Posts

NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU

Image
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015. Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva ni kwamba; Agosti 21, 2015: Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani. Agosti 22 - Oktoba 24, 2015: Kampeni za uchaguzi. Oktoba 25, 2015: Siku ya kupiga kura.   NINI MAONI YAKO MDAU WETU

BOSS LADY ZARI ATUA MWANZA KWA SIRI SIKU YA JEMBEKA FESTIVAL.

Image
Mama kijacho wa msanii nyota Diamond Platinum atua jijini Mwanza kumsindikiza kipenzi chake kazini.Wengi hawakuweza kufahamu uwepo wake kutokana na usiri uliowekwa na star huyo wa bongo fleva kwa sasa. Tukio hilo linafananishwa na lile la ujio wa mwanamuziki wa hiphop Jay Z miaka ya nyuma na mkewe Beyonce bila mashabiki kutambua.Ingawa washabiki wa Diamond Platinum wana hamu ya kumuona boss lady huyo.

EDWARD LOWASSA AFUNGUKA MAZITO DODOMA LEO

Image
Waziri Mkuu aliejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1. Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu hata kamati ya Mwakyembe haikuona sababu ya kumhoji. Amesisitiza kuwa cheo cha uwaziri mkuu ndio ilikuwa lengo la kamati ya mwakyembe na spika wa bunge kipindi hicho Samwel Sitta. Amesisitiza hicho sio kikwazo kwake katika kuingia Ikulu kwani sakata la Richmond lilipikwa kumchafua. Amechukua muda mrefu kuzungumzia hili la Richmond na amesema atalisema zaidi Arusha wikendi hii. 2. Anaamini kila mtangaza nia ana makundi ya kumuunga mkono. Yeye katika mkutano huu na wahariri leo ameambatana na Nazir Karamagi, Peter serukamba, Diana chilolo, Hussein Bashe na wengineo huku wengi wakiwa ni waliojeruhiwa katika serikali ya awamu ya nne akiwemo Aliekuwa DC Igunga Elibariki K

HISTORIA MPYA ALIYOANDIKA DIAMOND PLUTNUMZ MWANZA

Image
Diamond Plutnumz alikwenda mwanza kufanya show ya jembeka festival ila mapokezi yake yali dhihirisha kuwa msanii huyu ni mtu wawatu kama unamchukulia poa tazama picha zote hapa!! MAPOKEZI YA DIAMOND YALIKUWA HIVI UNAAMBIWA AKIENDA KUFANYA SOUND CHEK TAYARI WALIKU WAWANAMNGOJEA  BODA BODA WALIAMUA KUMSINDIKIZA MTU WA WATU  SOUND CHECK SHOW BADO DONE AKISEMA NA WATU WAKE  Posted by Boss Ngasa

RAIS JAKAYA KIKWETE APANGUA TENA WAKUU WA WILAYA

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com Website : www.ikulu.go.tz  Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD,  11400 DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015. Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali nchini. Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amemhamisha Luteni Edward Ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida kwenda kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa wa Kagera. Luteni Lenga anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Kanali Benedict Kulikela Kitenga ambaye alifariki dunia Aprili 20, mwaka

KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI BURUNDI AUAWA

Image
Baadhi wananchi wakiwa eneo alipouawa Zedi Feruzi. KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Mwili wa Zedi Feruzi amabye alikuwa kiongozi wa Chama cha Union for Peace and Development ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji wa Bujumbura. Juzi Ijumaa watu wawili waliuawa katika maandamano hayo yaliyochukua wiki kadhaa huku watu zaidi ya 100,000 wakiwa wameihama nchi hiyo kutokana na vurugu hizo za kupinga uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.

TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA

Image
Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015. Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye. Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu

DON JAZZ ACHUKUA KITU KIPYA KUTOKA GHANA

Image
Super star Donjazz live akiwa na mpenzi wake mpya hatari.

DIAMOND THE PLATNUMZ AINGIA KWENYE TUHUMA NZITO YA KUIGA NGUO YA DESIGNER WA NJE NA KUTOMPA CREDIT

Image
Ujumbe kutoka kwa roperrope kwenda kwa diamondplatnumz na designer wake qboymsafi I usually don't blast people who make or wear fakes of my designs but this person went way to far when they used my logo! diamondplatnumz is wearing fake Roperrope shirt made by a person with bad character and a strong lack or originality! This is not ok! If you steal a design please reframe from using the Designers Logo because it's illegal www.shoproperrope.com Kucopy ama kuiba maarifa mazuri jamani haikatazwi bandugu lakini sasa usiibe kila kitu mpaka logo dooooh ulishindwa kiweka ya wcb_wasafi haya ona sasa hadi mzungu anawafundisha cha kufanya ! Iga ongeza na akili zako kitu kiwe kizuri zaidi usituambie hapo akili zako ndio zilipoishia kufikiria kwanza hujafikiria kitu !!!

