Rais Magufuli apiga marufuku Polisi kuchoma mashamba ya bangi
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amewataka maofisa wa Jeshi la Polisi na Makamishna wake kutoyafyeka na
kuyachoma moto mashamba ya bangi na badala yake watumie njia za
kiintelijensia kuwababini watuhumiwa, kuwakamata na kuwashughulikia
ikiwa ni pamoja na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.
Rais ameyasema hayo leo wakati akiwahutubia wananchi wa Arusha katika
Uwanja wa Amri Abeid baada ya kuzindua kituo cha polisi na nyumba za
polisi mkoani humo.
“Hakuna kitu kinachonikera kama Askari Polisi kwenda kufyeka mashamba ya
bhangi, makamanda wako na askari wako, wasikate mashamba ya bangi,
hawakuajiriwa kufyeka bhangi. Niwashauri tu kwamba, tumieni njia za
kintelijensia, mtawashika tu, kama shamba lipo karibu na kijiji, kamata
kijiji kizima, wazee, vijana, wanawake hata na watoto, ndio wakafyeke
hilo shamba la bhangi.
“Nasema askari wasiende kufyeka bhangi, hawakuajiriwa kufyeka bhangi,
usiwatume askari wako kufyeka bhangi, wataumwa nyoka bure, wamevaa
uniform nzuri, msidhalilishe jeshi kwa kufyeka bhangi, mimi nisingefyeka
bhangi na wa kufyeka wapo.
“Nilimuona Waziri naye yumo anafyeka na kuchoma moto shamba la bhangi,
juzi nikaona tena RPC wa Dodoma naye anafyeka shamba la bhangi na askari
wake, mpaka akachoka anasema hili shamba lililobaki tutalimalizia
kesho. Inashangaza sana, tusijidhalilishe hivyo,” alisema Magufuli.
Aidha, Rais Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya
Usalama kuendelea kuimarisha hali ya amani nchini na kuwatumikia
Watanzania kwa maendeleo ya Taifa.
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2 BOFYA HAPA PICHA 3 BOFYA HAPA PICHA 4
Picha chafu za msanii nyota wa bongo movie Edward Tem “Nick” zimevuja zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake. Ikumbukwe kwamba wiki kdhaa za nyuma jamaa huyo aliwahi kufumaniwa gesti na msanii mchanga wa kike ambaye ni mke wa mtu na sakata hilo liliishia kituo cha Polisi baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.
Comments
Post a Comment