ALIKIBA, WEMA, JIDE WAFUNIKA TUZO ZA WATU...DIAMOND CHALI! TAZAMA LIST NZIMA YA WASHINDI HAPA

!
Hii ni orodha kamili ya washindi
Mtangazaji wa redio anayependwa
D’Jaro Arungu – TBC FM


Kipindi cha redio kinachopendwa
Papaso – TBC FM


Mtangazaji wa runinga anayependwa
Salim Kikeke – BBC Swahili


Kipindi cha runinga kinachopendwa
Mkasi – EATV


Blog/Website inayopendwa
Millardayo.com


Muongozaji wa video anayependwa
Hanscana


Muongozaji wa filamu anayependwa
Vincent ‘Ray’ Kigosi


Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa
Wema Sepetu


Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa
Hemedy PHD


Mwanamuziki wa kike anayependwa
Lady Jaydee


Mwanamuziki wa kiume anayependwa
Alikiba


Filamu inayopendwa
Kigodoro


Video ya muziki inayopendwa
Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz
Kuna videos 4 za washindi na mastaa wengine walioshiriki tuzo hizo wakiongea baada ya utoaji wa tuzo hizo!
KUZICHEKI. BONYEZA HAPA!

Comments

Popular posts from this blog