AJALI NYINGINE MBAYA YA BASI LA MOHAMMED TRANS YAUA JIJINI MWANZA

Picha hii si ya tukio lenyewe
Watu wawili wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa hospitali na kupelekwa  Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10 wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!

Comments

Popular posts from this blog