Posts

Mke na Mme Waliokamatwa na Madawa China, Familia Yaanika A-Z

Image
Baraka Malali na mkewe pamoja na mtoto wao. Sakata la Watanzania wawili ambao ni mke na mume kukamatwa na dawa za kulevya ‘unga’ nchini China na mtoto wao kurudishwa Bongo , limeingia sura mpya, baada ya familia za pande zote mbili kuzungumza na siri ya safari yao kufichuka, Ijumaa Wikienda lina ukweli wa tukio hilo. Wakazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam , Baraka Malali na mkewe Ashura Musa walikamatwa Januari 19, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Baiyun jijini Guangzhou, China wakiwa wamemeza jumla ya pipi 129 za dawa za kulevya zilizosadikika kuwa ni heroin. Mume alipakia pipi 47 na mkewe pipi 82. Taarifa zilieleza kuwa, mamlaka nchini humo ziliamua kumrudisha nyumbani mtoto wao ambaye aliwasili Bongo wikiendi iliyopita kukabidhiwa kwa Ustawi wa Jamii, wakati mipango ya kumkabidhi mtoto huyo kwa ndugu wa wazazi wake ikiendelea. Baada ya kujiri kwa tukio hilo, Ijumaa Wikienda lilizungumza na wazazi wa watuhumiwa hao na Idara ya Ustawi wa Jamii kujua kw

Breaking News: Salum Mwalimu Akamatwa na Polisi

Image
Mgombea ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu. MGOMBEA  ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa na polisi kituo cha kupigia kura cha Idrisa Kata ya Magomeni. Akizungumza na Global TV Online mchana huu Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene amethibitisha kukamatwa kwa mgombea huyo.

Diamond Platnumz ateswa na maamuzi ya Zari

Image
 Leo February 16,2018 Diamond Platnumz ameonekana kuonyesha hisia zake juu ya maamuzi  ya Zari kuachana nae, kupitia instagram account yake Diamond amekuwa akipost video clips mbalimbali za nyimbo za mapenzi. Kupitia instagram ya Diamond Platnumz amepost kipande cha wimbo wake wa Sikomi na kuandika “Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae😟…. Anyways 28 Days Before the Reveal of #AboyFromTandaleAlbum!🔥 #SikoMi Bonus Track on #AboyFromTandale Available on All Digital Platforms now!”

Wananchi Wamkataa Mkuu Wa Wilaya Mbele Ya Waziri Mkuu

Image
WANANCHI wa wilaya ya Kwimba wamemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aondoke na mkuu wa wilaya hiyo Bw. Mtemi Msafiri baada ya kutoridhishwa na utendaji wake. Wametoa ombi hilo jana (Ijumaa, Februari 16, 2018) walipozuia msafara wa Waziri Mkuu alipowasili katika Ofisi za Halmashauri ya wilaya Kwimba zilizopo Ngudu kwa ajili ya kuzungumza na watumishi akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza. Wananchi hao walimkataa mkuu wao wa wilaya Bw. Msafiri kupitia ujumbe wa mabango 17, ambapo Waziri Mkuu amewataka wananchi hao wawe watulivu wakati Serikali inafanyia kazi malalamiko yao. Wananchi hao wanadai kwamba Mkuu huyo wa Wilaya anatabia ya kuamrisha polisi wawakamate kwa kisingizio cha uzururaji na kisha wanawekwa mahabusu, ambapo baada ya muda wanatolewa na kwenda kulima kwenye shamba lake. Waziri Mkuu amesema Serikali inahitaji kila mtumishi atambue majukumu yake na ayatekeleze. “Hakuna atakayeonewa, haki zenu zote tunazitekeleza nanyi mnataki

Mwanamume aliyejibadilisha jinsia 'amnyonyesha mtoto'

