Basi la Super Sami Lapata Ajali Tabora

Ajali ya gari (2)Aajali ilivyotokea. Ajali ya gari (3)Ng’ombe wakiwa wamkufa baada ya kugongwa na basi hilo.Ajali ya gari (1)
Basi lapinduka na kujeruhi watu Igunga WATU kadhaa wajeruhiwa baada ya basi la Super Sami lenye namba za usajili T 819 DEN kutoka Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam kupinduka katika Kijiji cha Igogo, wilayani Igunga mkoani Tabora leo wakati likijaribu kukwepa ng’ombe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Hamis Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuongeza kuwa taarifa za awali zinaonyesha dereva wa basi alikuwa anaongea na simu.

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA UTUPU ZILIZOPIGWA NA MWANAFUNZI WA UDOM ILI KUTANGAZA SOKO LA MWILI WAKE. TAZAMA HAPA

ZITTO KABWE AWAPONDA LOWASSA NA MAGUFULI