EXCLUSIVE: JOHARI AJIFUNGUA KWA SIRI

Image
Mshtuko! Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa, mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa amejifungua kwa siri ambapo mtoto ana umri wa miezi 7 sasa, jambo lililozua mkanganyiko na mjadala mzito, Risasi Jumamosi linakupa ‘exclusive story’. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ UBUYU WAMWAGWA Mwandishi wetu akiwa katika majukumu yake ya kila siku, ghafla alipigiwa simu na chanzo chake cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa Johari na kuanika kila kitu huku kikiomba hifadhi ya jina. Mtoto wa Johari. Sosi: Wewe (kikitaja jina la mwandishi) una habari? Mwandishi: Zimejaa tele lakini hiyo yako inaweza kuwa ya muhimu zaidi. Sosi: Tena ni muhimu kweli, unajua kuwa Johari ana mtoto na sasa anatimiza miezi saba? Mwandishi: Unasema? Kajifungua lini na wapi? Sosi: Kitambo tu, mbona hata kwenye ukurasa wake wa Instagram kaweka hizo picha,

PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO

Image
Stori: Musa Mateja PICHA ya staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ inayomuonesha akila mishikika uswahilini imezua gumzo la aina yake mitandaoni. Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo hicho wengine wakisema si cha hadhi yake. “Hii ni nzuri kwa mtu kama Diamond akila uswahilini. Anaonesha siyo mtu wa majivuno,” alichangia mdau mtandaoni huku wengine wakidai si sawa kwani anajiabisha. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Baada ya chanzo hicho kuipata picha hiyo na kumtumia mwandishi wetu, Mikito Nusunusu ilimtafuta Diamond ili aweze kuizingumzia lakini simu yake haikupatikana lakini Bab Tale alipatikana na kukiri maelezo ya chanzo chetu. “Hakukuwa na ishu zaidi ya kuitamani mishikaki, tukaona tununue, mbona ni ya toka mwaka jana?,” alisema Bab Tale.

FASHION ZAMARADI MKETEMA AFUNIKA KWENYE TUZO ZA WATU 2015

Image
Shukran sana kwa WOTE mlioweza kusupport mpaka siku hii ya leo filamu ya KIGODORO ikaweza kuibuka kama FILAMU BORA kwa mwaka 2014 kupitia TUZO ZA WATU... ni ngumu kutaja mmoja mmoja ila kuna mtu nikimsahau nitakuwa mchoyo wa fadhila... my beautiful FAN marykimodo juhudi zako zimezaa matunda.. nakupenda sana...na WOOOTE walioweza kuchukua muda wao kunipigia kura.. NATHAMINI SANA SANA!! Huu ni ushindi wetu SOTE!!! Na zaidi imenipa changamoto ya kutengeneza kazi nzuri zaidi!! ASANTENI SANA SANA!!

BAADA YA KUPATA UMAARUFU KWA KUFANANA NA WEMA MWANADADA TUERNY SASA AAMUA KUJIMWAGA HUKO INSTAGRAM

Image

ALIKIBA, WEMA, JIDE WAFUNIKA TUZO ZA WATU...DIAMOND CHALI! TAZAMA LIST NZIMA YA WASHINDI HAPA

Image
! Hii ni orodha kamili ya washindi Mtangazaji wa redio anayependwa D’Jaro Arungu – TBC FM Kipindi cha redio kinachopendwa Papaso – TBC FM Mtangazaji wa runinga anayependwa Salim Kikeke – BBC Swahili Kipindi cha runinga kinachopendwa Mkasi – EATV Blog/Website inayopendwa Millardayo.com Muongozaji wa video anayependwa Hanscana Muongozaji wa filamu anayependwa Vincent ‘Ray’ Kigosi Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa Wema Sepetu Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa Hemedy PHD Mwanamuziki wa kike anayependwa Lady Jaydee Mwanamuziki wa kiume anayependwa Alikiba Filamu inayopendwa Kigodoro Video ya muziki inayopendwa Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz Kuna videos 4 za washindi na mastaa wengine walioshiriki tuzo hizo wakiongea baada ya utoaji wa tuzo hizo! KUZICHEKI. BONYEZA HAPA!