Posts

Zuckerberg Akiri Kosa Lake Na Kuomba Radhi

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg. Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg ametoa maelezo katika Bunge la Marekani- Congress kwa mara ya kwanza Jumanne, akijibu wasiwasi ulioelezwa na wabunge juu ya kushindwa kwa mtandao wa jamii maarufu kulinda taarifa zao. Taarifa hizo za siri ni za watumiaji wanaofikia milioni 87 ulimwenguni zilizotumiwa na kampuni yenye kujishughulisha na siasa- Cambridge Analytica iliyokuwa na mafungamano na Trump. Mahojiano hayo yanaendelea Jumatano wakati Zuckerberg atakapokutana katika raundi ya pili kujibu maswali mbele ya jopo la Wabunge wa Marekani. Mkurugenzi huyo Mark Zuckerberg amekiri kuwa :”Hilo lilikuwa kosa kubwa na ni kosa langu mimi mwenyewe na naomba radhi. Nilianzisha matandao wa Facebook, niliusimamia na nina wajibika kwa kitu chochote kinachotokea.” Wachambuzi wanasema ni kosa ambalo liliruhusu kampuni ya kisiasa ya Cambridge Analytica kupata taarifa kwa kupitia programu iliyotengenezwa na k

JPM AMBADILISHA BODIGADI WAKE, AWAPANDISHA VYEO 28

Image
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameridhia na kuwapandisha vyeo maofisa 28 wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kuanzia leo Aprili 12, 2018 huku akimbadilisha Msaidizi wake Kanali Mbaraka Mkeremy ambaye amempandisha cheo na atapangiwa kazi nyingine jeshini. Aidha, Rais pia amekukubali kumpandisha cheo kutoka Luteni Kanali kuwa kanali D.P.M Murung a na kuwa mpambe wa Rais akichukua nafasi ya Kanali Mkeremy. Akitoa taarifa ya uteuzi huo, Mkuu wa Majeshi, Jenelari Venancy Mabeyo amesema maofisa walioteuliwa wanakwenda kuimarisha safu za utendaji kazi kijeshi na kwamba maofisa wote hao watavalishwa vyeo vyao Ijumaa hii katika makamo makuu ya Jeshi Upanga Jijini Dar es salaam. Katika uteuzi huo Rais Magufuli amewapandisha vyeo maofisa wa ngazi mbalimbali Jeshini ikiwa ni pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma Kanali M E Gaguti ambaye sasa anapanda cheo na kuwa Brigedia Jenelari na kurejeshwa Jeshini.

ATCL Yaondolewa International Air Transport Association kwa Madeni

Image
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) limeondolewa katika Mfumo wa Malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (International Air Transport Association – IATA) kutokana na kukabiliwa na madeni na sasa iimetiliana saini ya makubaliano ya miaka mitano na Kampuni ya Ndege ya HAHN Air ili kuuza tiketi za Air Tanzania. Akizungumza na wanahabari Mjini Zanzibar, Mkurugenzi wa ATCL. Mhandisi Ladislaus Ernest Matindi, amesema wamelazimika kuingia kwenye makubalianao na kampuni hiyo ili wasikose baadhi ya huduma za malipo ya tiketi. “Tuna madeni, sikumbuki yalifikia kiasi gani lakini ni madeni makubwa ambayo yalilazimisha kusimamishwa uanachama au kufungiwa huduma hizi mpaka tutakapokuwa tumelipa hayo madeni. “Kubwa zaidi ilikuwa ni sisi kuwa katika mfumo wa Shirikisho wa Mashirika ya Ndege Dunia IATA ambayo ndiyo mfumo wa uuzaji na utawanyaji wa tiketi kwa kuwa mabadilishano ya pesa au kupeleka pesa kutoka shirika moja kwenda lingine hufanyika kwa kutumia huo

