Posts

YAMETIMIA CCM KALENGA YAFIKA UKOMO MTOTO WA MGIMWA APEWA KURA ZA RAMBIRAMBI

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa  Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa Na Francis Godwin Iringa. Mtokeo  ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wakuamkia leo mtoto wa aliyekuwa mbunge  wa  jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo huku Jackson Kiswaga akifuatia katika matokeo hayo. Mtoto wa Mgimwa amepata  kushinda kwa kura 342 huku Kiswaga  akipata kura 170 na mkuu wa wilya ya Pangani Hafsa Mtasiwa akiambulia  kura 42 . matokeo hayo  yametangazwa  katika  ukumbi wa shule ya  sekondari  Mwembetogwa mjini Iringa huku mgombea Peter Mtisi akipata  kura...

HAYA NDIYO MADHARA YATOKANAYO NA NGUO ZA KUBANA (SKIN TIGHT)...SOMA HAPA KUYAJUA

Image
                        Nguo za kubana KADIRI siku zinavyokwenda kumekuwapo na ugunduzi wa vitu mbalimbali vinavyochangia kuleta mabadiliko katika jamii. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa hasi au chanya kutegemea na aina ya  bidhaa iliyogunduliwa na matumizi yake. Zipo bidhaa zinazoonekana kuwa na matokeo ya haraka na mazuri baada ya kutumika, lakini wakati huo huo kuwa na madhara kiafya kwa mtumiaji. Nchi nyingi zinazoendelea hasa zilizopo barani Afrika ikiwamo Tanzania zimekuwa ndizo waathirika wakubwa wa bidhaa zinaotajwa kuwa na madhara huku vijana wakiwa ndiyo kundi kubwa linaloathirika. Sababu za kundi hilo kuathirika zaidi ni kutaka kwenda na wakati kwa kujaribu kutumia kila bidhaa zinazotoka nje ya nchi bila kujua madhara yake. Miongoni mwa bidhaa hizo ni nguo za ndani zilizoundwa maalumu kwa ajili ya kupunguza unene, pia kutengeneza um...

Askari bora wa mwaka 2013 hatimaye apatikana na kupewa zawadi yake

Image
  credit- tabasamu na fuled

Hizi ni aina ya 12 za wanaume ambao binti yeyote atakutana nao katika maisha yake

Image
1. MR. THUG LIFE Faida zake a. Hukufurahisha na ya kukusisimua b. Hufanya ucheke c. Anakua pembeni yako kwa kila jambo na atakupigania na kukulinda Hasara a. Mara nyingi  wanatabia za kunywa pombe na kuvuta sana sigara b. Kila mra hakosi drama za kukushangaza c. Atakuwa katika hali hiyo ya ukorofi milele d. Kushikwa na kuwekwa jela ni kawaida yao kutokana na drama zao 2. MR. KWA SASA SINA MSICHANA Faida  zake a. Atakuchukua na kukutoa out kila mara b. Atakutambulisha kwa marafiki zake wote c. Atakuwa ni mtu wa kukupa pongezi  wakati wote Hasara a. Anamchumba ambaye wako naye kwa muda mrefu b. Hawezi kukuambia kuwa ana mchumba c. Baada ya kuteka moyo wako nawe umedata ndio atakuambia kuwa ana mpenzi 3. MR. MAARUFU Faida zake a. Atakupa  fedha nyingi  na hakuna k...

SWALI: KAMA JANA NILIJAMIIANA NA MTU MWENYE VVU NAWEZA KUPEWA DAWA ZA KUZUIA NISIPATE MAAMBUKIZI?

Image
Swali: Kama jana nilijamiiana na mtu mwenye VVU naweza kupewa dawa za kuzuia nisipate maambukizi? Jibu: Huduma hizi zipo tu kwa ajili ya wahudumu wa afya waliojijeruhi na kugusana na damu au majimaji ya mgonjwa mwenye VVU, hupewa huduma maalum itwayo PEP ambayo inahusisha upewaji wa dawa zinazozuia kuzaliana kwa VVU.Matibabu haya hayatolewi kwa watu wa kawaida. source:manyandahealthy

POLISI KAGERA YAKAMATA BANGI NA MADUMU 40 YA GONGO

Image
 Polisi wakikagua mihadarati hiyo  Bangi iliyo kamatwa Madumu yakiwa na gongo

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KIWANDA CHA VIUNGO VYA CHAKULA CHA EVEREST SPICE Industries Ltd INDIA

Image
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wake wakipewa maelezo kutoka kwa Afisa Rajiv Shah,alipotembelea kiwanda cha Viungo  Kampuni ya (Everest Spice Industrues Ltd), kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,Rais akimaliza ziara yake ya siku tisa katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za  uchumi.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza jambo wakati alipofika katika mashine ya kusaga pilipili  katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) na Ujumbe wake wakiwa na Afisa Rajiv Shah, wakati alipotembelea kuona utendaji kazi za kila siku  nje ya Mji wa Mumbai India,Rais amemaliza  ziara yake ya siku tisa  katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za  uchumi India   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moham...

ANGALIA PICHA GARI LA CCM LILILOHARIBIWA KAHAMA.

Image
  GARI NAMBA T507 MALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYA YA KAHAMA LINAVYOEKANA JINSI LILIVYOVUNJWA VIOO NA INASADIKIWA NI  WAFASI WA CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDELEO ( CHADEMA) JANA KATIKA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA UBAGWE NA KUJERUHIWA KWA WAFASI WA CCM SITA NA WENGINE WAKIWA HOI HOSPITALINI 

HII NDIO NJIA PEKEE YA KUYAFANYA MATITI YASILALE

Image
Nilipokuwa na kua, yaani matiti yalipoanza kujitokeza (acha kile kipindi cha moja la kushoto kwanza kisha linapotea) nazungumzia ule muda yote yamejitokeza. Bibi yangu alikuwa akinifundisha jinsi ya kulala ili matiti yasisambae (yasibadilishe muelekeo) pia alikuwa na tabia ya kuniamsha alfajiri ili nianze kufanya mazoezi ya matiti kitu ambacho kilikuwa kikiniudhi sana, kwamba wenzangu wamelala mimi ndio naamshwa kisa eti ni binti mwenye matiti. Utagundua kuwa swala la mazoezi halijaanza karne hii bali lilianza miaka mingi sana ktk Makabila fulani kwamba ilikuwa sehemu yakumuandaa mwanamke kukaa vema kwa ajili ya mwanaume atakae muoa..........ila mimi nitachangia nanyi ili kujiweka sawa ili kujiamni kama mwanamke (ikiwa matiti yamelala tayari basi msaidie mtoto wako kwa kike au mdogo wako sio). Matiti si kiungo muhimu sana ktk mwili wa mwanamke, matiti ni chakula bora cha mtoto na hukufanya uwe karibu na mwanao, matiti hukupa wewe mwanamke raha...