Image
Mwanamume aliyejibadilisha jinis na kuwa mwanamke amefanikiwa kumyonyesha mtoto katika kisa cha kwanza cha iana yake kuwahi kushuhudiwa, watafiti wanasema. Mwanmke huyo mwenye umri wa miaka 30 alitaka kumnyonyesha mtoto baada ya mpenzi wake aliyejifungua kusema hataki kumnyonyesha mtoto huyo, hayoni kwa mujibu wa wa jarida la afya la watu waliojibadili jinsia. Alifanikiwa kunyonyesha baada ya kumeza dawa na kukamua maziwa, ripotihiyo inasema kutoka nchini Marekani. Mtaalamu wa Marekani anasema utafiti huo huenda ukachangia visa zaidi vya wanaume walijibadilisha jinsia kuwa wanawake kunyonyesha watoto. Mwanamke huyo aliyekuwa anapokea matibabu ya kubadili homoni zake mwilini kwa muda wa miaka 6, lakini hajafanyiwa upasuaji kubadili sehemu zake za siri, wakati alipowaomba madaktari wamsaidie atimize lengo lake la kumnyonyesha mtoto. Kabla ya mtoto huyo kuzaliwa, madakatari walimpadawa za miezi mitatu unusu kumsaidia kupata maziwa, kwa kawaida dawa hizo hupewa

DIAMOND PLATINUMZ NA RUGE TENA,WATAJWA NA MGOMBEA UBUNGE KINONDONI

Image
Mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya CCM, Maulid Mtulia ameahidi kuwatumia Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba kunyanyua vipaji katika jimbo hilo ili kuongeza fursa ya ajira.    Mhe. Mtulia amesema hayo leo Ijumaa Februari 16, 2018 katika viwanja vya Biafra wakati akijinadi kwenye kilele cha kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo hilo. Hata hivyo, Mtulia amewahakikishia wapenzi wote wa soka jimboni humo kuwa ataisaidia timu ya KMC FC iliyopanda daraja kwenda Ligi Kuu kwa hali na mali ifanye vizuri ili kukuza kwa urahisi vijana wengine wenye vipaji. Kwa upande mwingine Mtulia amesema wakazi wa Kinondoni wasihadaike kwa lolote kuchagua viongozi wa vyama vingine kwani yeye anajua matatizo ya vyama hivyo ndio maana aliamua kuhamia CCM akitokea CUF.

Mgombea Ubunge Maulid Mtulia apiga kura yake

Image
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maulid Mtulia, amepiga kura asubuhi hii ya Feb. 17, 2018 katika kituo cha Friends Corner huko Kata ya Ndugumbi jijini Dar es Salaam.

Makamuzi Ya Mapacha Watatu Si Mchezo

Image
Jose Mara akiwajibika jukwaani. Mpiga besi gitaa wa Mapacha Watatu Vincent Munisi akiwajibika jukwaani. Chaz Baba Kingunge naye akiwajibika. Wanenguaji wakifanya yao. Bendi ya Mapacha Watatu Music Band chini ya Jose Mara usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi kwenye ukumbi wa Safari Pub, Mtoni Kijichi jijini Dar. Katika onesho hilo Bendi hiyo ilifanya makamuzi ya nguvu ambapo leo Jumamosi itafanya makamuzi Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori jijini Dar.

Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Aapishwa

Image
Rais John Magufuli amemuapisha Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed. Luteni Jenerali Mohamed ameteuliwa jana Februari 14, 2018 kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ na kupandishwa cheo kutoka Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali. Luteni Jenerali Mohamed anachukua nafasi ya Luteni Jenerali, James Mwakibolwa ambaye amestaafu. Mbali na uteuzi huo, Rais Magufuli pia amewapandisha vyeo kutoka Brigedia Jenerali na kuwa Meja Jenerali J.G. Kingu, M.S. Busungu, R.R. Mrangira, B.K. Masanja, G.T. Msongole, A.F. Kapinga, K.P. Njelekela, A.S. Bahati, M.E. Mkingule na S.S. Makona. Taarifa ilitotolewa Ikulu jana imesema mabrigedia jenerali wote waliopandishwa vyeo watapangiwa vituo vya kazi baadaye. Kabla ya kuapishwa kwa Luteni Jenerali Mohamed, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Venance Mabeyo aliwavalisha vyeo mameja jenerali waliopandishwa vyeo na Rais Magufuli.

