MSIBA WA KOMBA : WEMA ATOBOA YEYE NI MWANA CCM

Msiba Wa Komba: Wema Atoboa Kuwa Yeye ni Mwana CCM


Watu mbali mbali wakiwemo  waigizaji wa filamu hapa nchni wanaendelea kuonyesha  jinsi  walivyoguswa na kifo cha Mh. Captain John Komba kupita kurasa zao za mitandaoni usasani mtandao wa Instagram, wamekuwa kuweka picha  yake na kuandika maneno ya kumtakia kheri huko aendako.Mwigizaji  Wema Sepetu nae ni mojawapo alieguswa na msiba huu na kuandika mameno kuonyesha majonzi alionayo  na kutoa kuwa  yeye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi  (CCM)kama alivyokuwa marehemu.“Dah ni pigo kubwa sana.... RIP Mwana CCM mwenzangu..... RIP Baba angu... RIP Captain.... Mbele yako nyuma yetu... Taifa this tym linahuzunika kwako aisee... Kwaheri Baba...”-Wema aliandika.

Baadhi ya waigizaji nao waliandika kwenye kurasa zao mtandaoni kama ifuatayo;
“Pumzika kwa amani kaka yangudaima tutakukumbuka”-JB
“R. I. P. Mh komba kifo nimlango wote tutapita ktk mlango huo na hakuna wakukwepa mlango pole kwa familia tulimpenda ila mungu kampenda zaidi mbele yake nyuma yetu amin mungu tunakuomba umpokee ndugu yetu umueke panapo stahili amin  tutakukumbuka  tumezoeakusikianyimbo za maombolezo toka kwako dah nakosa jibu swali ninalojiuliza je ninani atakae imba kwa kukuenzi na kukusindikiza ktk safari yako hakika nipengo pole kwa familia
pole kwa kila alieguswa na msiba huu tuwe pole wa tanzania wote”-Riyama
“MAY God rest his soul in peace”-Shamsa
“Rest in Peace Captain John Komba…..”-Lulu

Comments

Popular posts from this blog