Lemutuz: Aliyevuruga Matokeo ya Jana Tuzo za Watu Yupo Busy Pia Kuvuruga Matokeo ya KTMA, Nitamtaja Laivu

lemutuz_nation 'Well, huwa ninaongea na FACTS with EVIDENCE toka jana Usiku nimesema I smell fish kama nilivyo smell Fishy kwenye matokeo ya Miss Tanzania ya Mwaka jana kuna wajinga akili ndogo walioanza kunirushia matusi LE AKILI KUBWAZZZZ now ninasema jana HAKI HAIKUTENDEKA kuna wanaojaribu kuninyamazisha na matusi...great ninarudia tena sikuenda Shule kuwa mjinga so toka jana niliingia kwenye uchunguzi wa FACTS and EVIDENCE of WHO IS BEHIND LAST NIGHT MESS tayari nimeshaanza kupata theTRUTH....tena the TRUTH ni aliyevuruga jana yupo busy pia kuvuruga Matokeo yaKMTA....soon nitakuwa na "LE TAMKOZZZ FOUR LIVE" and I mean it...stay tuned hahahaha U know makelele yangu toka jana yameleta kizungu zungu behind the scene wameshaanza kuvurugana na kunipigia niache hahahaha..now stay tuned NITAMTAJA ALIYEVURUGA SHOW YA JANA NA FACTS and EVIDENCE....na I HOPE NITASAIDIA KUTOVURUGWA KWA KTMA maana ni huyo huyo gademu mazafantazzz! Na the good thing watayarishaji hawakuhusika kabisa so stay tuned! - le Mutuz
Udaku Special Blog

Comments

Popular posts from this blog