA KAKA YETU EMANUEL KAYETA KWA KUVUTA JIKO

Image
 Alichokiunganisha MUNGU na mwanadamu asikitenganishe  nakuvalisha pete hii ikawe ishara ya pendo langu  bi harusi akisaini katika kitabu cha cheti cha ndoa kama uthibitisho wa kweli  vijana wa show wa kifanya mambo yao ukumbini  kamati nzima ya maandalizi ikiwa katika picha ya pamoja kama jinsi wanavyoonekana  kwa kweli salamu za pekee ziwaendee waandaaji wa chakula kilichokuwa kitamu na chakuvutia zaidi kilichopambwa na sahani za matunda  mdau wa karibu sana na familia ya bwana harusi bwana Elisa  akifanya mambo yake ndani ya ukumbi  mtoto Mariam akiwashangaza umma kwa juhudi na mbwembwe zake za kufungua champain  wachezaji maarufu wa ngoma ya "wazava" wakiwa wanatumbuiza ndani ya ukumbi

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI. USIPITWE SOMA HAPA...!!!

Image
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu. Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.  Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono. Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo