Posts

Samatta hajakubali kuona rekodi ya Tanzania ikivunjwa na Chad mikononi mwake

Image
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars March 23 imeshuka katika dimba la Idriss Mahamat kucheza na wenyeji wao timu ya taifa ya Chad katika muendelezo wa michezo ya makundi ya kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika   (AFCON) itakayochezwa mwaka 2017. Huu ulikuwa ndio mchezo wa kwanza wa Mbwana Samatta akiichezea Taifa Stars kama nahodha wa timu hiyo, katika mchezo huo uliochezwa Chad , Taifa Stars imeibuka na ushindi wa goli 1-0, goli la Taifa Stars lilifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 30, baada ya kutumia vyema krosi ya Farid Musa . Samatta amefanikiwa kuitunzia Tanzania rekodi dhidi ya Chad , kwani mara ya mwisho Taifa Stars alikutana na Chad , ugenini na kufanikiwa kuibuka kwa ushindi wa goli 2-1. Magoli ya Taifa Stars wakati huo yalifungwa na Mrisho Ngassa dakika ya 11 na Nurdin Bakari dakika ya 88, huku goli la Chad la kufutia machozi lilifungwa na Mahamat Labbo dakika ya 12. Taifa Stars itarudiana na Chad Jumatatu ya March 28 uwa

BREAKING NEEWWSS:RAIS MAGUFULI ATUMBUA JIPU TANESCO

Image
Rais Dk. John Pombe Magufuli. Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli anayesifika kwa utumbuaji wa majipu, safari hii ameifanya kazi hiyo kimyakimya, baada ya kuivunja Bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) iliyokuwa ikiongozwa na Dk. Mighanda Manyahi, Risasi Mchanganyiko linathibitisha. Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, bodi hiyo iliyokuwa na wajumbe wanane, ilivunjwa Machi 3, mwaka huu katika barua zilizosainiwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhandishi Mussa Ibrahim Iyombe na kusababisha kuongezeka kwa idadi ya bodi za mashirika mbalimbali ya serikali zilizovunjwa. Bodi hiyo ya wakurugenzi iliyovunjwa, licha ya mwenyekiti wake Dk.  Manyahi ilikuwa na wajumbe ambao ni Dk. Haji Semboja (Makamu Mwenyekiti), Kissa Kilindu, Juma Mkobya, Shaaban Kayungilo, Dk. Mutesigwa Maingu, Boniface Muhegi, Felix Kibodya na Nyamajeje Weggoro. Mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo aliyezungumza na gazeti hili kwa sharti la kutotajwa jina lake, alisema ni kw

Basi la Super Sami Lapata Ajali Tabora

Image
Aajali ilivyotokea. Ng’ombe wakiwa wamkufa baada ya kugongwa na basi hilo. Basi lapinduka na kujeruhi watu Igunga WATU kadhaa wajeruhiwa baada ya basi la Super Sami lenye namba za usajili T 819 DEN kutoka Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam kupinduka katika Kijiji cha Igogo, wilayani Igunga mkoani Tabora leo wakati likijaribu kukwepa ng’ombe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Hamis Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuongeza kuwa taarifa za awali zinaonyesha dereva wa basi alikuwa anaongea na simu.

How do you block someone on Facebook?

Image
Quick Answer To block someone on Facebook, sign into Facebook, click the lock icon at the top of the page, and then select "How Do I Stop Someone From Bothering Me?" Enter the name of the person you wish to block, click Block, and then confirm the block request. Full Answer Sign on Sign into your Facebook account. Click the lock icon Click the icon that resembles a lock in the upper-right section of any Facebook page. This icon opens the Privacy Shortcuts dropdown menu. Locate the user Select "How Do I Stop Someone From Bothering Me?" In the dropdown menu, enter the name or email address of the person you wish to block, and then click Block. This action opens the Block People dialog box with a list of people you can block. Block the user Click the name of the user you wish to block in the "Are You Sure You Want To Block" dialog box. Click Block to confirm. If the person you want to block is not on the list, go

PICHA ZA AY NA PREZOO ZILIVUNJA NDOA YA DAYNA NYANGE

Image
Msanii wa muziki, Dayna Nyange amedai kilichosababisha wakaachana na mzazi mwenzake ni wivu wa mapenzi uliotokana na picha aliyopiga na wasanii wawili wa Kenya, Wahu na Prezzo pamoja na Mtanzania, Ambwene Yessaya ‘AY’. Muimbaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Rahma, ameliambia gazeti la Mtanzania, kuwa picha hizo alizipiga na wasanii hao kabla hajawa maarufu wala kujihusisha na muziki kwa kiasi kikubwa hivyo hiyo ilikuwa sehemu ya kutafuta marafiki wa kumsaidia kimuziki. “Kutokana na picha hiyo mchumba wangu huyo alihisi kwamba mmoja wa wasanii hao labda natoka naye kimapenzi hivyo akawa hataki nipige picha na wasanii na nisijihusishe tena na masuala ya kimuziki,” alisema Dayna. Aliongeza, “Muziki ni kitu ninachokipenda sana katika maisha yangu hapo nikaona wivu umezidi kwa mwezangu ambaye tumebarikiwa kupata mtoto mmoja wa kike mwenye miaka 10, tukaamua kuachana nami nikaendelea na muziki wangu hadi leo bila mchumba, mpenzi wala nini na maisha yana

