Posts

Ufisadi Mkubwa Wizara ya Afya Wagundulika..Wakati Watoto Wakikosa Chanjo Mahospitalini..Hivi Ndivyo Mabilioni ya Pesa Yalivyotafunwa na Wajanja Wachache..!!!

Image
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2015/16 imebaini ufisadi wa mabilioni ya fedha katika mradi wa chanjo ya Surua Rubella na ameshauri kufanyika uchunguzi wa kijinai na waliohusika warejeshe fedha hizo. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hayo yalibainika wakati wa ukaguzi maalumu katika halmashauri za wilaya na ofisi za waganga wakuu wa mikoa. Ukaguzi huo umebaini Sh20.9 bilioni zilipokelewa na Wizara ya Fedha kutoka Gavi Alliance na kiwango hicho chote kilipelekwa Wizara ya Afya kugharamia chanjo ya Surua Rubella. Kati ya kiwango hicho, Sh19.09 bilioni zilitolewa kwa ajili ya chanjo; Sh18.3 bilioni zilitumika Tanzania Bara na Sh725 milioni zilipelekwa Zanzibar na Sh1 bilioni zilitumika kama gharama za uendeshaji. Ripoti hiyo imeainisha kuwa hadi Desemba 31, 2014 kulikuwa na bakaa ya Sh838,423,408. Fedha zilizopokelewa halmashauri Ripoti hiyo inaainisha kuwa Sh17.3 bilioni zilitumwa katika mikoa na kuing

Kwa Mara Nyingine Tena Mke wa Rom Amefunguka Haya Makubwa Kuhusu Tukio la Kutekwa kwa Mumewake Roma Mkatoliki..!!!

Image
Mke wa msanii Roma Mkatoliki, Nancy Mshana amefunguka kwa mara ya kwanza toka mume wake alipotekwa na kupatikana na kuwashukuru Watanzania ambao walikuwa pamoja na yeye katika kipindi kigumu. Mrembo huyo ametumia maneno ya kwenye Biblia kutoka katika kitabu cha Yeremia kufikisha ujumbe wake kwa watu ambao wamemfanyia ubaya mume wake na kusema kuwa na wao watakutwa na mabaya hayo. “(Yeremia 30:16-17) Basi, watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa; kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa; na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema Bwana.Ameen” Alinukuu mke wa Roma Mkatoliki. Mbali na hilo Nancy alitumia nafasi hiyo kuwashukuru wote ambao wamesimama na wao katika kipindi hiki kigumu. “Ahsanteni wote mliosimama na sisi katika kipindi kigumu tulichopitia !! Mungu awabariki sana” aliandika Nancy. Msanii Roma Mkatoliki bado anaendelea na mati

Huyu Hapa Muuza Madawa ya Kulevya Aliyependwa na Wananchi Mpaka Kupewa Jina la Yesu na Mlinzi wa Amani

Image
TAJIRI WA UNGA AKAWA MWEMA MPAKA AKAITWA YESU Christopher Coke a.k.a Dudus, ni tajiri wa dawa za kulevya, akiongoza genge la Shower Posse. Genge hilo na mtandao mzima wa unga, Dudus au President alirithi kutoka kwa baba yake, Lester Coke a.k.a Jim Brown au Ba-Bye aliyeuawa gerezani mwaka 1992. Shower Posse makao makuu yake yapo Tivoli Gardens, Kingston, Jamaica. Dudu alikuwa mtu mwema. Alisaidia fedha familia maskini, alilipia ada wanafunzi ambao wazazi wao hawakuwa na uwezo, zaidi alitengeneza ajira nyingi kwa vijana. Hayo yalisababisha apendwe sana. Dudus aliitwa Rais wa Tivoli Gardens, alilindwa na kila mwananchi. Serikali ya Jamaica pia ilimlinda, maana alikuwa mfadhili wa viongozi. Marekani ilitaka Dudus akamatwe lakini Serikali ya Jamaica haikutekeleza. Dudus alipokamatwa na Marekani mwaka 2010, kwananchi wa Jamaica, hususan wakazi wa Tivoli Gardens, waliingia mitaani na kuandamana, wakitaka Dudus aachiwe huru. Wananchi walikuwa na mabango yaliyoandik

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA AFUNGUKA HAYA KUHUSU KATIBA MPYA

