MAMAA MAJANGA AWAPA MAKAVU LIVE WANAWAKE WEZI WA WAUME ZA WATU....!!!SHUKA NAYO HAPA...

 Mamaa  Majanga, Snura Mushi.
MAMAA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa kinachowaponza wanawake wengi wanaoiba wanaume za watu ni kupenda kujitangaza.
 Akizungumza kupitia Global Online TV (itaruka leo mtandaoni), Snura alisema kwa kulitambua hilo ndiyo maana aliwatonya kuwa ukiiba mume wa mtu fanya siri katika wimbo wa Nimevurugwa.
“We ni mwizi halafu unatangaza kila sehemu unatafuta nini kama siyo matatizo na mwenye mali…,” alisema Snura.
Ili kutazama mahojiano kamili na jinsi Snura alivyofunguka mambo mengi, fuatilia Global Online TV badae ili upate uhondo kamili.

Comments

Popular posts from this blog