Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa hotuba yake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,muda mfupi kabla ya kuanza kwa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika kanisa hiyo.Ambapo zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo. Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,iliyofanyika leo Novemba 10,2013,jijini Dar es Salaam.zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo. Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Idd Azzan akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Sh...