Mwakyembe: Maisha yangu yapo hatarini

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema maisha yake yapo hatarini .

Amesema "...pamoja na kuwa hawezi kulinganisha miaka saba iliyopita na sasa lakini bado maisha yangu hayako salama."

akizungmza na Gazeti la MwanaHALISI, DkMwakyembe amesema " Siwezi kuwa salama siwezi kuwa naweza kutumia uhuru wangu wa kwenda kokote nikakota au wakati wowote ninaotaka.

"kwamba naweza kutumia uhuru wangu huo kama unavyotakiwa. na katiba .... bado nina hofu ya maisha yangu ingwa siyo kama ilivyokuwa miaka ya mitano iliyopita " ameeleza DK Mwakyembe.

DK Mwakyembe alikuwa ni mmoja wa watu waliotajwa kwenye orodha ya wanaotishiwa maisha.
wengnie wanaotajwa kwenye orodhra hiyo  ni pamoja na Dr Willibrod Slaa.

kauli ya Dk Mwakyembe imekuja siku tano baada ya watu wasiojulikana kumteka na  kumtesa mwanamuziki Ibrahim Musa Roma Mkatoliki.

Dk Mwakyembe aliwahi kulipoti Februari Mwaka 2011 kuwepo kwa hatari ya kutokomeza miasha yake.

Comments

Popular posts from this blog