Posts

Showing posts from April 7, 2015

ZARI AFUNGUKA KUHUSU UVUMI KUWA HANA MAELEWANO NA BABA WA WATOTO WAKE

Image
Zarinah “The Boss Lady” Tlale a.k.a mama kijacho au kama anavyofahamika kwa kifupi Zari, amekanusha uvumi ulioenea kuwa yeye na mme wake wa zamani ambaye ni baba wa watoto wake watatu, Ivan Ssemwanga kwa sasa hawazungumzi kutokana na kuwa kwenye mtafaruku mkubwa. “Nina watoto watatu wa kiume wa kwanza ana miaka 12 wa pili 10 na mwingine ana miaka 8 wako poa na nina jivunia kuwa mama.” Alisema Zari kupitia E-Newz ya EATV. (Kuhusu baba wa wanaye watatu) “Hatuko pamoja lakini tuko poa kwasababu kuna vitu vingine vinaendelea kati yetu wakiwemo watoto na mambo mengine mengi kwahiyo tuko poa. Unajua jinsi watu na vyombo vya habari wanavyochukulia ni kama tuna ugomvi na hatuzungumzi lakini sisi tuko poa kabisa.” Zari pia amezungumzia kuhusu uhusiano wake na Diamond kwa kusema kuwa mapenzi yao ni ya wao wawili na sio ya watu wengine hivyo hawapendani ili kuwafurahisha wengine. “Tuko poa, tunapendana lakini hakuna info zaidi. Sitaki kutoa taarifa zaidi ambayo tunaita ‘T.M....

THE 8 MOST ROMANTIC WAYS TO SAY "I love You"

Image
We have already celebrated St. Valentine’s Day this year, but this doesn’t mean we shouldn’t bring romance to our relationships anymore. Love is an amazing feeling and there is nothing embarrassing about showing it as much as you want. Saying “I love you” is great, but sometimes words are just words and nothing more. If you really love your partner you need to show your affection not only verbally, you also need to demonstrate your feelings with your actions and behavior. Our fantasy has no boundaries, so there are a lot of creative yet simple ways to express your love. This article can help you strengthen your relationship, or even bring back that sparkle and romance between you two if needed. It’s not actually hard as you may think, what you need is just the desire to make your significant one happy. So, check the list of the most romantic ways to say “I love you” and show how much you cherish your loved one. 1. Dinner on the roof Everybody loves romantic dinners w...

HII NDIO SABABU YA WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA

Image
Wanaume wanapendelea wanawake wenya makalio makubwa Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na makalio makubwa ? Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya . Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma. Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa. Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi. Kim Kardashian Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio unaovutia wanaume zaidi. Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio ...

MBINU ZA KUKABILIANA NA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUPIZI HARAKA, NA KUSHINDWA KURUDIA RAUNDI YA PILI

Image
Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume.  Lakini kwa kufupisha mlolongo wa mambo sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani. Sehemu kubwa ya malalamiko ya wanaume katika sakata hili yanagusa zaidi maeneo matatu ambayo ni KUKOSA MSISIMKO, KUSHINDWA KURUDIA TENDO NA KUKOSA KABISA NGUVU , huku kufika kileleni mapema kukihusishwa pia kama pacha wa janga hili ambalo linawasumbua zaidi wanaume, ingawa na wanawake wanakabiliwa na sehemu ndogo ya tatizo hili. Hata hivyo uchunguzi wa hivi karibuni uliowahusisha wanaume wanaofika kliniki au kupata tiba za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume umeonesha kuwa, sio wanaume wengi wenye sababu za kibaiolojia zinazowafanya wakose nguvu za kiume, isipokuwa wengi wao huwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi ambayo wahusika wana...

TAZAMA TAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR!

Image
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando akienda sawa Mwenyekiti wa kwaya ya vijana Kijitonyama Shedo a.k.a MC Foma Foma hapa alinyanyua mikono baada ya vyombo vya muziki kukata wakati Rose Muhando akicheza. Mwandishi wetu aliwakuta Munishi na Upendo Nkone wakiwa sehemu moja…. Kuna Siasa Katika Tamasha la Pasaka?,Siku ya Jana Katika Tamasha la Pasaka wananchi walitaarifiwa kuwa Mwanamuziki wa Injili Munishi aliyeimba wimbo wa “Malebo”. Pamoja na Makelele ya watu kudai Munishi apande jukwaani jambo hilo lilipotezewa mazima mazima. Mpaka tamasha linaisha saa 3 Usiku Mwanamuziki wa Injili aliyekuwa Backstage alikuwa ni Munishi Pekee. Mwandishi wetu alitaka kujua je! kutokuimba kwake kunatokana na ugomvi wake na CCM na tukiwa tunajua fika Msama ni Supporter wa Chama Tawala? Pengine kuimba kwake siku ya jana kungemuharibia Msama pengine Munishi angesimama na Kuongea maneno yake against CCM mbele ya Mhe. Membe kungechafua hali ya hewa uwanjani nahisi. Ugomvi wa ...