ANGALIA BIG BOSS ZARI AKILA BATA KWENYE BOTI MATATA

Mrembo mwenye maskani yake nchini Sauzi Zarina Hassani Zari 'thebosslady' jioni ya leo ameshare na mashabiki wake picha hizi ikimuonyesha anakula raha katika boti moja ya kifahari katika nchi ambayo hakuianisha huku ikionyesha kitumbo chake (ujauzito) ukionekana kuzidi kukua Diamond mungu akijalia ataitwa baba naniliiiiiiiiiiiiiiiiii 
Tazama picha hapa chini




Comments

Popular posts from this blog