Posts

KIONGOZI WA CHAMA CHA UPINZANI BURUNDI AUAWA

Image
Baadhi wananchi wakiwa eneo alipouawa Zedi Feruzi. KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi katika Mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura. Mwili wa Zedi Feruzi amabye alikuwa kiongozi wa Chama cha Union for Peace and Development ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji wa Bujumbura. Juzi Ijumaa watu wawili waliuawa katika maandamano hayo yaliyochukua wiki kadhaa huku watu zaidi ya 100,000 wakiwa wameihama nchi hiyo kutokana na vurugu hizo za kupinga uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.

TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA

Image
Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015. Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye. Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu...

DON JAZZ ACHUKUA KITU KIPYA KUTOKA GHANA

Image
Super star Donjazz live akiwa na mpenzi wake mpya hatari.

DIAMOND THE PLATNUMZ AINGIA KWENYE TUHUMA NZITO YA KUIGA NGUO YA DESIGNER WA NJE NA KUTOMPA CREDIT

Image
Ujumbe kutoka kwa roperrope kwenda kwa diamondplatnumz na designer wake qboymsafi I usually don't blast people who make or wear fakes of my designs but this person went way to far when they used my logo! diamondplatnumz is wearing fake Roperrope shirt made by a person with bad character and a strong lack or originality! This is not ok! If you steal a design please reframe from using the Designers Logo because it's illegal www.shoproperrope.com Kucopy ama kuiba maarifa mazuri jamani haikatazwi bandugu lakini sasa usiibe kila kitu mpaka logo dooooh ulishindwa kiweka ya wcb_wasafi haya ona sasa hadi mzungu anawafundisha cha kufanya ! Iga ongeza na akili zako kitu kiwe kizuri zaidi usituambie hapo akili zako ndio zilipoishia kufikiria kwanza hujafikiria kitu !!!

EXCLUSIVE: JOHARI AJIFUNGUA KWA SIRI

Image
Mshtuko! Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa, mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa amejifungua kwa siri ambapo mtoto ana umri wa miezi 7 sasa, jambo lililozua mkanganyiko na mjadala mzito, Risasi Jumamosi linakupa ‘exclusive story’. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ UBUYU WAMWAGWA Mwandishi wetu akiwa katika majukumu yake ya kila siku, ghafla alipigiwa simu na chanzo chake cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa Johari na kuanika kila kitu huku kikiomba hifadhi ya jina. Mtoto wa Johari. Sosi: Wewe (kikitaja jina la mwandishi) una habari? Mwandishi: Zimejaa tele lakini hiyo yako inaweza kuwa ya muhimu zaidi. Sosi: Tena ni muhimu kweli, unajua kuwa Johari ana mtoto na sasa anatimiza miezi saba? Mwandishi: Unasema? Kajifungua lini na wapi? Sosi: Kitambo tu, mbona hata kwenye ukurasa wake wa Instagram kaweka hizo picha, ...

PICHA YA DIAMOND AKILA MISHIKAKI GUMZO

Image
Stori: Musa Mateja PICHA ya staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ inayomuonesha akila mishikika uswahilini imezua gumzo la aina yake mitandaoni. Staa wa Nasema Nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila mishikika uswahilini. Picha hiyo ambayo ilipigwa mwaka mmoja uliopita maeneo ya Tip Top, Manzese jijini Dar, imeibua mjadala mpya juzikati kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine walimpongeza kwa kitendo hicho wengine wakisema si cha hadhi yake. “Hii ni nzuri kwa mtu kama Diamond akila uswahilini. Anaonesha siyo mtu wa majivuno,” alichangia mdau mtandaoni huku wengine wakidai si sawa kwani anajiabisha. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Baada ya chanzo hicho kuipata picha hiyo na kumtumia mwandishi wetu, Mikito Nusunusu ilimtafuta Diamond ili aweze kuizingumzia lakini simu yake haikupatikana lakini Bab Tale alipatikana na kukiri maelezo ya chanzo chetu. “Hakukuwa na ishu zaidi ya kuitamani mishikaki, tukaona tununue, mbona ni ya toka mwaka jana?,” alisema Bab Tale.