RAIS MAGUFULI AFUNGUKA ANAVYOIKUMBUKA SIKU YA MWISHO YA SOKOINE

Image
  IKIWA leo ni Kumbukumbu ya Kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Moringe Sokoine aliyefariki dunia Aprili 12, 1984 kwa ajali ya gari, eneo la Dakawa nje Kidogo ya Mji wa Morogoro, Rais Dkt. John Magufuli amefunguka na kueleza alivyomfahamu kiongozi huyo enzi za uhai wake na mchango wake katika Taifa letu. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Magufuli amesema; “Katika siku kama ya leo tarehe 12 Aprili 1984 nikiwa Mpwapwa JKT nikitumikia jeshi langu “Oparesheni Nguvukazi” tukatangaziwa kifo cha marehemu Edward Moringe Sokoine, ilikuwa siku ya majonzi shujaa huyu niliyemjua na kumshabikia ikawa siku yake ya mwisho.   “Wakati tunapoazimisha siku kama hii ya kifo chake, watanzania tuige mfano wake kwani alikuwa msema kweli, asiyeogopa, mpiga vita rushwa,ufisadi, unyonyaji,mzalendo wa kweli na aliyechukia rasilimali za watanzania kuibwa. “Marehem Sokoine hatasahaulika katika historia ya Tanzania, ni wito wangu kwa

Lowassa asema hatapoteza muda kwenda kupimwa DNA

Image
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema hamtambui mwanamke aliyejitambulisha juzi kama binti yake aliyetelekezwa na kwamba hatapoteza muda kwenda kupimwa vinasaba (DNA), kama msichana huyo alivyotaka. Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam kwa njia ya simu, Lowassa ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), alisema kuwa kinachofanyika kwenye zoezi hilo ni siasa. Msichana huyo aliyejitambulisha kwa jina la Fatuma alijitokeza hadharani juzi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kudai kutelekezwa na Lowassa ambaye alisema ni baba yake, kwa kuambiwa na mama yake mzazi. "Wewe unamwamini kweli huyo msichana? Angekuwa mwanangu kweli ningeshamchukua muda mrefu, kwanza wala simjui naona siasa zinaingizwa hapo," alisema. Alipoulizwa kama yuko tayari kupimwa DNA ili ukweli ujulikane, Lowassa alijibu "Kupima DNA huo ni upuuzi. Yaani nipoteze muda wangu kwenda kufanya  upuuzi huo? Siko tayari."

RAIS MAGUFULI: MZEE KIKWETE WATANZANIA ‘TUNAKUMISI’

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuizindua. PICHA NA IKULU RAIS Dk. John Magufuli amesema kwa kazi kubwa ambayo imefanywa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwenye uongozi wake kuna mambo makubwa ya maendeleo katika nchi yetu huku akitanguliza uzalendo mkubwa Watanzania wanamkumbuka na wataendelea kukumbuka ‘kummisi’ watake wasitake. Pia ametumia nafasi hiyo kutoa shukrani zake za dhati kwa Rais mstaafu Kikwete kwani ndio amesababisha awe Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano huku akitumia nafasi hiyo kuahidi kuwa atahakikisha Serikali yake itashirikana na Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete inayofahamika kwa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF)ambayo ameizindua rasmi leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa makofi mara baada ya kumaliza kuso

MMILIKI WA MABASI YA HBS NA SABENA AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI

Image
Mfanyabiashara Sultan Ahmed au maarufu Chapa ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya mabasi ya HBS na Sabena anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi ambayo iliingilia mdomoni kisha kutokea kisogoni leo Jumatano Aprili 11,2018 majira ya saa tatu asubuhi. Taarifa za tukio hilo zinadai kwamba, Sultanambaye ni mwenye asili ya Kiarabu pía ni mmiliki wa kituo kikubwa cha uuzaji wa mafuta ya petroli wilayani Sikonge amejipiga risasi akiwa nyumbani kwake wilayani Sikonge mkoani Tabora huku chanzo cha uamuzi huo wa kujitwanga risasi kikiwa hakijajulikana. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora SACP Wilbroad Mutafungwa amethibitisha tukio hilo na kwamba wanafanya uchunguzi juu ya mauaji hayo.

Kufungiwa Nyimbo za Diamond Kwazua Gumzo Bungeni

Image
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia Vijana Mkoa wa Arusha ,  Catherine Magige. MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amehoji kufungiwa baadhi ya nyimbo za staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wakati kamati ya maudhui ilikuwepo na kuziacha nyimbo hizo zikaenda hewani kwa muda mrefu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Akijibu swali hilo, Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison  Mwakyembe,  amejibu kuwa Diamond siyo msanii wa kwanza kufungiwa nyimbo zake kwani hata wasanii wa Nigeria,  Davido na Wizkid,   wamefungiwa nyimbo  zao. Pia alimtaja mwanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasiaya Congo, Kofii Olomide, ambaye wimbo wake  wa Ekoti Te umefungiwa nchini humo. Pamoja na kuibuka wabunge wengi wenye kutaka kutoa taarifa na kuendelea hoja hiyo, Naibu Spika, Tulia Ackson,  hakuwapa nafasi.