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION KUENDESHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE WA DODOMA

Image
Mradi wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi  Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers  ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation utaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mkoa wa Dodoma kuanzia Jumatatu, tarehe 28 March 2016 kwenye ukumbi wa  LAPF House Mkoani  Dodoma. Mafunzo hayo yatatolewa kwa jumla ya wanawake watakaochaguliwa 30 kutoka mkoani Dodoma na mikoa ya jirani.  Baada ya mafunzo hayo wanaweke hao watakuwa chini ya uangalizi wa Taasisi hiyo kwa lengo la kuhakikisha wanawake wa Mkoa wa Dodoma wanafikia malengo yao waliojiwekea. Wanawake wakazi wa Mkoa wa Dodoma waliotuma maombi na wanaopenda kunufaika na mradi huo  wanaombwa kujitokeza kwa ajili ya usaili siku ya Jumamosi tarehe 26 Machi 2016 kuanzia saa tatu (9:00AM) asubuhi kwenye ukumbi wa wa  LAPF House Mkoani Dodoma. Mafunzo yana lengo la  kumsaidia mjasiriamali mwanamke kujikwamua na kujiongezea kipato. Awamu ya kwanza ni kumfundisha maswala ya biashara namna ya

MWANASAYANSI ALIETENGENEZA VIRUS HATARI VYA UKIMWI

Image
Ameua maelfu na maelfu ya watu, alitengeneza ugonjwa huu mnamo miaka ya 1970, na sasa daktari huyu kwa jina   Robert Gallo   ametoka adharani na kusema amepata dawa ya kutibu ugonjwa huo.     Robert Gallo   anaelezwa kwamba alihusika na vita vya kibaiolojia kwa lengo la kuwaondosha watu weusi na mashoga duniani katika miaka ya 1970

MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 23.03.2016

Image

MAGAZETI YA UDAKU LEO TRH 23/03/2016

Image

MKURUGENZI MTENDAJI WA EWURA AMTEMBELEA SPIKA

Image
     Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson kizungumza na Wajumbe wa  Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati Kamati hiyo ilipokutana na  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa.      Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Meneja Mahusiano wa EWURA Bw Titus Kaguo wakati walipomtemblea Ofisini kwake kati kati ni Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi  (Picha na Ofisi ya Bunge )        Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akifuatilia Mjadala kati ya  Wajumbe wa  Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na  Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa alipoitembelea kamati hiyo. Anayezungumza  kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Balozi Adadi Rajabu  na (kulia mwenye tai yekundu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Charles Kitwaga.  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

SOKO LA FERI LATAKIWA KUTAFUTA GESI YA BEI NAFUU

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye soko la samaki la Feri akitokea ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la kukaangia samaki kwenye soko la samaki Feri la jijini Dar es salaam Machi 22, 2016, Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati alipotembelea soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia Mama Lishe wakati alipotembelea soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya soko la Kimataifa la Samaki la Feri, kukutana na makampuni mbalimbali yanayouza gesi ili kupata kampuni inayouza kwa bei nafuu zaidi lengo likiwa ni kuwapunguzia gharama wakaangaji wa samaki sokoni hapo. Pia

SPIKA NDUGAI AFANYA MABADILIKO YA BAADHI YA WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE.

Image
Na Benedict Liwenga-Maelezo. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) amefanya mabadiliko ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge ili kuzingatia mahitaji mapya na changamoto zilizojitokeza baada ya kuunda Kamati hizo mwezi Januari 2016. Taarifa hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Ofisi ya Bunge Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano ambapo imeelezwa kuwa, mabadiliko hayo, yamefanywa chini ya Kanuni ya 116(3) ya Kanuni za Kudumu za Bunge inayompa Spika Mamlaka ya kuteua Wabunge kuunda Kamati Mbalimbali za Bunge. Taarifa hiyo imeeleza kuwa, kufuatia mabadiliko hayo ambayo baadhi yake yamehusu Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti au wote wawili, Kamati za Kudumu za Bunge zilizoathirika na mabadiliko haya zitawajibika kufanya Uchaguzi wa viongozi kwa mujibu wa kanuni ya 116 (10). Baadhi ya Kamati ambazo zimeathirika na mabadiliko hayo na ambazo zitawajibika kufanya uchaguzi kwa viongozi ni zikiwemo; Kamati ya Ardhi

BREAKING NEWS : TUHUMA ZA RUSHWA KAMATI ZA BUNGE: Mbunge Zitto amejiuzulu

Image
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe hupokea rushwa. Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia spika kumtaka achunguze na kuchukua hatua. Kauli yake ianapatikana hapa chini; "Kuna tuhuma za rushwa dhidi ya Kamati mbalimbali za Bunge ikiwemo kamati ninayohudumu. Nimemwandikia Spika Kuomba Uchunguzi juu Ya tuhuma hizo na kwamba achukue hatua kali dhidi ya yeyote atakayekutwa kuhusika na vitendo vya rushwa. Nimejiuzulu Ujumbe wa Kamati ili Kutoa Nafasi Ya Uchunguzi Husika.