FASHION ZAMARADI MKETEMA AFUNIKA KWENYE TUZO ZA WATU 2015

Image
Shukran sana kwa WOTE mlioweza kusupport mpaka siku hii ya leo filamu ya KIGODORO ikaweza kuibuka kama FILAMU BORA kwa mwaka 2014 kupitia TUZO ZA WATU... ni ngumu kutaja mmoja mmoja ila kuna mtu nikimsahau nitakuwa mchoyo wa fadhila... my beautiful FAN marykimodo juhudi zako zimezaa matunda.. nakupenda sana...na WOOOTE walioweza kuchukua muda wao kunipigia kura.. NATHAMINI SANA SANA!! Huu ni ushindi wetu SOTE!!! Na zaidi imenipa changamoto ya kutengeneza kazi nzuri zaidi!! ASANTENI SANA SANA!!

BAADA YA KUPATA UMAARUFU KWA KUFANANA NA WEMA MWANADADA TUERNY SASA AAMUA KUJIMWAGA HUKO INSTAGRAM

Image

ALIKIBA, WEMA, JIDE WAFUNIKA TUZO ZA WATU...DIAMOND CHALI! TAZAMA LIST NZIMA YA WASHINDI HAPA

Image
! Hii ni orodha kamili ya washindi Mtangazaji wa redio anayependwa D’Jaro Arungu – TBC FM Kipindi cha redio kinachopendwa Papaso – TBC FM Mtangazaji wa runinga anayependwa Salim Kikeke – BBC Swahili Kipindi cha runinga kinachopendwa Mkasi – EATV Blog/Website inayopendwa Millardayo.com Muongozaji wa video anayependwa Hanscana Muongozaji wa filamu anayependwa Vincent ‘Ray’ Kigosi Muigizaji wa kike wa filamu anayependwa Wema Sepetu Muigizaji wa kiume wa filamu anayependwa Hemedy PHD Mwanamuziki wa kike anayependwa Lady Jaydee Mwanamuziki wa kiume anayependwa Alikiba Filamu inayopendwa Kigodoro Video ya muziki inayopendwa Nani kama Mama – Christian Bella f/ Ommy Dimpoz Kuna videos 4 za washindi na mastaa wengine walioshiriki tuzo hizo wakiongea baada ya utoaji wa tuzo hizo! KUZICHEKI. BONYEZA HAPA!

Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu

Image
lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with   EVIDENCE   toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi   LE AKILI KUBWAZZZZ   now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and   EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS   tayari nimeshaanza kupata the TRUTH....tena the   TRUTH   ni aliyevuruga jana yupo busy pia kuvuruga Matokeo ya KMTA....soon nitakuwa na " LE TAMKOZZZ FOUR LIVE"   and I mean it...stay tuned hahahaha U know makelele yangu toka jana yameleta kizungu zungu behind the scene wameshaanza kuvurugana na kunipigia niache hahahaha..now stay tuned   NITAMTAJA ALIYEVURUGA SHOW YA JANA NA FACTS   and EVIDENCE....na   I HOPE NITASAIDIA KUTOVURUGWA KWA KTMA ...

WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WALIVYOTOKELEZEA NA WAKE ZAO KATIKA HAFLA YA KUCHAGUA MCHEZAJI WAO BORA 2014/15

Image
Kipa wa Manchester United, David De Gea (kulia) akiojiwa na Jim Rosethal (katikati) baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2014/15 wa Man Utd usiku wa kuamkia leo. David De Gea (katikati) alipokuwa akiwasili katika tuzo za Mchezaji bora wa mwaka wa Man Utd. Wayne Rooney akiwa na mke wake Coleen. Mshambuliaji wa Man Utd, James Wilson akiwa na mke wake. Marcos Rojo akiwa na rafiki yake Eugenia Lusardo. Ben Amos akiwa katika pozi na Dani Every. Tyler Blackett akiwa na mke wake Naomi Thomas. Phil Jones akiwa katika pozi na mpenzi wake Kaya Hall. Ander Herrera akiwa na mchumba wake Isabel Collado. Chris Smalling akiwa na mpenzi wake Sam Cooke. Jonny Evans akiwa na mke wake Helen. Michael Carrick akiwa na mke wake Lisa. Victor Valdes akiwa na mpenzi wake Yolanda Cardona. Radamel Falcao akiwa na mke wake Lorelei. Anders Lindegaard akiwa na mke wake Misse Beqiri. KIPA wa Manchester United, David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Man...