
Jose Mara akiwajibika jukwaani.

Mpiga besi gitaa wa Mapacha Watatu Vincent Munisi akiwajibika jukwaani.

Chaz Baba Kingunge naye akiwajibika.

Wanenguaji wakifanya yao.
Bendi ya Mapacha Watatu Music Band chini ya Jose Mara usiku wa
kuamkia leo ilifanya makamuzi kwenye ukumbi wa Safari Pub, Mtoni Kijichi
jijini Dar. Katika onesho hilo Bendi hiyo ilifanya makamuzi ya nguvu
ambapo leo Jumamosi itafanya makamuzi Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori
jijini Dar.
Comments
Post a Comment