Posts

Salum Mwalimu na Wafuasi 18 wa Chadema Waachiliwa kwa Dhamana

Image
Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu imewaachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu na wafuasi wengine 18 wa chama hicho baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya siku 12. Kiongozi huyo wa Chadema na wafuasi hao 18 walikuwa wakishikiliwa katika mahabusu za jeshi la polisi kwa tuhuma za kuandaa na kuhamasisha maandamano na mikutano ya Oparesheni ya chama hicho iliyopewa jina la UKUTA, ambayo ilipigwa marufuku na jeshi hilo. Walifanikiwa kupata dhamana baada ya Hakimu wa Mahakama hiyo kueleza kuwa ameridhia hoja za upande wa utetezi baada ya kusikiliza pande zote mbili na kubaini mapungufu kwenye maombi ya upande wa mashtaka. Awali, Mwendesha mashtaka aliitaka Mahakama hiyo kuwanyima dhamana washtakiwa hao kwa madai kuwa endapo wataachiwa wataendelea kufanya kosa hilo. Hata hivyo, Hakimu alitupilia mbali maombi hayo akieleza kuwa wameshindwa kuthibitisha pasipo shaka kuwa endapo washtakiwa hao wataachiwa watafanya tena kosa hilo. Pia

UHURU KENYATTA AKANUSHA KUWEPO MVUTANO WA KIUCHUMI KATI YA TANZANIA NA KENYA

Image
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Jumamosi alikanusha ripoti za vyombo vya habari kwamba kuna mvutano baina ya Kenya na Tanzania. Akizungumza mjini Mombasa wakati wa ufunguzi gati la makontena katika bandari ya Mombasa, Kenyatta alipuuzia maneno kwamba kuna mvutano wowote na badala yake akasema kuwa nchi hizo zinasaidiana. Alisema anaona kwenye vyombo vya habari kwamba kuna “mgogoro baina yetu, lakini nataka kusema wazi wazi kwamba Kenya na Tanzania hazina mgogoro wowote baina yao,” alisema.Kenyatta alisema uchumi wa nchi hizo mbili umefungana kwa miaka mingi na ni kwa ajili ya faida ya watu wa nchi hizo mbili. Alitaja kufunguliwa kwa njia inayojulikana kama “northern frontier” ambayo itaunganisha bandari ya Mombasa kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, hadi Bujumbura, Burundi – njia ambayo itafupisha urefu wa kutoka Bujumbura hadi Mombasa kwa kilomita 300 nzima. “Afrika Mashariki haiko katika mashindano ya wenyewe kwa wenyewe,” alisema Kenyatta. “Afrika M

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 05.09.2016

Image

Polisi Wafyatua Risasi & Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Lipumba

Image
  Jeshi la Polisi limelazimika kufyatua risasi angani na kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Prof. Lipumba waliokuwa wakimzuia mwenyekiti wa muda wa CUF, Julius Mtatiro, kuingia ofisini eneo la Buguruni. Wafuasi hao wameeleza kuwa wameamua kumzuia kwani Msajili wa Vyama vya Siasa ametaka shughuli zozote ndani ya CUF zisiendelee hadi hapo mgogoro wa uongozi utakapotatuliwa. Itakumbukwa hivi karibuni CUF kilimteua Julius Sunday Mtatiro kuwa mwenyekiti wa muda baada ya mwenyekiti aliyekuwepo, Prof. Lipumba kijiuzulu Agosti 2015. Julius Mtatiro leo amefanya mkutano na waandishi wa habari  katika ofisi za Makao Makuu ya CUF, Buguruni, Dar es Salaam ili kuzungumzia kauli zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa visiwani Zanzibar.

WAZIRI MAHIGA AONGOZA TIMU YA WAANGALIZI WA UCHAGUZI YA SADC UCHAGUZI WA JAMHURI YA SHELISHELI

Image
 Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustino Mahiga akifungua Misheni ya timu ya Uangalizi wa Uchaguzi wa Wabunge tarehe 2 Septemba, 2016, Mahe Seychelles. Mhe Waziri anamuawakilisha Mhe. Rais John pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika picha ya pamoja na  Misheni ya timu ya Uangalizi wa Uchaguzi wa Wabunge tarehe 2 Septemba, 2016 huko Mahe, Seychelles. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Augustine P. Mahiga (Mb.), jana tarehe 2 Septemba, amezindua Misheni ya Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC kwenye uchaguzi wa Jamhuri ya Shelisheli kwa niaba ya Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika -SADC Organ.  Misheni hiyo ya wa

