Posts

ANGALIA NAFASI MPYA YA KAZI KUTOKA CRDB

Image

YULE MTOTO SATRINE AONDOLEWA RISASI KICHWANI

Image
Kakake Satrine akimpakata Satrine hospitalini kabla ya kufanyiwa upasuaji Nairobi Madaktari katika hospitali kubwa zaidi ya umma nchini Kenya,Kenyatta, wamefanikiwa kuondoa risasi iliyokuwa imekwama katika ubongo wa mtoto Satrine Osinya mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu. Risasi hiyo iliyomuingia mtoto Satrine kichwani ndiyo iliyomuua mamake. Mamake Satrine alikuwa amempakata mtoto wake ili kumlinda kutokana na magaidi waliovamia kanisa walimokuwa wiki moja iliyopita katika mtaa wa Likoni mjini Mombasa. Lakini walimpiga risasi mama huyo na kumuua papo hapo huku risasi iliyomuua mama huyo ikiingia kichwani mwa Satrine na kukwama kwenye ubongo wake. Satrine alipelekwa Nairobi kwa matibabu maalum kutoka Mombasa kutokana na ukosefu wa wataalamu wa upasuaji wa ubongo mjini humo. Shughuli ya kuondoa risasi hiyo ilichukua saa tatu na ilifanywa na madaktari watatu wakiongozwa Daktari Mwangi Gichuru ambaye ni mkuu wa kitengo cha upasuaji wa n

APONDWA MAWE NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUKUTWA NA PIKIPIKI YA WIZI..

Image
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25-30 ameuawa kikatili kwa kupigwa mawe kisha kuchomwa moto na wananchi waliojichukulia sheria mkononi baada ya kukamatwa na pikipiki ya wizi Katika kijiji cha Kagongwa Wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Tukio hilo limetokea jana majira ya saa nane mchana mara baada ya marehemu kuiba Pikipiki hiyo yenye no T634 CNK Aina ya SanLG mali ya Patrick Seba mkazi wa Nyahanga Mjini Kahama ambayo imeibiwa jana asubuhi Maeneo ya shule ya Kahama Muslim ikiwa imeegeshwa na dereva wake aitwaye Shija Zacharia. Kwa mujibu wa Mmiliki wa pikipiki hiyo Bwana Seba Ameiambia redio Kahama fm Kuwa alipewa taarifa na dereva wake ambapo aliamua kutoa taarifa ya kupoteza pikipiki hiyo kwa waendesha bodaboda wa mjini Kahama na Kagongwa.Amesema wakati anatoka Kagongwa kutoa taarifa ndipo akakutana na vijana wawili ambao waliokuwa wanaiendesha pikipiki hiyo kuelekea Kagongwa ambapo aliamua kuwafuatilia na kwamba aliwapata katika

MWALIMU AMVUNJA MGUU MWANAFUNZI KISA MAPENZI

Image
Mwanafunzi wa Darasa la saba katika Shule ya Msingi Bangwe Kata ya Bangwe kwenye Manispaa ya kigoma Ujiji mkoani hapo amepigwa na mwalimu wake katika maeneo mbalimbali ya mwili wake na kumvunja mguu wa kulia baada ya kumkatalia kumpa penzi.Akizungumza na mwandishi wetu jana wodi namba 5 katika hospitali ya Rufaa ya Maweni mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kwa jina la Zubeda Athuman (14) alisema chanzo cha mwalimu huyo kumchukia na hatimaye kufikia hatua ya kumpiga na kumvunja mguu ni wivu wa kukataliwa kupewa penzi ,hali iliyomfanya mwalimu huyo kumpa adhabu za hapa na pale kila aendapo shule.Hali hiyo ilimfanya mwanafunzi huyo kuwadokeza wazazi wake ambapo walimwambia avumilie,ndipo jumatano ya wiki hii mwalimu alimpa adhabu ya kuchimba shimo na alikataa kufanya hivyo baada ya kuona hana kosa la msingi la kumpa adhabu hiyo. Mwalimu huyo alifikia hatua ya kumfuata nyumbani kwao machi,22,2014 saa 12.30 jioni hali iliyowashtua wazazi na kumuhoji mtoto juu ya hilo ndipo

LIGI YA MABINGWA : MAN UTD WALAZIMISHWA SARE NA BAYERN MUNICH

Image
Manchester United will take a 1-1 draw to the Allianz Arena in the quarter-finals of the Champions League. On target: Bastian Schweinsteiger finishes a fine Bayern Munich move to score the equalising goal at Old Trafford Heavens above: David De Gea looks toward the skies after conceding in the second half Net gains: Nemanja Vidic angles his header towards the Bayern Munich goal and past Manuel Neuer Head of the pack: Vidic celebrates with Phil Jones after netting the first goal of the night at Old Trafford Time to celebrate: The Old Trafford crowd revel in Vidic's opening goal in their tie against Bayern Munich Moment of madness? Welbeck attempts to chip Manuel Neuer in the first half at Old Trafford Perfect moment: The England international tried a delicate chip against the Munich goalkeeper Disallowed: Danny Welbeck's strike was ruled out after the United forward committ

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)

Image
Tanzania Revenue Authority Jobs , April 2014 Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under the Tanzania Revenue Authority Act No.11 0f 1995.The Authority is a semi-autonomous agency of the Government responsible for the administration of the Central Government taxes as well as several non-tax revenues. TRA is currently implementing its fourth Corporate Plan whose vision is t o increase revenue to GDP to 19.9% by 2018 .

