Posts

RAy C-KIUNO NDICHO KILICHO NIINGIZA KATIKA MADAWA HARAMU

Image
Kama ulikuwa hujui kwanini Ray C alijikuta kwenye madawa ya kulevya chukua hiii...Mwenyewe amefunguka na kusema kiuno ndio kiliumiza wengi na wenye roho mbaya kumtupia pepo la madawa ya kulevya kumpoteza....Soma hapa alivyofunguka : "Haka kademu kaliumiza wengi na hako kakiuno dah kalikuwa homa ya jiji na ndio maana kakarushiwa pepo la madawa maana kalikuwa kanasumbua sana kimuziki na kimvuto!ndio maana hakuna hata msanii mwinzie aliempa hata pole mwee!tatizo kanyota kake ndo kalimletea majanga maana kanyota kake kalin"gara sana ndio maana kakapewa mtihani mgumu ili kaadhirike na pengine kapotee kabisa lakini kana bahati mungu nae alikapenda sana na ndio sababu kamepewa nafasi nyingine ya kuishi na kutimiza mallengo yake!tatizo wabaya wake wana hasira ile mbaya kwanini kamerudi tena?kwanini kabishi kufa kama paka?kwanini kamerudi tena kwenye muzikj?kwanini hakajafa!!!kwanini ziko nyiiiiiiiingi?????kwanini kaliokolewa na mkubwa wa nchi????kwanini Rais alik

MUME ALIVYOMCHOMA KISU HAWARA,NAYE AJICHOMA UTUMBO WAMWAGIKA NJE,DAMU CHAPAPA

Image
Hawara akipelekwa hospitali baada ya kuchomwa kisi. Habari zilizolitikisa Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita ni pamoja na ile ya mkazi wa Chamazi, Hussein Mfaume, kumchoma visu hawara yake, Ester Thomas Ungele (30), naye kujichoma mpaka kujitoa utumbo, Uwazi limeichimba kwa kina. Mume akiwa taabani baada ya kujichoma kisu. Habari zilidai kuwa, kisa hasa cha mwanaume huyo kujichukulia uamuzi huo wa kikatili ni madai ya mwanamke huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine anayedaiwa kuwa ni dereva wa teksi. Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mtoto wa Ester, Sarah siku hiyo, yeye na mama yake walikuwa kwenye eneo lao la biashara ya Mama Lishe, nje ya Ukumbi wa Vijana, Amana uliopo Ilala, Dar. “Ghafla nilimwona Hussein akija huku usoni akionekana mtu mwenye hasira. Alimfuata mama alipokuwa na kumuuliza ni kwa nini anamfanyia dharau MALUMBANO YAANZA, WAKIMBIZANA Sarah anaendelea: “Niliona kama malumbano ya kawaida n

MAMIA YA WATU WAMUAGA KOMBA SONGEA

Image
Mwili wa marehemu kapt.John Komba, wakati ukishushwa kwenye ndege katika uwanja wa ndege wa Songea mkoani Ruvuma tayari kwa kusafirishwa kijijini kwake Lituhi Wilayani Mbinga kwa mazishi. Mwili wa marehemu kapt.John komba, ukiwasili katika uwanja wa michezo wa majimaji mjini Songea tayari kwa ajili ya kuagwa na Wananchi mbalimbali mjini humo. MAMIA ya wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, jana walijitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga-Magharibi, Kapteni John Komba ambao uliwasili majira ya saa 10.25 katika Uwanja wa Ndege wa Ruhuwiko, mjini hapa. Baada ya mwili huo kuwasili kwa ndege ya kukodi mkoani hapa, ulipokelewa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mark Mwandosya pamoja na baadhi ya wabunge wa Mkoa wa Ruvuma huku baadhi yao wakiangua vilio kiwanjani hapo. Baadaye mwili huo lipelekwa

Soma Alichoongea MPOKI kuhusu msiba wa Kapteni John KOMBA.. #RIP John Komba

Image
Msanii wa Kundi la   Orijino Komedi ,   Mujuni Sylivery  aka   Mpoki   moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni   John KOMBA   ambaye amefariki siku ya juzi February 28. Leo   Mpoki   amesikika kwenye Leo Tena @CloudsFM, alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo; “ ..Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo huwezi kumpata tena.. lakini ukimpoteza mbuzi utaenda Vingunguti utamnunua na sherehe itaendelea.. Kitendo cha kufariki mtu yoyote hata kama hajulikani ni pengo kubwa tu ” “ Imeniathiri kwa kisanii kwa kuwa nilikuwa namuwezea, kidogo alikuwa hapendi lakini ilivyokuja akatulia.. Watu wakamwambia bwana hawa watoto tu.. Ukimuiga mtu ana mazuri huwezi kumuiga kwa mabaya tu.. ana mazuri yake..Ikanipa wigo mpana kwenye kazi yangu ya kubuni sauti yake, vitendo.. “ “ mwisho wa siku kaondoka pengo lake halitozibika.. Kama kuna la kuf