Image
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa mchakato wa Katiba mpya uko pale pale. Prof. Kabudi amesema hayo wakati alipokutana na Kamati ya Katiba na Sheria ya Bunge, amesema kuwa hajakutana na viongozi wake kuzungumzia suala la Katiba Mpya, ingawa anajua mambo mengine kuhusu mchakato huo ambao wakati wa maandalizi yake alikuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.  Amesema kuwa mchakato wa Katiba mpya uko pale pale hivyo pindi mchakato huo utakapo kamilika kwenye ofisi yake atauwasilisha kwenye kamati hiyo. Aidha, Prof. Kabudi ameongeza kuwa ana muda mfupi katika wizara hiyo na kwamba, hajapata muda wa kukutana na mabosi wake akiwamo Waziri Mkuu, ili wazungumzie suala la Katiba Mpya. Hata hivyo, amesema kuwa mchakato huo unahitaji umakini mkubwa hivyo atafanya kazi kulingana na utaratibu wa kisheria ili liwe na mwanzo na mwisho mzuri. CHANZO:UDAKU SPECIAL

Nape afunguka kwanini anaitwa Mkorofi

Image
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge huyo wa Jimbo la Mtamba Nape Moses Nnauye amaeandika ujumb unaosomeka...  "Niliyashuhudia maisha haya mikoani (38months), nadhani ndio nikiyakumbuka naonekana mkorofi!!Iko haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu!‬" Facebook Twitter Google+ Pinterest Linkedin

Mwakyembe: Maisha yangu yapo hatarini

Image
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema maisha yake yapo hatarini . Amesema "...pamoja na kuwa hawezi kulinganisha miaka saba iliyopita na sasa lakini bado maisha yangu hayako salama." akizungmza na Gazeti la MwanaHALISI, DkMwakyembe amesema " Siwezi kuwa salama siwezi kuwa naweza kutumia uhuru wangu wa kwenda kokote nikakota au wakati wowote ninaotaka. "kwamba naweza kutumia uhuru wangu huo kama unavyotakiwa. na katiba .... bado nina hofu ya maisha yangu ingwa siyo kama ilivyokuwa miaka ya mitano iliyopita " ameeleza DK Mwakyembe. DK Mwakyembe alikuwa ni mmoja wa watu waliotajwa kwenye orodha ya wanaotishiwa maisha. wengnie wanaotajwa kwenye orodhra hiyo  ni pamoja na Dr Willibrod Slaa. kauli ya Dk Mwakyembe imekuja siku tano baada ya watu wasiojulikana kumteka na  kumtesa mwanamuziki Ibrahim Musa Roma Mkatoliki. Dk Mwakyembe aliwahi kulipoti Februari Mwaka 2011 kuwepo kwa hatari ya kutokomeza miasha yake

MWANAMKE MWENYE SURA MBAYA DUNIANI

Image
Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha yake.Maisha ya Lizzie Velasquez mwenye umri wa miaka 26 yalibadilika kabisa baada ya kuona kanda ya video katika mtandao wa tube iliodai kwamba yeye ndiye mwanamke mwenye sura mbaya duniani. Lizzie ambaye alikuwa na miaka 17 wakati huo alikasirishwa kuona kwamba msichana aliyekuwa katika kanda hiyo ya video alikuwa yeye. Kanda hiyo ilioonekana mara millioni 4 mtandaoni huku wengi wakiwacha ujumbe wa kuudhi kama vile ''angeuliwa alipozaliwa'',nilishangaa nilipoona ujumbe huo alisema Lizzie. Ujumbe mwengine ulisoma ''kwa nini wazazi wake walimlea''. Mwanamke huyo alipiga moyo konde na kuanza mtandao wake wa You Tube akiwaelezea watu kuhusu mwanamke huyo anayedaiwa kuwa mwenye sura mbaya zaidi. Lizzie amesema kuwa anawasaidia wengine ambao wamekuwa wakionewa kuweza kupata msaada ama hata kupambana na maonevu hayo. Mwanamke huyo pia an

