Nape afunguka kwanini anaitwa Mkorofi




Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge huyo wa Jimbo la Mtamba Nape Moses Nnauye amaeandika ujumb unaosomeka... "Niliyashuhudia maisha haya mikoani (38months), nadhani ndio nikiyakumbuka naonekana mkorofi!!Iko haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu!‬"


Comments

Popular posts from this blog