NAFASI ZA KAZI PRECISION AIR SERVICES PLC

Image
Precision Air Services Plc is a fast growing private Tanzanian airline which operates in partnership with Kenya Airways, with its strategies to expand wings beyond East Africa and Africa. In order to keep our services at a higher level and meet our customers’ maximum satisfaction, we wish to invite applications from suitably qualified candidates to fill in this challenging positions. POSITION: PILOT IN COMAND ATR 42/72   REPORTS TO: FLEET CAPTAIN DUTY STATION: DAR ES SALAAM ROLE PURPOSE STATEMENT: To plan, supervise and execute company flights in accordance with legal and company policies and procedures for safe, efficient and economic conduct of flights. Duties and Responsibilities It is the responsibility of the PIC to ensure the safe and efficient operation of the aircraft in all stages of ground and flight operations. Plan, and supervise the execution of company flights in accordance with legal and company policies and procedures, authorized checklists

Nafasi za Kazi Medical Stores Department (MSD), February 2018

Image
Ref.No.EA.7 /96/01 /J/83  THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE  February 12, 2018 PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT  VACANCIES ANNOUNCEMENT President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat on behalf of the Medical Stores Department (MSD), invites qualified Tanzanians to fill one (1) vacant post as mentioned below; 1.0 BACKGROUND  1.1 MEDICAL STORES DEPARTMENT ( MSD )  Medical Stores Department (MSD) is a semi-autonomous Department under the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, established by Act of Parliament No.13 of 1993 with an objective of developing and maintaining an efficient and cost effective system of procurement, storage and distribution of health commodities required for use by the public and accredited faith based health facilities. MSD is at a very exciting stage of reforming its operations, systems and processes with the aim of becoming a highly effective supply chain organizat

Ajira: Wildlife Biologist/Ecologist Jobs, (WWF), February 2018

Image
JOB VACANCY  Wildlife Biologist/Ecologist  WWF (The World Wide Fund for Nature) is an international non-governmental organization that deals with conservation of nature through a number of environmental management programmes. Our mission is to stop the degradation of the Planet’s natural environment and to build a future in which human live in harmony with nature. WWF-Tanzania Country Office (WWF-TCO) is seeking to hire the ‘Wildlife Biologist/Ecologist” to be based in Tunduru.  I. Major Functions:  This is a field based position and responsible for studying the life processes of animals and their environment as well as wildlife population dynamics. Monitoring plant and animal habitats, determines which animals are affecting nature in a detrimental way, and helps restore and conserve animal habitats within the WMAs, buffer areas of Selous Game Reserve and the Selous-Niassa Wildlife Corridor. The officer will be the lead person for designing and conducting r

ESMA: SIPENDI KUMTEGEMEA DIAMOND

Image
D ADA wa mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Khan amesema hapendi kumtegemea mdogo wake huyo katika shughuli zake licha ya kuwa anaamini anaweza kumsaidia sana. Akizun-gumza na Amani, Esma alisema siku zote anataka ajivunie mafa-nikio yake, atembee mwen-yewe na ndiyo maana hata alipofungua duka la nguo, hakutaka kumsumbua Diamond wala wifi yake, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’. “Najua kabisa kaka yangu na wifi yangu wana watu wengi kwenye mitandao yao lakini nilitamani sana kwenye mafanikio yangu nisimame mwenyewe ili nijue changamoto zake, kweli nimeweza,” alisema Esma. Esma na Diamond ‘wanashea’ mama, kila mmoja ana baba yake.

Vyakula Kumi 10 Vya Kuongeza Kinga Ya Mwili

Image
Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu Mwili ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yako yote, na usipokuwa sawa basi hutaweza kutimiza lengo lako lolote! Hivi ni yakula kadhaa vinavyoweza kukusaidia kuongeza kinga ya Mwili wako 1.Yogurt ( Maziwa mtindi ) Hutengenezwa kwa kutumia maziwa ya ng’ombe na kimea, hupatikana kwa ladha mbalimbali kulingana na matakwa yako, yogati pengine ndio chakula kinachoongoza kwa kuogeza Kinga ya mwili wako. 2. Matunda Yanapatikana sehemu yoyote duniani kwa bei unazozimudu, katika mlo wako wowote jitahidi usiache kujumuisha angalau tunda la aina moja. Kwa mujibu wa wataalamu wa afya, matunda asiyekula matunda anahatari kubwa zaidi ya kupata magonjwa zaidi ya mlaji wa matunda. 3. Vitunguu saumu Hupatikana Kila soko Tanzania! Japokuwa vitunguu saumu vimekuwa

