Posts

Breaking News!! MSAFARA WA KAMATI YA BUNGE WAPATA AJALI,WATU WANNE WAFARIKI,6 WAJERUHIWA

Image
  Watu wanne wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha msafara wa kamati ya TAMISEMI baada ya lori kuparamia msafarahuo eneo la Mapinga Bagamoyo mkoani Pwani.  Ajali hiyo iliyohusisha lori la mchanga, gari dogo yaliyokuwa yanatokea Bagamoyo kuja Dar es Salaam, na magari mawili yaliyokuwa kwenye msafara wa Kamati hiyo, yaliyokuwa yanaenda Bagamoyo kwa shughuli zake za kibunge. Magari yaliyokuwa katika msafara wa kamati hiyo, ni gari la Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) na gari la Mkurugenzi wa Wilaya ya Bagamoyo ambayo yaligongwa na lori hilo la mchanga na kusababisha vifo vya watu hao na kuwajeruhi wengine kadhaa.    Aidha mingoni mwa waliofariki ni pamoja na DPLO - Hilda, Mwanasheria Kiliba, Mchumi- Pallangyo , na M adereva wa wili . M aj eruhi wa ajali hiyo ni Mkurugenzi (DED)-M atovu ,Engeneer wa maji-Juliana,Mweka hazina- Mashauri, Afisa maendeleo ya jamii-Mwangata,na Mratibu TASA F-Amedus Mbuta Ajali hiyo ilitokea baada ya ga

Nape azindua ‘Miss Tanzania’ mpya

Image
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape (wa pili kulia) akiingia katika Hoteli yaRamada iliyoko Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam, akiwa ameongozana na wajumbe wa kamati ya Miss Tanzania. Mrembo wa Tanzania 2014  Lilian Kamazima (kushoto) na Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu, wakisikiliza jambo kwa makini katika hafla hiyo.    Mkurugenzi wa  Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga (katikati) na  Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa (BASATA)  Godfrey Mngereza (kulia)  wakijadiliana jambo na Nape.   Lilian Kamazima (kushoto) Hoyce Temu na Nasree n Karim, Miss Tz 2008 (kulia). Kikundi cha ngoma za asili cha Wanne Star kikitumbuiza. Warembo waliowahi kunyakua taji la Miss Tanzania kutoka kushoto ni:  Basila Mwanakuzi, Hoyce Temu ,Nasreen Karim na Lilian Kamazima.   Nape (wa pili kushoto) akizindua rasmi  shindano hilo. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, akizungumza. Hoyce Temu (kushoto) akiwa  na rafiki yake, Usia.

BREAKING NEWZ:Shein atangazwa mshindi wa urais Zanzibar

Image
Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohammed Shein. Matokeo kamili kama yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), yanaonesha licha ya Chama cha Wananchi (CUF) kususia, mgombea wake Maalim Seif Sharif Hamad alipata kura 6,076 kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika Jumapili.Dkt Ali Mohammed Shein atangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Zanzibar akiwa na kura 299,982. Mgombea wa CCM, Dkt Ali Mohammed Shein akikabidhiwa cheti cha ushindi wa urais. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Salim Jecha akiongea jambo wakati akitangaza matokeo. Kulikuwa na wagombea 14 kwenye karatasi za kura za kumchagua rais. Majina yao ndiyo haya: 1 Khamis Iddi Lila ACT-W 2 Juma Ali Khatib ADA-TADEA 3 Hamad Rashid Mohamed ADC 4 Said Soud Said AFP 5 Ali Khatib Ali CCK 6 Ali Mohamed Shein CCM 7 Mohammed Massoud Rashid CHAUMMA 8 Seif Sharif Hamad CUF 9 Taibu Mussa Juma DM 10 Abdalla Kombo Khamis DP 11 Kassim Bakar Aly JAHAZI 12

MREMBO DJ PENNY HALI TETE JUU YA AFYA YAKE ANASUMBULIWA NA MAINI

Image
Habari mbaya! Majibu ya daktari yamemkatisha tamaa Mtangazaji wa Zouk TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ baada ya kuambiwa kuwa, kutokana na unywaji wa pombe kali kupitiliza, maini yake yameanza kuharibika na asipochukua hatua za haraka hali itazidi kuwa mbaya zaidi. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Penny, hivi karibuni mrembo huyo aliyewahi kuwa mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alikuwa hajisikii vizuri na mara nyingi alipokuwa akijaribu kula, alitapika na kuishiwa nguvu hivyo akaamua kwenda kupima kwenye Hospitali ya AAR jijini Dar. Mpashaji huyo alidai kwamba baada ya Penny kuchukua vipimo vyote, ilibainika kwenye maini yake kuna tatizo na chanzo chake ni unywaji wa pombe kali.“Maskini Penny, sasa hivi hana raha kabisa tangu daktari amwambie ana matatizo kwenye ini, mara nyingi anakuwa mnyonge na mwenye wasiwasi sana,” kilisema chanzo hicho. Baada ya kupokea taarifa hiyo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Penny ambapo alizungumza kw