UJUMBE WA VANESSA MDEE KWA JUX WA WAKUNA WENGI

Image
Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ametumia fursa ya siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake, ambaye pia ni Staa wa muziki wa R&B hapa Bongo, Juma Jux kumwandikia ujumbe muhimu kudhihirisha ni kwa kiasi gani anampenda huku akiutaja wimbo wao wa pamoja, #Wivu kuwa ndiyo nguzo ya kukutana na kuanzisha uhusiano wao: Kuoitia ukurasa wake Instagram, Vee Money ameandika; When we first met I was an upcoming songstress with a fast tongue and one hit song on the radio. You … well you were pretty much the same. Your boy asked me if I would spit some bars on your song. I said no. Then walked into the studio and met you and instantly had a change of heart. Fast forward to 2yrs later, tumekuwa. You’ve got the biggest song in the country #Wivu and a multi million dollar brand #AfricanBoy and as for me well … kitu kimoja hakijabadilika though. Kwako sisikii. Lol! Lakini hayo yoteee ni mifano tu ya jinsi gani ukiwa na mahusiano na mtu anayekujenga kifikra na vinginevyo

JPM Kubadili Noti Kuwakomoa Walioficha Mabilioni Majumbani

Image
Rais John Magufuli amewataka watu walioficha fedha majumbani kuziachia ziingie kwenye mzunguko vinginevyo anaweza kuamua kuzibadili ili wakose mahali pa kuzipeleka.  Amesema watu hao wamekuwa na utaratibu wa kutoa fedha zao katika benki na kuzificha kwa kuogopa kuwa atabaini kiasi walichonacho, hivyo akawataka kuachana na tabia hiyo kwa sababu fedha hizo ni mali yao. Akizungumza katika mkutano wa 14 wa mwaka wa wahandisi uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jana, Rais Magufuli aliyetumia dakika 73 kuzungumza na wahandisi hao na kueleza mikakati na changamoto zinazoikabili Serikali ukiwamo wizi na ufisadi, alisisitiza;   “Huu ujumbe ni kwa wale wanaoficha fedha, waziachie na wajiandae, naweza kuamua baada ya siku mbili tatu nabadilisha fedha na hizo zilizofichwa katika magodoro ziozee huko. Ni nafuu mzitoe mziweke katika mzunguko zikafanye kazi,” alisema. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na mawaziri, naibu mawaziri, makatibu wakuu na wahandisi kutoka ndani

Mwanzilishi wa Facebook Alivyokutana na Akina Yemi Alade Nigeria

Image
Lagos, Nigeria MWANZILISHI na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg juzi Jumanne alianza ziara yake ya siku mbili nchini Nigeria, ikiwa ni ziara yake ya kwanza kwa nchi za Afrika, na kukutana watu mbalimbali wakiwemo wasanii maarufu wa uigizaji filamu na muziki nchini humo. Katika ziara hiyo, Zuckerberg aliwasili Lagos Jumanne na kufika kwenye kituo maarufu cha ubunifu wa masuala ya mitandao ya kijamii cha Yaba, kilichopo eneo lijulikanalo kam Silicon Valley. Zuckerberg alifanikiwa kutoa elimu ya biashara na masoko kwa watu waliohudhuria kwenye mkutano wake huku akitanua wigo wa watumiaji wa mitandao anayoimiliki ikiwemo Facebook, Instagram na WhatsApp. Baada ya somo hilo la juzi Jumanne, Zuckerberg jana aliamkia mitaani asubuhi akitembelea vijana kwenye Jiji la Lagos bila ulinzi. Alionekana akikifanya jogging kwenye daraja la Lekki Bridge na vijana. Baadhi ya wasanii wa filoamu na muziki nchini Nigeria jana ni pamoja na Richard M

Acer Yazindua Laptop Yenye Kikoo Kilichopinda

Image
Kampuni ya Vifaa vya kielektroniki ya Acer imezindua laptop ya kwanza yenye kioo kilichojipinda. Acer inasema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha kucheza michezo ya video. Televisheni kadhaa pia zimetumia uvumbuzi huo,lakini umezua mgawanyiko kwa kuwa una umuhimu na ubaya wake. Kampuni hiyo ya Taiwan pia ilitangaza kwamba imefanikiwa kupata teknolojia ya pet katika mkutano na wanahabari mjini Berlin. Kampuni kadhaa za kielektroniki ikiwemo Samsung, Lenovo, DJI, Sony na Huawei zinatarajiwa kuzindua sura mpya ya laptop zake katika maonyesho ya kiteknolojia ya Ifa katika Mji Mkuu wa Ujerumani wiki hii. Laptop hiyo ina kioo kikubwa ikilinganishwa na laptop ya kawaida ya Acer,lakini ni umbo lake ambalo liliifanya kampuni hiyo kudai kuwa ya kwanza kuzinduliwa duniani.

