HII NDIO NJIA PEKEE YA KUYAFANYA MATITI YASILALE




Nilipokuwa na kua, yaani matiti yalipoanza kujitokeza (acha kile kipindi cha moja la kushoto kwanza kisha linapotea) nazungumzia ule muda yote yamejitokeza.


Bibi yangu alikuwa akinifundisha jinsi ya kulala ili matiti yasisambae (yasibadilishe muelekeo) pia alikuwa na tabia ya kuniamsha alfajiri ili nianze kufanya mazoezi ya matiti kitu ambacho kilikuwa kikiniudhi sana, kwamba wenzangu wamelala mimi ndio naamshwa kisa eti ni binti mwenye matiti.


Utagundua kuwa swala la mazoezi halijaanza karne hii bali lilianza miaka mingi sana ktk Makabila fulani kwamba ilikuwa sehemu yakumuandaa mwanamke kukaa vema kwa ajili ya mwanaume atakae muoa..........ila mimi nitachangia nanyi ili kujiweka sawa ili kujiamni kama mwanamke (ikiwa matiti yamelala tayari basi msaidie mtoto wako kwa kike au mdogo wako sio).

Matiti si kiungo muhimu sana ktk mwili wa mwanamke, matiti ni chakula bora cha mtoto na hukufanya uwe karibu na mwanao, matiti hukupa wewe mwanamke raha fulani hivi yanapochezewa na mpenzi wako, matiti ni kivutio kikubwa kwa wanaume wengi, matiti ni sehemu, matiti ni kitambulisho cha UANAMKE, matiti hufanya upendeze ndani ya nguo/mavazi na mtiti hayo kwa wanawake wengi ni kipele muhimu cha kunyegesha ikiwa tu yatanyonywa na kulambwa vyema......sio dume wajilambia tu ka vile walamba "chikilimu" (I ce cream 4 u) utamuudhi mkeo/mpenzio au atakudharau!

Kuna jinsi ya kusafisha matiti, kuna jinsi ya kuyatunza matiti ili yasilale kabla ya muda wake na bila kusahau matiti yanahitaji tizi (mazoezi).

Usicheze mbali

Comments

Popular posts from this blog