YAMETIMIA CCM KALENGA YAFIKA UKOMO MTOTO WA MGIMWA APEWA KURA ZA RAMBIRAMBI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa
 Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa
Na Francis Godwin Iringa.
Mtokeo  ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wakuamkia leo mtoto wa aliyekuwa mbunge  wa  jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo huku Jackson Kiswaga akifuatia katika matokeo hayo.

Mtoto wa Mgimwa amepata  kushinda kwa kura 342 huku Kiswaga  akipata kura 170 na mkuu wa wilya ya Pangani Hafsa Mtasiwa akiambulia  kura 42 .


matokeo hayo  yametangazwa  katika  ukumbi wa shule ya  sekondari  Mwembetogwa mjini Iringa huku mgombea Peter Mtisi akipata  kura 33 ,Msafiri Pangagira kura 8,Bryson Kibasa kura 7,Edward Mtakimwa kura 3 na Thomas Mwiluka akiambulia kura 2

Comments

Popular posts from this blog