Wanaume Waliotelekezewa Watoto Wajitokeza Kwa Makonda

Image
Taswira ilivyoonekana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Baadhi ya wanawake waliotelekezewa watoto wakisubiri kusikilizwa kero zao. Baadhi ya wanaume wa waliofika ofisi ya Makonda. . ..Wakiongea na Global Tv Online. Mmoja wa wanaume waliofika ofisi za Makonda, Vedasto Mdesa,  akizungumza na Global Tv Online. Baadhi ya wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam leo wamejitokeza kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  baada ya kusikia tangazo kutoka kwa mkuu huyo  juu ya kufika ofisini kwake kwa malalamiko ya kutelekezewa watoto na wanawake. Wanaume hao walikuwa gumzo kwa watu wengi kwa ujasiri huo wa kufika kwa mkuu wa mkoa ili kudai haki zao baada ya kutelekezwa na wake zao. Mmoja wa wahanga hao aliyejitambulisha kwa jina la Tito Petro  alishtua wengi baada ya kutoa kauli kuwa ugonjwa wa kupooza ndiyo chanzo kikubwa cha kusambaratika kwa familia yake. Agizo hilo la wanaume kujitokeza leo, alilitoa Makonda jana baada ya siku

Wanawake waliotelekezwa wadai walizalishwa na viongozi mbalimbali

Image
WANAWAKE 480 waliotelekezwa na watoto ambao jana waliitikia wito wa kwenda kusaidiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wamesema walizalishwa na viongozi mbalimbali wa kidini na kisiasa. Hilo lilibainika baada ya wanawake hao, miongoni mwa mamia waliofika ofisini hapo  ili kupatiwa msaada wa malezi na matunzo ya watoto wao waliotelekezwa na baba zao. Katika mfululizo wa misaada ya aina hiyo, leo wanaume waliotelekezewa watoto na mama zao, watafika ofisini kwa mkuu wa mkoa huyo kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi wa suala hilo. Wakati huohuo, Makonda akihutubia wakati wa uzinduzi wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka 14 unaofanyika leo katika viwanja vya Zakeem Mbagala, amesema wanawake 47 waliofika ofisini kwake jana wanadai wabunge ndiyo wamewatelekeza na watoto na wengine  wamesema  wamezalishwa na kutelekezwa na viongozi wa dini mbalimbali. Katika hafla hiyo ya utoaji wa chanjo, mgeni rasmi alikuwa ni Makamu wa

Basi la Kampuni ya Maqadir Lapata Ajali Tanga

Image
Muonekano wa ajali hiyo baada ya basi hilo kuanguka katikati ya barabara. Basi la Kampuni ya Maqadir lililokuwa linatoka jijini Tanga kwenda Kijiji cha Mtae, Wilaya ya Lushoto mkoani humo, limeanguka asubuhi  leo Aprili 10, 2018 katikati ya barabara kuu ya Segera-Tanga katika kijiji cha Mpakani, kata ya Kerenge wilayani Muheza mkoani Tanga. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward Bukombe, majeruhi wa ajali hiyo ni mmoja na bado hajatambuliwa ambapo  chanzo cha ajali hiyo, pia bado hakijafahamika.

IT SUPPORT & SYSTEMS ADMINISTRATOR

Image
Application deadline2018-04-28 Business / Employer nameResolution Insurance Company L Location Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam Description Industry: Banking & Finance Minimum Qualification: Bachelor Minimum Experience: 2 years Reporting to the Business Analyst and IT Support and Systems Administrator’s role will be primarily accountable for the resolution of all user tickets and the maintenance of 99.9% uptime of ICT services. The main area of this roles jurisdiction is, Networks, Data centre operations, IT Support and Security. The individual will be expected to demonstrate commitment and loyalty and perform all duties in accordance with the organization’s office routines and procedures, keeping in mind the overall business objectives. Key Responsibility Areas: Responsible for the administering and ensuring high availability of Resolution Insurance corporate information systems and hardware. Administering the Resolution Insurance lo

