ANGALIA PICHA GARI LA CCM LILILOHARIBIWA KAHAMA.
GARI NAMBA T507 MALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYA YA KAHAMA LINAVYOEKANA JINSI LILIVYOVUNJWA VIOO NA INASADIKIWA NI WAFASI WA CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDELEO ( CHADEMA) JANA KATIKA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA UBAGWE NA KUJERUHIWA KWA WAFASI WA CCM SITA NA WENGINE WAKIWA HOI HOSPITALINI
Comments
Post a Comment