AJALI NYINGINE MBAYA YA BASI LA MOHAMMED TRANS YAUA JIJINI MWANZA

Image
P icha hii si ya tukio lenyewe Watu wawili wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa hospitali na kupelekwa  Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10 wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!

ANGALIA RATIBA YA LIGI YA MABINGWA MECHI ZA LEO

Image
 

HII NDIO VIDEO YA NGONO ILIYOIGIZIWA BONGO

Image
  Hali inazidi kuwa mbaya katika nchi ya Tanzania baada ya kugubikwa na majanga mengi na kuchafua jina la nchi yetu asa ili madawa ya kulevya.hivi karibuni kumeibuka wimbi la vijana kujiingiza kwenye vitendo vya  ngono. Katika kudadavua na kupekenyua tumeweza kukutana na CD za ngono tena zilizofanywa na vijana wetu wa kitanzania bila kujali maadili ya nchi yetu vijana wamethubutu kuingia location na kufanya mkanda wa ngono na kuingiza mtaani na kuuza bila kuogopa maadili ya nchi yetu Jina la kampuni hiyo kama unavyoanza mkanda unasomeka VIDEO ENTERTAIMENT inawaletea bongosex from tz bila uoga wanachafua jina la nchi yetu Hii Aibu sasa bongo tumefikia kufanya filamu za ngono bila kujali magonjwa <<BOFYA HAPA KUONA PICHA YA KASHA YA MOVIE IYO>> Kuangalia video bofya hapo chini ila ni lazima uwe na umri zaidi ya miaka 18 <<BOFYA HAPA 1>> <<BOFYA HAPA 2>> <<BOFYA HAPA 3>> <<BOFYA HAPA 4>>

MBWA WA UBALOZI WAMLA MTOTO!

Image
NI vigumu kuamini kilichotokea lakini ndivyo ilivyokuwa! Mtoto Christian Alex (6) ameuawa kikatili kwa kuliwa na mbwa wanaodaiwa kuwa ni wa Ubalozi wa Qatar nchini Tanzania unaoongozwa na Balozi Jassim Mohammed Mubarak Daruwesh. Mtoto Christian Alex enzi za uhai wake. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 26, mwaka huu Jangwani Beach, Kunduchi jijini Dar es Salaam ambapo mtoto huyo alishambuliwa na mbwa wa kigogo huyo alipokuwa na baba yake jirani na nyumba hiyo ya kupanga yenye nyumba nyingine mbalimbali (apartment). MAELEZO KWA UFUPI Inaelezwa kuwa, baba wa marehemu pia anaishi kwenye moja ya nyumba hizo akifanya kazi ya kutunza mazingira endapo mpangaji mmoja anahama. Wote wanaoishi humo wanatumia mageti mawili tu, kuingia na kutoka. Mama wa mtoto Christian Alex akiwa amezimia wakati mwili wa mwanae unazikwa BABA WA MAREHEMU ASIMULIA Akizungumza na gazeti hili kwa majonzi kwenye msiba uliogubikwa na vilio na simanzi, baba wa mtoto huyo aliyejit

MTOTO WA AJABU JIJINI DAR...HIVI NDIVYO VITU VYA KUSHANGAZA ANAVYOWEZA KUVIFANYA

Image
    Mkazi wa Mbezi-Kibanda,  Andrea Marcus.   AMA   kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao, Andrea Marcus (13), mkazi wa Mbezi-Kibanda cha Mkaa, Dar anadaiwa kuwa wa ajabu kutokana na vitendo vyake. Mtoto huyu amedaiwa kuwa ni wa kichawi kutokana na maajabu yafuatayo:   Ana uwezo wa kula ubwabwa sufuria moja la familia, anamudu kunywa maji ndoo moja, ana uwezo wa kuingiza tumboni mikate mikubwa saba kwa mlo mmoja,  amewahi kula mchele (si ubwabwa) ndoo nzima. Mbaya zaidi baada ya kula milo hiyo huwa haoneshi ameshiba. Maajabu mengine ambayo yanawashangaza watu wanaoishi naye ni jinsi anavyokula chakula kwa kumwaga chini kisha kukomba mpaka udongo. “Sina amani ya moyo, naomba Watanzania wanisaidie, mwanangu ananiuma sana, hata kujisaidia ni hapohapo, chakula anakula kupita kiasi, kama nilivyosema hashibi na bado hali kama mwanadamu wa kawaida,” alisema mama wa mtoto huyo. Akizungumzia madai ya uchawi, mama huyo, Angelina Marcus alisem

HUJAFA HUJAUMBIKA"HAYA NI ZAIDI YA MATESO"