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA WAHANDISI, ATEMBELEA KIKOSI CHA ANGA MAJUMBA SITA UKONGA

Image
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo Septemba 1, 2016  Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha ya  pamoja na Wanajeshi wa JWTZ Kikosi cha Anga 603 KJ Majumba Sita Ukonga jijini Dar es salaam  alikotembelea kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi la Wananchi leo Septemba 1, 2016 Rais Magufuli awataka wahandisi nchini kufanya kazi kwa weledi na uadilifu Na Sheila Simba-MAELEZO  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amewataka  wahandisi nchini kufanya kazi kwa weledi na uadilifu ili kuiwezesha nchi kufikia uchumi wa kati kupitia ujezi na uendelezaji viwanda. Amesema hayo leo jijini Dar es salaam katika mkutano wa 14 wa Bodi ya Wahandisi Nchini,na kuwaasa kutumia taaluma yao kusaidia nchi kufikia uchumi wa kati ili kuleta maendeleo kwa haraka kw

MKUTANO WA 36 WA SADC UMEMALIZIKA NA TANZANIA YATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA TROIKA

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini katika moja ya makubaliano yaliofanywa na nchi za SADC kwenye mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali uliofanyika Lozitha, Mbabane nchini Swaziland.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto)akizungumza na Makamu wa Rais wa Angola Mhe. Manuel Domingos Vicente wakati wa kuhitimisha mkutano wa 36 wa nchi za SADC mjini Mbabane Swaziland. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa kwenye mkutano wa 36 wa nchi 15 za SADC uliofanyika mjini Mbabane Swaziland, kulia ni Makamu wa Rais wa nchi ya Angola Mhe. Manuel Domingos Vicente na kushoto ni Waziri Mkuu wa Madagascar Mhe.Mahafaly Solonandrasana Olivier. Mwenyekiti wa SADC Mfalme Mswati wa III(kulia) akizungumza na Katibu Mkuu Mtendaji wa SADC Dr. Stergomena L. Tax wakati wa kuhitimisha mkutano wa 36 wa SADC mjini Mbabane,Swaziland. Mw

MSICHANA APEWA MIMBA NA NYOKA AKIWA USINGIZINI, CHA KUSHANGAZA ZAIDI AJIFUNGUA MTOTO HUYU!

Image
  Kehinde Adegoke, a teenager who is an indigene of Ogbomoso in Oyo State Nigeria, has revealed how she had s*x with a snake in her dream for four years and eventually got pregnant without any physical relationship with any man. Nigerian Tribune reports that the 19-year-old girl was delivered of a baby boy in the early hours of March 28, 2015 but the baby later died on Sunday, March 29 without any sickness attached to it. Narrating her story, she said: “My parents live in Niger but I am from Ogbomoso, Oyo State. I was troubled by an unseen spirit. I would see the snake beside me. The snake would then turn to a Fulani man who would have intercourse with me. It started about four years ago. “After the intercourse, the Fulani man would turn to a snake again and leave. Whenever I woke up, I would not see any semen indicating that I had s*xual intercourse. But in the dream, he would climax and release in me. “I have never had any man who wooed me in real life and l

JPM Amthibitisha Msigwa Kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Image

Chadema Wasitisha Maandamano ya UKUTA

Image
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kisitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike nchi nzima kesho Septemba Mosi yaliyopewa jina la UKUTA. Akitangaza uamuzi huo, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema kuwa, wamefanya mazungumzo na viongozi mbalimbalia wakiwemo viongozi wa dini, BAKWATA, Baraza la Maaskofu, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Taasisi ya Mwalimu Nyerere na Jukwaa la Katiba na Jukwaa la wahariri na kuona wana kila sababu ya kusikiliza ushauri huo. Aidha, maandamano hayo yameahirishwa kwa mwezi mmoja ili kwa viongozi wa dini kutafuta muafaka wa hali ya kisiasa nchini.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 30.08.2016

Image