Breaking News: Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Ajiuzulu

Image
HATIMAYE Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametangaza kujiuzulu urais wa nchi hiyo usiku huu ikiwa ni siku chache baada ya chama chake cha ANC kuanzisha vuguvugu la kumng’oa madarakani. Akitangaza uamuzi huo, Zuma amesema asingependa damu imwagike na chama(ANC) kimeguke kwa sababu yake. ANC kikiongozwa na Cyril Ramaphosa, siku chache zilizopit kilituma ujumbe maalum kumtaka rais huyo kuachia madaraka, kutokana na harakati nyingi za kumtaka afanye hivyo tangu mwaka jana. Jacob Zuma anakabiliwa na tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka ambapo Bunge la nchi hiyo kujaribu kupiga kura za maoni ili kumuondoa lakini ilishindikana, ndipo chama kikafanya mkutano na kuchukua uamuzi huo mgumu wa kumtaka afanye hivyo, la sivyo kitamtoa kwa nguvu. Zuma amefuata nyayo alizopita rafiki yake mkubwa Robert Mugabe ambaye alikuwa Rais wa Zimbabwe, aliyetakiwa kufanya hivyo mwishoni mwa mwaka 2017 na jeshi la nchi hiyo, la sivyo lingetumia nguvu kumng’oa, na hatimaye kuac

Zari Atangaza Rasmi Kuachana na Diamond

Image
IKIWA ni siku ya wapendanao,  leo Februari 14, 2018, Mfanyabiashara maarufu Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Zarinah Hassan ‘Zari the Boss Lady ametangaza kuvunja rasmi mahusiano yake ya kimapenzi na Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Kupitia ukurasa wake wa Instagaram, Zari amefunguka kuwa kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano yao huku akibainisha kuwa kuachana katika mahusiano ya kimapenzi hakutaathiri uhusiano wao kama wazazi. Diamond ambaye alianza mahusiano na Zari takribani miaka mitano iliyopita baada ya kuachana na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu, amezaa na Zari watoto wawili ambao ni Tiffah na Nilan huku pia akitajwa kuchepuka jambo ambalo limepelekea akazaa mtoto mwingine na mwanamitindo Hamissa Mobeto. Mbali na Mobeto, Diamond amekuwa akihusishwa kurudiana na Wema ambapo hivi karibuni walionekana kugandana kwenye hafla ya kutambulishwa kwa msanii Mbosso kwenye lebo ya WCB Wasafi.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 15.02.2018

Image
                                     

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
             

Fangasi Sehemu za Siri za Mwanaume

Image
Watu wengi wanaamini kuwashwa sehemu za siri kunasababishwa na fangasi tu, ndiyo maana nimepata maswali ya wasomaji juu ya matibabu na jinsi ya kujikinga na fangasi kwa kuwa wanaamini muwasho unaowasumbua kwa muda mrefu ni matokeo ya maambukizi ya fangasi. Watu wanapaswa kufahamu kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani ndani ya mwili wako pengine isiwe ni fangasi na ikawa ni mzio (allergy) tu. Mara nyingi muwasho sehemu za siri unaosababishwa na kitu huisha wenyewe kitu hicho kikiondolewa. Kuondolewa kwa kitu hicho kunatia ndani matibabu sahihi na kuendelea na njia bora za kujikinga kutopata maambukizi tena. Vitu vingine vinavyosababisha muwasho huhitaji matibabu ya hali ya juu zaidi. Ikiwa unawashwa kwa muda mrefu ni vyema kuzungumza na daktari. Kukaa na ugonjwa kwa muda mrefu kunaweza sababisha ugonjwa kusambaa mwilini na kuongeza hatari ya kifo. Nini husababisha Muwasho Sehemu za Siri za Mwanaume? Kuwashwa uume au sehemu zingine za s

Katibu wa Bunge Azungumzia Afya ya Spika Job Ndugai

Image
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema hali ya afya ya Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyepo nchini India inaendelea vizuri. Kagaigai amesema leo Februari 14,2018 kuwa Spika Ndugai yupo India kwa ajili ya kuangalia afya yake (check-up) na anatarajiwa kurejea nchini wakati wowote. Katibu huyo wa Bunge amesema, “Tulikwisha kusema kwamba Spika yuko India kwa ajili ya ‘check-up’ na hali yake inaendelea vizuri.” Alipoulizwa kuwa Spika atakuwa ughaibuni hadi lini, Kagaigai amesema: “Hilo ni kati ya daktari wake na yeye lakini ninachoweza kusema wakati wowote anaweza kurudi nchini.”