SWALI: KAMA JANA NILIJAMIIANA NA MTU MWENYE VVU NAWEZA KUPEWA DAWA ZA KUZUIA NISIPATE MAAMBUKIZI?
Swali: Kama jana nilijamiiana na
mtu mwenye VVU naweza kupewa
dawa za kuzuia nisipate
maambukizi?
Jibu: Huduma hizi zipo tu kwa ajili
ya wahudumu wa afya
waliojijeruhi na kugusana na damu
au majimaji ya mgonjwa mwenye
VVU, hupewa huduma maalum
itwayo PEP ambayo inahusisha
upewaji wa dawa zinazozuia
kuzaliana kwa VVU.Matibabu haya
hayatolewi kwa watu wa kawaida.
source:manyandahealthy
Comments
Post a Comment