WACHEZAJI NETBALL TANZANIA WAPEWA MEDALI ZA DHAHABU
Nahodha wa Timu ya Mpira wa Pete ya JWTZ Dorita Mbunda akivalishwa medali na Mkuu wa Jeshi la Anga wa Rwanda Brigedia Jenerali Charles Karamba baada ya kuchukua ubingwa wa Michuano ya Afrika Mashariki katika Uwanja wa Amahoro Kigali Rwanda( Picha na Dora Mushi) Kikosi cha Timu ya Mpira wa Pete ya JWTZ katika picha ya pamoja na Viongozi wa Timu hiyo muda mchache baada ya kuvalishwa medali na Mkuu wa Jeshi la Anga wa Rwanda Brigedia Jenerali Charles Karamba baada ya kuchukua ubingwa wa Michuano ya Afrika Mashariki katika Uwanja wa Amahoro Kigali Rwanda( Picha na Dora Mushi) Kikosi cha Timu ya Mpira wa Pete ya JWTZ kikiingia kuvalishwa medali na Mkuu wa Jeshi la Anga wa Rwanda Brigedia Jenerali Charles Karamba baada ya kuchukua ubingwa wa Michuano ya Afrika Mashariki katika Uwanja wa Amahoro Kigali Rwanda( Picha na Dora Mushi) Mkuu wa Msafara wa Timu ya Tanzania Brigedia Jenerali Jairos Mwaseba (katikati) akiongea na Mchezaji Nasra Suleiman aliyeshika Tu