BREAKING: MOTO WAZUA TAHARUKI BUNGENI

Image
Mwenyekiti wa bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’ ameahirisha shughuli za bunge ikiwa ni dakika 12 kabla ya muda uliotakiwa baada ya kutokea taharuki ya moto uliosababishwa na kulipuka kwa poer bank iliyokuwa ikichaji simu ya nbubge ndani ya ukumbi wa bunge jioni hii. Aidha, mlipuko huo haujaleta madhara yoyote isipokuwa moshi mkali, hakuna aliyejeruhiwa kutokana na tukio hilo. Tukio hilo limejiri ikiwa ni muda mfupi baada wabunge wa CUF kutoka ndani ya bunge kufuatia mwenyekiti huyo kuzuia mjadala kuhusu mambo yanayohusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Waziri Mwakyembe atoa ombi hili kwa Wabunge

Image
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kuwataka baadhi ya Wabunge Bungeni kuacha kuwatetea wasanii wanaoimba nyimbo zisizokuwa na maadili kwa kuwa kufanya hivyo kuna pelekea kuonekana taifa la Tanzania kuwa mfu lisilokuwa na utamaduni wake. Waziri Mwakyembe ametoa kauli hiyo leo (Aprili 10, 2018) kwenye mkutano wa 11 kikao cha sita kinachoendelea kufanyika mkoani Dodoma wakati akijibu swali la Nyongeza kutoka kwa Mbunge Catherine Magige ambaye alitaka kufahamu ni kwanini kamati ya maudhui inashindwa kufanya kazi zake kwa wakati mpaka inafikia muda wasanii wanaachia kazi zao za sanaa ndio wao wanaibuka na kuanza kuwafungia kazi hizo, je wameshindwa kazi ?. "Kila taifa lina utamaduni wake na lazima liulinde kwa udi na uvumba, tunachokifanya sisi sio kwamba tuna vita na wasanii wetu, hapana. Lakini lengo letu ni kulinda maadili ambayo katika kipindi hiki cha utandawazi kumekuwepo na mmong'onyoko mkubwa katika ta

Polisi ahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela

Image
Mahakama nchini Kenya imemhukumu afisa wa polisi nchini humo kutumikia kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya mwaka 2013 ya mwanaume aliyeshukiwa kuiba simu ya mkononi. Polisi huyo, Titus Musila alikutwa na hatia ya kumpiga risasi tatu za kichwani mtuhumiwa Kenneth Mwangi badala ya kumkamata. Wakati akitoa uamuzi huo, Jaji wa Mahakama Kuu James Wakiaga amesema kuwa uamuzi huo ni onyo kwa maafisa wa usalama wanaotumia silaha vibaya. Kwa mujibu wa wachambuzi Polisi wa Kenya wamekuwa wakilaumiwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na raia kutokana na mauaji ya kiholela lakini mara nyingi wamekuwa hawachukuliwi hatua au kufunguliwa mashtaka.

Rais Magufuli apiga marufuku Polisi kuchoma mashamba ya bangi

Image
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka maofisa wa Jeshi la Polisi na Makamishna wake kutoyafyeka na kuyachoma moto mashamba ya bangi na badala yake watumie njia za kiintelijensia kuwababini watuhumiwa, kuwakamata na kuwashughulikia ikiwa ni pamoja na kuwafikisha katika vyombo vya sheria. Rais ameyasema hayo leo wakati akiwahutubia wananchi wa Arusha katika Uwanja wa Amri Abeid baada ya kuzindua kituo cha polisi na nyumba za polisi mkoani humo. “Hakuna kitu kinachonikera kama Askari Polisi kwenda kufyeka mashamba ya bhangi, makamanda wako na askari wako, wasikate mashamba ya bangi, hawakuajiriwa kufyeka bhangi. Niwashauri tu kwamba, tumieni njia za kintelijensia, mtawashika tu, kama shamba lipo karibu na kijiji, kamata kijiji kizima, wazee, vijana, wanawake hata na watoto, ndio wakafyeke hilo shamba la bhangi.  “Nasema askari wasiende kufyeka bhangi, hawakuajiriwa kufyeka bhangi, usiwatume askari wako kufyeka bhangi, wataumwa n