Posts

WATUHUMIWA WA UJAMBAZI STAKISHARI WATIWA MBARONI

Image
Kituo cha Polisi Stakishari kilichovamiwa na majambazi. JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limewakamata watu watano waliohusika na tukio la ujambazi katika Kituo cha Stakishari, kilichopo Ukonga jijini Dar pamoja na silaha kadhaa. Katika tukio hilo bunduki aina ya SMG 7, SAR 7 na risasi 28 za SMG vimekamatwa vyote vikiwa vya Kituo cha Stakishari. Mbali na vitu hivyo, sanduku lenye fedha kiasi cha shilingi milioni 170 pamoja na pikipiki 4 vimekamatwa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, ameapa kwamba Jeshi hilo litawakamata wote waliohusika na tukio hilo, pia amesema kama wapo watu waliohusika na tukio hilo wajisalimishe mapema.

KAMATI YA SIASA YA SONGEA MJINI YAENGUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE YA DR EMMANUEL NCHIMBI

Image
KAMATI ya Siasa ya chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Songea Mjini imetupilia mbali fomu ya mgombea UBUNGE Dr. Emmanuel Nchimbi kwa madai kuwa fomu hiyo haikuwa na vigezo na kusababisha kushindwa kuijadili baada ya mgombea kutokuwepo kwenye kikao hicho. Akizungumza asubuhi ya leo ofisini kwake katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Juma Mpeli alisema kuwa mpaka jana majira ya saa kumi jioni fomu za kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini zilipokelewa tisa (9) lakini fomu moja ya Dr. Nchimbi ilikuwa imechukuliwa na mmoja wa wakazi wa Songea na ikalejeshwa siku hiyo hiyo ikiwa imejazwa. Alisema kuwa fomu hiyo ya mgombea ilishindikana kujadiliwa kwa kuwa mgombea mwenyewe Dr. Nchimbi hakuwepo kwenye kikao ambacho wagombea wote waliitwa kujadiliwa kadri ya maelezo waliyoyatoa kwenye fomu ya kugombea ubunge kwenye jimbo hilo. Alieleza zaidi kuwa fomu hiyo iliyoondolewa maelezo yaliyokuwemo imeonyesha wazi kwa ilijazwa na watu wengine na sio mgombea Dr. Nchimbi na jitihada zilif

BAADA YA SHILOLE KUMWAGA MBOGA NUHU NAE AMWAGA UGALI JIONEE ALIVOMWANIKA MWANDANI WAKE HUYO!! BALAA TUPU Wakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa kama hivi Shilole kaanza kwa kumwaga mboga, kumkashifu aliekua mwandani wake "Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi™@shilolekiuno" Nuhu nae akaona isiwe tabu akamwaga ugali, na kachumbari "Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE ™@mziwandanation"

Image
Wakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa kama hivi Shilole kaanza kwa kumwaga mboga, kumkashifu aliekua mwandani wake "Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi ™@shilolekiuno" Nuhu nae akaona isiwe tabu akamwaga ugali, na kachumbari "Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha y

MMAREKANI NE-YO AMVULIA KOFIA DIAMOND

Image
  kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na ‘Ne-yo’. KIWANGO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-yo’ kuukubali uwezo wa kimuziki alionao kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. Kabla ya Mmarekani huyo aliyewahi kutamba na Wimbo wa Miss Independent kuukubali uwezo wa Diamond, mastaa mbalimbali wa Afrika wakiwamo David Adedeji Adeleke ‘Davido’ na P-Square (Peter na Paul Okoye) wa Nigeria, kwa nyakati tofauti waliwahi kuripotiwa kwenye vyombo vya habari wakiguswa na uwezo wake na kuamua kufanya naye kolabo. TUJIUNGE SAUZ Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoripoti ‘live’ kutoka Durban, Afrika Kusini (Sauz), wikiendi iliyopita kulikofanyika Tuzo za MTV Africa Music (Mama), Ne-yo ndiye aliyekuwa wa kwanza kuonesha shauku ya kutaka kumjua Diamond. “Jamaa (Ne-yo) yeye mwenyewe ndiye aliyeonesha kuwa na shauku kubwa ya kuta

SIRI IMEFICHUKA! RAY C AANIKA MAPENZI YAKE YA SIRI NA RAIS

Image
While laying her sentiments on social media, the mellow voiced singer claimed that she has been holding her secret back for long but it’s high time she let the world know about it. Aging Tanzanian singer, Rehema Chalamila, who is popularly known as, Ray C, has confessed that she has had a crush on President Uhuru Kenyatta for so long. “Lemme tell you a lil secret about Uhuru!!! I love this guy to death! I have had a crush on him for soooo long!!! ” She said. Ray C further confessed that everything about our President is awesome and no woman can resist him. “I love everything about him. His accent, his attitude. Total package” the singer added. Ray C’s confession comes just a few weeks after she listed crazy demands any man who wants to marry her must meet. Among those demands includes, sharing the shame phone and ability to cook for her when she is tired. The aging singer is yet to find a husband despite her popularity.

LULU AZUA MAKUBWA NA MAZITO KWA KAULI YAKE HII TATA ALIYOITOA...SHUKA NAYO HAPA!

Image
Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Imelda mtema Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hiyo ikiacha baadhi ya watu midomo wazi na kutaka kujua kulikoni. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kuwa ni kweli yeye ni demu feki lakini kama watu wanataka kujua kwa nini yeye ni feki na ana tabia za kitapeli wasubiri kujua kwa nini ameamua kujiita hivyo. “Kama mtu anataka kujua ufeki wangu anisikilizie maana kuna kitu nimefanya kitathibitisha hilo,” alisema Lulu.

DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE CHATO,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA KONA YA MJI

Image
  Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi  CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi.  Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli. Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Chato na vitongoji vyake waliokuwa  wamekusanyika kwenye kituo cha mabasi wilayani humo wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha  Mapinduzi  CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha kwao.  Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Chato na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza  kwa wingi kumlaki Mbunge wao na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi  CCM,Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili leo jioni mjini

HUU NDO UJUMBE MPYA ALIO UANDIKA LOWASA MDA MFUPI ULIO PITA

Image
Mh Edward Lowassa Ametoa Ujume Mzito Kupitia Ukurasa wake wa Facebook     BONYEZA HAPA KUONA VIDEO LEMBENI ALIVYORUDISHA KADI

BREAKING NEWS : MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI

Image
Wananchi wakilitazama  Mv. Kigamboni baada ya  kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari  baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni  Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni  likiwemo gari maalumu bla kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na blilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa  dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA  KHAMISI MUSSA)

Lowassa Apata Mapokezi ya Kishindo Jijini Mbeya..Apata Wadhamini 53,156 Toka Mkoani Mbeya

Image
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza machache na kutoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya, leo Juni 19, 2015. Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wakiwa wamemzunguka Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (katikati) wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya leo Juni 19, 2015 kukabidhiwa fomu zitakazomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mbeya wamevunja rekodi ya udhamini kwa Mh. Lowassa ya mikoa yote aliyopita, amepata wadhamini 53,156 kwa mkoa wa Mbeya pekee.   Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM zaidi ya elfu tisa wa Wilaya ya Mbeya Vijijini kutoka kwa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, Mary Ka

Neymar afungiwa mechi nne na bonge la faini

Image
Nyota wa Brazil na klabu ya Barcelona Neymar hatocheza tena michuano ya Copa America inayoendelea huko Chile baada ya kufungiwa kucheza mechi nne kutokana na kitendo chake cha utovu wa nidhamu alichokifanya wakati Brazi ikicheza dhidi ya Colombia mchezo ambao ulimalizika kwa Brazil kufungwa kwa goli 1-0. Nahodha huyo wa Brazil alioneshwa kadi nyekundu baada ya filimbi ya mwisho ya mwamuzi kupulizwa kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Santiago Jumatano iliyopita. Neymar alimpiga na mpira mgongoni kwa makusudi mchezaji Pablo Armero wa Colombia mara baada ya mwamuzi kupuliza filimbi ya mwisho kumaliza mchezo huo. Mshikemshike baada ya Neymar kuzua tafran kwa kupiga mpira ulio ‘mbabua’ mgongoni mchezaji wa Colombia Awali alifungiwa kucheza mechi moja, lakini baadae shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (South America Football Confederation) liliongeza kifungo na faini ya dola 10,000 za Kimarekani baada ya Neymar kugundulika kuwa alimtolea maneno machafu m

CHILE YAIUA BOLIVIA 5-0, SANCHEZ KAMA KAWAIDA

Image
Chile imetoa kipondo cha mbwa mwizi kwa Bolivia baada ya kuichakaza kwa jumla ya bao 5-0 ikiwa ni mchezo wa kundi A kwenye michuano ya kombe la Mataifa ya bara la America Kusini almaarufu kama Copa America mchezo uliomalizika alfajiri ya leo huko nchini Chile. Charles Aranguiz alianza kuipatia Chile bao la mapema ikiwa ni dakika ya tatu tangu mchezo huo kuanza kabla ya winga wa Arsenal Alexis Sanchez kufunga goli la pili dakika ya 37 na kuifanya Chile iende mapumziko ikiwa mbele kwa goli 2-0 dhidi ya Bolivia. Kipindi cha pili kilikuwa kibaya zaidi kwa Bolivia kutokana na Chile kulisakama lango lao kwa muda mwingi wa mchezo hali iliyopelekea wafanye makosa mengi kwenye safu yao ya ulinzi na kutoa mianya kwa Chile kufunga mabao. Aranguiz alipachika pao la tatu kwa Chile dakika ya 66 lakini likiwa ni bao lake la pili kwenye mchezo huo, kabla Gary Medel hajatupia nyavuni goli la nne dakika ya 80. Zikiwa zimebaki dakika nne ili mwamuzi amalize pambano hilo, Ra

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.

Image
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita. Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kupokea kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. eneo la Nyarugusu. 

ALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10

Image
Masanja Mwinamila (44) mara baada ya kufikishwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Nzega Juni 15, 2015. Mtoto Margreth Hamisi Machiya (6) aliyenusurika kuuzwa akiwa hai na mjomba wake. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Juma Bwire akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tukio hilo Juni 16, 2015. Na Daniel Mbega, Nzega. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Nzega leo hii imemhukumu Masanja Mwinamila (44), mkazi wa Kitongoji cha Kona Nne, Kijiji cha Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala, Tarafa ya Puge wilayani Nzega katika Mkoa wa Tabora kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kuteka mtoto mwenye albinism, Margreth Hamisi (6). Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Saraphine Nsana, alitoa hukumu hiyo baada ya mshtakiwa kusomewa shtaka na kukiri kutenda kosa hilo. Ilielezwa mahakamani hapo kwamba, mnamo Juni 15, 2015 majira ya saa 3:00 usiku katika Kijiji cha Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala wilayani Nzega, mtuhumiwa alimteka binti huyo kw

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI INDIA

Image
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shada katika kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi jijini New Delhi India leo asubuhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni 19, 2015. Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu wa IndiaMheshimiwa Narendra Modi, na Rais Wa IndiaMheshimiwa Pranad Mukherjee wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya Rais kikwete kuwasili katika ikulu ya India kwa mapokezi rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono  na Rais wa India, Mheshimiwa Pranad Mukherjee (kushoto) na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Na