BREAKING: MOTO WAZUA TAHARUKI BUNGENI

Mwenyekiti wa bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’ ameahirisha shughuli za bunge ikiwa ni dakika 12 kabla ya muda uliotakiwa baada ya kutokea taharuki ya moto uliosababishwa na kulipuka kwa poer bank iliyokuwa ikichaji simu ya nbubge ndani ya ukumbi wa bunge jioni hii.
Aidha, mlipuko huo haujaleta madhara yoyote isipokuwa moshi mkali, hakuna aliyejeruhiwa kutokana na tukio hilo.
Tukio hilo limejiri ikiwa ni muda mfupi baada wabunge wa CUF kutoka ndani ya bunge kufuatia mwenyekiti huyo kuzuia mjadala kuhusu mambo yanayohusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Comments

Popular posts from this blog