Mwandishi Salma Said Apatikana Baada ya Watekaji Kumuachia Huru

Image
Siku tatu baada ya mwandishi wa Mwananchi na DW, Salma Said kutoweka, jana alipatikana baada ya kukutwa katika Hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam  na kupelekwa kituo kikuu cha polisi kuhojiwa. Habari zilizopatikana jana jioni na kuthibitishwa na mumewe, Ali Salim Khamis na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi, Simon Siro zilisema Salma alisajiliwa jana mchana katika hospitali hiyo. Ali aliyekuwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, alisema kwa ufupi kuwa amepata taarifa hizo na kufika Dar es Salaam kuzifuatilia.  Kamanda Siro alisema ni kweli Salma amepatikana na ametumwa mkuu wa upelelezi wa kanda hiyo kumfuata hospitali ampeleke kituoni kwa mahojiano.  “ Tumefungua jalada la uchunguzi wa tukio hili juzi,” alisema Sirro na kuongeza.  “Wapelelezi walizungumza na mume wa Salma na kuna mambo amewaeleza lakini hatuwezi kuyaweka wazi kwa sasa, hadi uchunguzi utakapokamilika, tumeipata namba ya simu aliyowasiliana nayo na mumewe ak

MANGE KIMAMBI AWALIPUA WAUZA UNGA ... AWATAJA KWA MAJINA LAIVU BILA YA WOGA .

Image
Kutokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawachana live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game. Note: Magu anza na hawa waliotajwa maana kama Iddy Azan hii ni mara nyingine anatajwa... Ameandika hivi Kwenye ukurasa wake wa Instagram: From @mangekimambi_ - "Chi chi chi chi Chidi Benz... I respect huyu msanii sana. Ni Mtu wa kujitolea, about 4 years ago nilikuwa na event ya Watoto yatima pale Kurasini nikamuomba aje kuwafanyia show watoto, akaja kwa cost zake Na akafanya show bureeeeeeeeeeee. Sio wasanii wengi wanaokubali kufanya Hivi. So Leo nikimuona ana hali hii inanisikitisha mnoooo... Kweli binadamu tumeumbwa tofauti Jaman. I love money mpaka huwa naziota ndotoni Ila siwezi kufanya biashara ya unga au siwezi kuwa na mume muuza unga, yes ukiwa na mume muuza unga na wewe huna tofauti na mumeo Maana unakula hiyo pesa......... As much as I love money siwezi Taka pesa

CCM kuweka utaratibu mpya wa kuwapokea Wanachama waliokihama Chama hicho na Kukimbilia Vyama vya Upinzani

Image
Siku kadhaa baada ya mwanachama wa siku nyingi wa Chama cha Mapinduzi,balozi Juma Mwapachu, kurejea katika chama hicho baada ya kukihama wakati wa harakati za Uchaguzi mkuu wa mwaka jana, kimekiri kuwa kuna haja ya kusikiliza hisia za wanachama wake na kuangalia upya namna gani wanachama wa Chama hicho walioondoka na kwenda kujiunga na vyama vingine wanapokelewa kufutia mazingira ya siasa yalivyo sasa. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana , ametoa kauli hiyo jijini Dar Es Salaam,wakati wa mkutano na waandishi wa habari, uliolenga kumtambulisha Mjumbe wa Halmashauri kuu Ya Taifa ya Chama hicho Christopher Ole Sendeka, kuwa msemaji wake, kuchukua nafasi ya Nape Nauye, ambaye sasa ni waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Bwana Kinana, amekiri kuwa ni vyema sasa CCM ikae na kutengeneza namna ya watu fulani kurudi ama kutorudi kabisa katika chama hicho kwa kuwa kwa sasa utaratibu unatambua mchakato kumrejesha mwanachama bila kuangalia alitoka kwa mtindo upi.

MANCHESTER UNITED WAICHAPA MAN CITY,RASHFORD AZIDI KUWASHA MOTO

Image
Marcus Rashford was cool enough to slot Manchester United in front after 16 minutes of the Manchester derby at the Etihad Stadium Rashford's impact for United has been brilliant since he broke into the first team last month, and he was celebrating again in the derby Manchester City's chairman Khaldoon Al Mubarak (right) and Manchester United executive vice-chairman Ed Woodward shake hands Fernandinho crashed into an early challenge on Michael Carrick as City sought to set the tone on home soil against United But then came the sucker punch as Rashford broke through on goal, passing Martin Demichelis before finishing past Joe Hart

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 21.03.2016

Image