Yanga yashinda bao 1-0 dhidi ya Mo Bejeia
Straika mpyawa Yanga, Obrey Chirwa (katikati) akiwatoka wachezaji wa Mo Bejaia.
Kikosi cha Mo Bejaia wakipasha kabla ya mechi.
Kikosi cha Yanga wakipasha kabla ya mechi.
TIMU ya Yanga imeshinda bao 1-0 dhidi ya Mo Bejaia
ya Algeria katika Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam na kufikisha point 4. Bao la Yanga limefungwa kipindi cha
kwanza Dakika ya pili na Amissi Tambwe.Kikosi cha Yanga SC; Deo Munishi ‘Dida’, Juma Abdul/Said Juma ‘Makapu’ dk46, Mwinyi Mngwali, Andrew Vincent ‘Dante’/Kevin Yondan dk17, Vincent Bossou, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Thabani Kamusoko, Amissi Tambwe, Obrey Chirwa na Deus Kaseke/Juma Mahadhi.
MO Bejaia; Chamseddine Rahmani, Ismail Benettayeb, Faouzi Rahal, Sofiane Khadir, Soumaila Sidibe, Zakaria Bencherifa, Mohamed Yacine Athmani, Morgan Betorangal, Sofiane Baouali, Amar Benmelouka na Kamel Yesli.
Comments
Post a Comment