FASHION ZAMARADI MKETEMA AFUNIKA KWENYE TUZO ZA WATU 2015

Shukran sana kwa WOTE mlioweza kusupport mpaka siku hii ya leo filamu ya KIGODORO ikaweza kuibuka kama FILAMU BORA kwa mwaka 2014 kupitia TUZO ZA WATU... ni ngumu kutaja mmoja mmoja ila kuna mtu nikimsahau nitakuwa mchoyo wa fadhila... my beautiful FAN marykimodo juhudi zako zimezaa matunda.. nakupenda sana...na WOOOTE walioweza kuchukua muda wao kunipigia kura.. NATHAMINI SANA SANA!! Huu ni ushindi wetu SOTE!!! Na zaidi imenipa changamoto ya kutengeneza kazi nzuri zaidi!! ASANTENI SANA SANA!!

Comments

Popular posts from this blog