BAADA YA SHILOLE KUMWAGA MBOGA NUHU NAE AMWAGA UGALI JIONEE ALIVOMWANIKA MWANDANI WAKE HUYO!! BALAA TUPU Wakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa kama hivi Shilole kaanza kwa kumwaga mboga, kumkashifu aliekua mwandani wake "Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi™@shilolekiuno" Nuhu nae akaona isiwe tabu akamwaga ugali, na kachumbari "Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE ™@mziwandanation"

Wakati bado tupo kwenye shamra shamra ile couple ya wendawazimu flani hivi amazing imeibuka kusikojulikana na kuanza kumwaga mchele kwenye kuku, koh koh koh majogoo na matetea wakaanza kudonoa kama hivi
Shilole kaanza kwa kumwaga mboga, kumkashifu aliekua mwandani wake
"Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika'ila sasa kama gari limewaka'aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu'Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi™@shilolekiuno"
Nuhu nae akaona isiwe tabu akamwaga ugali, na kachumbari
"Mwanaume wa kweli ukaa kimya'sibishani na upumbavu'mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa'na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu'familia na'wasanii wenzangu na wadau'anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew'mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu 'nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari 'mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE ™@mziwandanation"

Comments

Popular posts from this blog