RAy C-KIUNO NDICHO KILICHO NIINGIZA KATIKA MADAWA HARAMU

Kama ulikuwa hujui kwanini Ray C alijikuta kwenye madawa ya kulevya chukua hiii...Mwenyewe amefunguka na kusema kiuno ndio kiliumiza wengi na wenye roho mbaya kumtupia pepo la madawa ya kulevya kumpoteza....Soma hapa alivyofunguka :"Haka kademu kaliumiza wengi na hako kakiuno dah kalikuwa homa ya jiji na ndio maana kakarushiwa pepo la madawa maana kalikuwa kanasumbua sana kimuziki na kimvuto!ndio maana hakuna hata msanii mwinzie aliempa hata pole mwee!tatizo kanyota kake ndo kalimletea majanga
maana kanyota kake kalin"gara sana ndio maana kakapewa mtihani mgumu ili kaadhirike na pengine kapotee kabisa lakini kana bahati mungu nae alikapenda sana na ndio sababu kamepewa nafasi nyingine ya kuishi na kutimiza mallengo yake!tatizo wabaya wake wana hasira ile mbaya kwanini kamerudi tena?kwanini kabishi kufa kama paka?kwanini kamerudi tena kwenye muzikj?kwanini hakajafa!!!kwanini ziko nyiiiiiiiingi?????kwanini kaliokolewa na mkubwa wa nchi????kwanini Rais alikasaidia????mxuiiiiiiiiiii KWANINI NYIIIIIIINGI?MWEEEEE BAHATI YA MWEZIO USIILALIE MLANGO WAZI!NDO HIVYO TENA NDO ISHAKUWA!!!!WE KAA UJIULIZE KWANINI KWANINI!!!!WAKATI UNALISUBIRI JIBU MWENZIO NIKO MBALI TAYARI!ZE PROBLEM IS ZE NYOTA!!!!!Ndo jibu labda!Kwanini my foot

Comments

Popular posts from this blog