ANGALIA BIG BOSS ZARI AKILA BATA KWENYE BOTI MATATA

Image
Mrembo mwenye maskani yake nchini Sauzi Zarina Hassani Zari 'thebosslady' jioni ya leo ameshare na mashabiki wake picha hizi ikimuonyesha anakula raha katika boti moja ya kifahari katika nchi ambayo hakuianisha huku ikionyesha kitumbo chake (ujauzito) ukionekana kuzidi kukua Diamond mungu akijalia ataitwa baba naniliiiiiiiiiiiiiiiiii   Tazama picha hapa chini

VIONGOZI WAONGOZA KUMUAGA MAREHEMU KOMBA KARIMJEE

Image
Rais Kikwete (katikati) akiwa na makamu wake Gharib Bilal (kushoto) na Anna Makinda katika viwanja vya Karimjee ili kumuaga marehemu Kapteni John Komba. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akiwa na mkewe Anna (wa tatu kulia) wakiwasili viwanja vya Karimjee. Waziri mkuu aliyejiuzulu,Edward Lowassa (kulia)akisalimiana na Mkapa. Spika wa Bunge, Anna Mkapa (kushoto) akiwa na Mkapa. Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan (kushoto) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba (kulia) akiwa viwanja vya Karimjee. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia)akisalimiana na mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale. Wake wa marehemu Komba, katikati ni mke mkubwa, Salome, na kulia ni mke mdogo. Miongoni mwa wanafamilia wa marehemu Komba. Mwili wa marehemu John Komba ukiingia Karimjee ili kuagwa na wananchi na viongozi mbalimbali leo jijini Dar

MWILI WA KOMBA UKIWASILI KARIMJEE LEO

Image
Mwili wa marehemu John Komba ukiingia Karimjee ili kuagwa na wananchi na viongozi mbalimbali. Hali ilivyokuwa kwa ujumla viwanja vya Karimjee. (PICHA: GLOBAL WHATSAPP 0753715779/GPL , OJ)

MSIBA WA KOMBA : WEMA ATOBOA YEYE NI MWANA CCM

Image
Watu mbali mbali wakiwemo  waigizaji wa filamu hapa nchni wanaendelea kuonyesha  jinsi  walivyoguswa na kifo cha Mh. Captain John Komba kupita kurasa zao za mitandaoni usasani mtandao wa Instagram, wamekuwa kuweka picha  yake na kuandika maneno ya kumtakia kheri huko aendako.Mwigizaji  Wema Sepetu nae ni mojawapo alieguswa na msiba huu na kuandika mameno kuonyesha majonzi alionayo  na kutoa kuwa  yeye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi  (CCM)kama alivyokuwa marehemu.“Dah ni pigo kubwa sana.... RIP Mwana CCM mwenzangu..... RIP Baba angu... RIP Captain.... Mbele yako nyuma yetu... Taifa this tym linahuzunika kwako aisee... Kwaheri Baba...”-Wema aliandika. Baadhi ya waigizaji nao waliandika kwenye kurasa zao mtandaoni kama ifuatayo; “Pumzika kwa amani kaka yangudaima tutakukumbuka”-JB “R. I. P. Mh komba kifo nimlango wote tutapita ktk mlango huo na hakuna wakukwepa mlango pole kwa familia tulimpenda ila mungu kampenda zaidi mbele yake nyuma yetu amin mungu t

AKUTWA AMEKUFA, MAITI YAKE YALIWA NA PAKA!

Image
Mwili wa Mbulu ukitolewa ndani ya jumba bovu.  Mwisho wa enzi! Jamaa mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Mbulu amekutwa kwenye jumba bovu akiwa amekufa kisha mwili wake kutoa harufu kali huku ukiliwa na paka. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, maiti ya jamaa huyo iligundulika wikiendi iliyopita katika jumba hilo maeneo ya Mtaa wa Simu B Kata ya Mji Mpya mkoani hapa ambapo wananchi wa maeneo hayo walisikia harufu kali kutoka kwenye jumba hilo, walipoingia ndipo wakakuta mwili wa jamaa huyo huku pua na sehemu za uso zikiwa zimetafunwa na paka. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mwenyekiti wa mtaa huo, Maneno Kifea ’Ticha’ alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.Licha ya harufu kali mwanahabari wetu alijitosa na kuingia kwenye jumba hilo ambapo alishuhudia mwili wa jamaa huyo ukiwa umeharibika.  ...Mwili ukipakizwa kwenye gari. Hata hivyo, serikali ya mtaa huo ilitoa taarifa polisi ambao walifika na kuuchukua kisha kwenda kuuhifadhi kwenye Hospitali

YAMOTO BAND WAPIGA BONGE LA SHOW HUKO UK LONDON KATIKA UKUMBI WA ROYAL REGENCY

Image
Yamoto Band wakifanya yao. Aslay akiwachengua mashabiki waliohudhulia katika shoo hiyo. Mashabiki wa Yamoto Band waishio nchini Uingereza wakiwa katika burudani hiyo. Wakipiga picha na mashabiki waliohudhulia shoo hiyo