Nape azindua ‘Miss Tanzania’ mpya

1
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape (wa pili kulia) akiingia katika Hoteli yaRamada iliyoko Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam, akiwa ameongozana na wajumbe wa kamati ya Miss Tanzania.
2
Mrembo wa Tanzania 2014  Lilian Kamazima (kushoto) na Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu, wakisikiliza jambo kwa makini katika hafla hiyo.
3
   Mkurugenzi wa  Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga (katikati) na  Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa (BASATA)  Godfrey Mngereza (kulia)  wakijadiliana jambo na Nape.
4
  Lilian Kamazima (kushoto) Hoyce Temu na Nasree n Karim, Miss Tz 2008 (kulia).
6
5
Kikundi cha ngoma za asili cha Wanne Star kikitumbuiza.
7
Warembo waliowahi kunyakua taji la Miss Tanzania kutoka kushoto ni:  Basila Mwanakuzi, Hoyce Temu ,Nasreen Karim na Lilian Kamazima.
8
  Nape (wa pili kushoto) akizindua rasmi  shindano hilo.
9
Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, akizungumza.
10
Hoyce Temu (kushoto) akiwa  na rafiki yake, Usia.
11
Hoyce Temu akiwa na Basila Mwanukuzi na dada yake.
12
Mwanamuziki,  Linah Sanga, akitumbuiza.
13
Warembo waliowahi kushiriki Miss Tz wakiwa katika picha ya pamoja.
WAZRORO wa Habari na Michezo,  Nape Nnauye, juzi alizundua mchakato  mpya wa shindano  la Miss Tanzania  uliofanyika katika Hoteli ya Ramada iliyopo Mbezi Beach jijini Dar, ambapo  shindano hilo lilikuwa limefungiwa takribani mwaka mmoja  baada ya kudaiwa kughushi ushindi wa aliyekuwa mrembo wa mwaka 2014,  Sitti Mtemvu.
Waziri huyo aliiomba Kamati ya Miss Tanzania  kwa kipindi hiki wawe makini na pia aliwaahidi  atayafutailia kwa macho mawili mashindano hayo ili  yasiwe na ubabaishaje tena na wadau wote warudishe imani kwenye shindano hilo.

Comments

Popular posts from this blog