Image
KWELI ni zaidi ya mateso! Ukisema we unaumwa lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe! Mtoto Neema Joseph (2) anateseka kwa ugonjwa wa jicho ambalo limefumuka na kutoka nje huku likitoa harufu kali na maumivu yasiyo na mfano, Uwazi lilimtembelea. Mtoto Neema Joseph (2) akilia kutokana na maumivu makali ya jicho. Mtoto huyo anayelia wakati wote kutokana na maumivu, anaishi na mama yake mzazi, Annastazia Yohana (28) kwenye Kijiji cha Bugomba, Kata ya Bulungwa wilayani Kahama, Shinyanga. Akizungumza na Uwazi huku akimwaga machozi kwa uzito wa tatizo la mwanaye, mama Neema alisema hali yake ya maisha kiuchumi ni mbaya, hasa kufuatia kufiwa na mumewe, Josephat miezi tisa baada ya kujifungua mtoto huyo huku akiwa analea watoto wenginewawili. SIKIA KILIO CHA MAMA NEEMA “Tangu mume wangu afariki dunia nimekuwa na maisha ya shida, sina msaada kwani hakuna ndugu wa mume wala wangu wenye hali nzuri ya maisha na walio tayari kunisaidia kubeba mzigo

PICHA ZINATISHA..UKATILI MKUBWA..BABA AMCHARANGA MAPANGA MWANAE..KISA..KUANGUSHA TREI ZA MAYAI..!

Image
Tukio hili lilitokea eneo la Kitunda Dar es salaam pale mtoto huyu alipoangusha  baiskeli iliyokua na trei 25 za mayai. Ni ngumu kuamini kama Baba mzazi  wa mtoto ndiye aliyetenda kitendo hiki. credit:kandili yetu

TAZAMA BIBI WA MIAKA 100 ALIYEMALIZA SHULE YA MSINGI NA ANALENGO LA KUENDELEA KUSOMA ELIMU YA SEKONDARI..!!

Image
Bibi mmoja nchini Mexico amefanikiwa kuhitimu elimu ya shule ya msingi akiwa na umri wa miaka 100. Bibi huyo Manuela Hernandez (pichani) ambaye alizaliwa katika jimbo la Oaxaca mnamo mwezi Juni 1913, aliacha shule ya msingi baada ya kusoma kwa mwaka mmoja tu na kurejea kuisaidia familia yake masikini kufanya kazi za nyumbani. Hata hivyo alirejea shule kuendelea na masomo mwezi Oktoba mwaka uliopita akiwa na miaka 99 kufuatia kushauriwa na mmoja wa wajukuu zake. Manuela Hernandez akiwa ameshikilia cheti chake cha kuhitimu elimu ya msingi. Hivi sasa tayari amekabidhiwa diploma yake ya elimu ya msingi katika sherehe iliyofanyika katika jimbo Mexico Kusini. Bibi Hernandez amesema sasa ataendelea na masomo ya elimu ya sekondari. Zaidi ya nusu ya wakazi wa jimbo la Oaxaca wenye umri wa zaidi ya miaka 15 hawajamaliza elimu ya msingi

MAMAA MAJANGA AWAPA MAKAVU LIVE WANAWAKE WEZI WA WAUME ZA WATU....!!!SHUKA NAYO HAPA...

Image
  Mamaa  Majanga, Snura Mushi. MAMAA  Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa kinachowaponza wanawake wengi wanaoiba wanaume za watu ni kupenda kujitangaza.   Akizungumza kupitia  Global Online TV  (itaruka leo mtandaoni), Snura alisema kwa kulitambua hilo ndiyo maana aliwatonya kuwa ukiiba mume wa mtu fanya siri katika wimbo wa Nimevurugwa. “We ni mwizi halafu unatangaza kila sehemu unatafuta nini kama siyo matatizo na mwenye mali…,” alisema Snura. Ili kutazama mahojiano kamili na jinsi Snura alivyofunguka mambo mengi, fuatilia Global Online TV badae ili upate uhondo kamili.

SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE YAFANYA KATIKA UKUMBI WA EAST 24 MWISHONI MWA WIKI

Image
 Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Mengele (Nyerere) akihojiwa na waandishi wa habari wakati wa sherehe ya Kutimiza miaka 3 ya Klabu ya Bongo Movie, sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa East 24 uliopo Katika Jengo la Arcade Mikocheni, Mwishoni mwa Wiki Warembo wakiwa wamebeba Chupa za Windhoek zinazosambazwa na kuuzwa na Kampuni ya Mabibo Beer ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu wa Sherehe ya Kutimiza Miaka 3 ya Klabu ya Bongo inayoongozwa na Steve Nyerere. Mwenyekiti wa Makampuni yaliyo chini ya Proin Group Of Companies, Bw Johnson Lukaza akipokea cheti cha kuthaminiwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bongo Movie kama mmoja wa wamiliki wa kampuni ya usambazaji wa kazi za filamu nchini  iitwayo Proin Promotions Limited.  Burudani pia zilikuwepo  Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer, Mama Benadetha Rugemalila akiongea na waandishi wa habari wakati wa sherehe hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa East 24 uliopo Mikocheni katika jengo la Arcad