Majeneza
yenye miili ya marehemu ya polisi nane waliouawa kwa kupigwa risasi na
majambazi, Kibiti, Pwani yakiwa katika Uwanja wa Polisi, Barracks
barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiaga miili ya marehemu.
Mwigulu Nchemba Akiendelea kuaga.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu (kushoto) akiwa na Mwigulu (kulia).
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro (wa mbele) akitoa pole kwa wafiwa.
RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga akiaga miili ya marehemu.
Kamanda wa Polisi Temeke Gilles Muroto akiaga.
Comments
Post a Comment