
Mgombea ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu.
MGOMBEA ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa na
polisi kituo cha kupigia kura cha Idrisa Kata ya Magomeni. Akizungumza
na Global TV Online mchana huu Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene
amethibitisha kukamatwa kwa mgombea huyo.
Comments
Post a Comment