DUKA LA KISASA LA GSM MALL LAUNGUA MOTO

Image
Magari ya Zimamoto na Uokoaji yakiwa nje ya Duka kubwa la GSM Mall tayari kuzima moto uliokuwa unaunguza duka hilo katika Barabara ya Nyerere eneo la Mtava, Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo hakikuweza kujulikana mara moja.   Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwahishwa hospitali.   Pilikapilika katika lango kuu la kuingilia duka hilo Moto Umeibuka katika duka kubwa la GSM Mall ililopo Barabara ya Nyerere eneo la Mtava, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda duka hilo lilianza kuungua majira ya 8:30. Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijaweza julikana. Magari ya zimamoto na uokoaji yalijazana eneo hilo kunusuru mali na maisha ya watu waliokuwemo kwenye jengo hilo lenye ghorofa nne. Watu wengi wakiwemo wafanyakazi wa duka hilo walionekana walikimbia nje ya duka kuokoa maisha yao. Baadhi yao walitolewa wakiwa mahututi na kukimbizwa hospitali kwa kutumia magari ya polisi. Duka hilo kubwa la kisasa lenye yenye aina mbalimbali za bidhaa ni

Rais Magufuli Akizindua Ujenzi wa Maghorofa Magomeni Kota

Image
Rais Magufuli akihutubia Rais wa Jamhuri ya Serikali ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua rasmi ujenzi wa majengo matano ya ghorofa 8 kila moja katika maeneo ya  Magomeni Kota jijini Dar es Salaam. Akizindua ujenzi huo ambao utagharimu takribani TZS bilioni 20, Rais Magufuli amesema kuwa majengo hayo yatakuwa na unafuu mkubwa kwa wakazi wa Dar, lakini pia ndani ya majengo hayo kutakuwa na maduka ambayo wafanyabiashara wataweza kuweka biashara zao hivyo hakuna ulazima wa mtu atakayeishi humo kutoka kwenda kufanya mahemezi nje. Hizi ni baadhi ya kauli alizozizungumza Rais Magufuli wakati wa uzinduzi huo; Wazee wangu wa Magomeni waliteseka sana, lakini naamini sasa mateso yao yanaelekea kuisha.  Nafahamu mikoa mingi ina maeneo yaliyotengwa kwa makazi ya watu, lakini waliondolewa na watu wenye nguvu kwa hila. Baadhi ya wananchi waliohudhuria. Nyumba hizi zitakapokamilika, wakazi 644 waliokuwa hapa awali, nilisema watakaa miaka mitano bure bila ku

MSICHANA WA MIAKA 21 AUAWA NA MPENZI WAKE KISHA KUMFUKIA CHINI YA KITANDA

Image
Tukio moja lilimeibua hisia kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Isyongo kaunti ya nyamira nchini Kenya, baada ya Polisi kufukua maiti ya msichana mmoja Feidhi Omega 21, iliyokuwa imezikwa chini ya uvungu wa kitanda.  Taarifa zinasema kuwa binti huyo alimtembelea mpenzi wake wiki mbili zilizopita lakini hakurudi nyumbani kwao ndipo mama yake alipoanza kumtafuta na kuelekezwa kwa mpenzi wake Daniel Nyabuti, huku akiwa na matumaini ya kumkuta mtoto wake akiwa hai,  walipofika nyumbani kwa kijana huyo Polisi walianza kumtafuta na kukuta kaburi chini ya uvungu wa kitanda kwa kijana huyo ambako binti huyo alikuwa amezikwa. “Nikasilia slipaz zimepatikana kwa njia ya huyo kijana baada ya hapo kufika tarehe karibu tano hivi mwezi wa tatu nikachukua wazee wa nyumbani kuja hapa tulikuwa watatu tukakuja mpaka nyumbani kwa kijana kuuliza huyo mtoto”  Moraa mama wa marehemu. Hata hivyo haikuweza kujulikana kilichotokea na kusababisha kifo cha binti huyo ingawa maj

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AWAONGOZA WANANCHI KUUWAAGA POLISI 8WALIOUAWA PWANI

Image
Majeneza yenye miili ya marehemu ya polisi nane waliouawa kwa kupigwa risasi na majambazi, Kibiti, Pwani yakiwa katika Uwanja wa Polisi, Barracks barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiaga miili ya marehemu. Mwigulu Nchemba Akiendelea kuaga. Shehe akifanya maombi. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu (kushoto) akiwa na Mwigulu (kulia). Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro (wa mbele) akitoa pole kwa wafiwa. RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga akiaga miili ya marehemu. Kamanda wa Polisi Temeke Gilles Muroto akiaga. Wakiendelea kuaga