Uchaguzi wa Meya Dar: Isaya C. Mwita(CHADEMA) aibuka mshindi

Image
Huyu ndiye Meya wa Jiji la Dar es salaam. Meya wa jiji la Dar es Salam, Isaya Charles akisaini. eo ndo siku ya uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es salaam. Viongozi wakuu wa UKAWA wameshawasili ukumbini. Viongozi wa UKAWA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe, Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Mashinji, Naibu wa katibu wakuu; Salum Mwalimu na John Mnyika, pamoja na aliyekuwa mgombea uraisi na PM mstaafu Mhe. Edward Lowassa wameshawasili ukumbini. Ikumbukwe kuwa ombi la CCM la kuahirisha uchaguzi lilitupiliwa mbali na mahakama hapo jana na kuruhusu Uchaguzi huu ufanyike leo. Muda huu taratibu zinaendelea ukumbini, tutawajuza.. Picha viongozi wa UKAWA wakiwa ukumbini kusubiri taratibu zinaendelea. - Kituko cha mwaka madiwani 5 wa CCM wameingia mitini hawajaonekana ukumbini.

Updates: Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar

Image
Mh. Edward Lowassa na Godbless Lema wakiwasili Ukumbi wa Karimjee kunakofanyika uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam leo. Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Vincent Mashinji (aliyesimama katikati) na Makamu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalim (wa kwanza kutosho) na baadhi ya wajumbe wakiwa nje ya Ukumbi wa Karimjee ambapo wamefika kufuatilia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Vincent Mashinji wa kwanza kushoto akijadiliana jambo na baadhi ya wajumbe. Maofisa wanaosimamia uchaguzi huo wakikagua taarifa za wajumbe wanaositahili kuingia ukumbini kwa ajili ya kumchagua Meya wa Jiji la Dar. Hali ilivyo ndani ya Ukumbi wa Karimjee ambapo uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam unafanyika. Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuamuru uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam, kufanyika leo kama ilivyopangwa. Baadhi ya wajumbe wanaoshiriki uchaguzi huo wamefika ukumbini Karimjee ambapo uchaguzi huo unaf

KASI YA MAGUFULI YAMPA KIWEWE MKUU WA WILAYA YA IRAMBA,AMEAMUA KUJISALIMISHA KABISA HATAKI TENA UKUU WA WILAYA

Image
Wakati Taifa likisubiri uteuzi wa wakuu wa wilaya huku wanaoshikilia nafasi hizo wakiwa katika chekeche kwa kuzingatia vigezo vitano, Mkuu wa Wilaya Iramba, mkoani Singida, Lucy Mayenga amemuomba Rais John Magufuli asimjumuishe kwenye orodha ya wakuu hao anayotarajia kuitangaza wakati wowote. Rais Magufuli ameweka bayana vigezo atakavyotumia kufanya uteuzi wa wakuu hao wa wilaya ambavyo ni pamoja na suala la migogoro ya ardhi, tatizo la elimu hasa upungufu wa madawati, njaa na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu alivyovitangaza wakati akizungumza na wazee wa Dar es Salaam na katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, alizungumzia pia suala la wafanyakazi hewa ambao wamekuwa wakilipwa mishahara bila ya wahusika kuchukua hatua kudhibiti. Akizungumza kwenye kikao cha UWT, Mkoa wa Shinyanga mwishoni mwa wiki, Mayenga ambaye pia ni mbunge wa Viti Maalumu alisema aliwasilisha ombi hilo binafsi kwa Rais Magufuli ili apate fursa ya kusimamia biashara zake alizosema zinazodorora kutokana

Hoteli ya kigogo NSSF yazua gumzo

Image
Meneja wa Miradi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Injinia John Msemo. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Meneja wa Miradi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Injinia John Msemo anadaiwa kujenga hoteli ya kisasa yenye ghorofa tano, Makumbusho jijini Dar huku baadhi ya watu wakisema kuwa, kama mtumishi wa serikali hatakiwi kumiliki mali hiyo, Uwazi limechimba. Baadhi ya wananchi, wakiwemo majirani wa hoteli hiyo waliliambia gazeti hili kwamba, maadili ya watumishi wa serikali hayataki mtumishi wa umma kumiliki mali zenye thamani kubwa kama hoteli hiyo ambayo wao wanaikadiria kujengwa kwa mabilioni ya shilingi. SHUHUDA “Hii ni hoteli ya Msemo. Inaitwa Safina. Ina ghorofa tano. Huyu jamaa ni bosi pale NSSF, mimi sijui ni bosi wa nini lakini kwa mali kubwa kama hii sidhani kama ni halali yeye kumiliki. Muonekano wa hoteli hiyo inayomilikiwa na   Injinia John Msemo. “Hebu nyie Gazeti la Uwazi jaribuni kuchimbua ukweli au uhalali