Posts

Yaliyojiri jana kwenye ufunguzi rasmi wa NYUMBANI LOUNGE.

Image
Hii ilikuwa usiku wa jana tarehe 31.1.14 kwenye ufunguzi rasmi wa awamu ya 3 wa NYUMBANI LOUNGE , watu walikuwa ni wengi na kila mmoja alifurahia show ya Mwanadada Jide na Machozi Band wakati ikitumbuiza huku ikiwa na waimbaji wapya wa kike kama mnavyowaona kwenye picha za juu waliovalia nguo za Kijani, Blue na Njano. Picha kwa niaba ya http://baabkubwamagazine.com/

SAFARI YA MWISHO YA KENNETH KIDAGO LYANGA

Image
Mwili wa Marehemu ukibebwa kutoka Kanisani tayari kwa Safari.… Mwili wa Marehemu ukibebwa kutoka Kanisani tayari kwa Safari. Mke wa marehemu Akilia kwa Uchungu. Mtoto wa Kwanza wa Marehemu Jesca Kidago (katikati) akitizama picha ya baba yake kwa Uchungu. Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu EATV, Mama Mary Nnko akielekeza jambo kwa Ndugu wa Marehemu. Mwili wa Marehemu ukibebwa kutoka Kanisani tayari kwa Safari. Mke wa marehemu Akilia kwa Uchungu. Mtoto wa Kwanza wa Marehemu Jesca Kidago (katikati) akitizama picha ya baba yake kwa Uchungu. Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu EATV, Mama Mary Nnko akielekeza jambo kwa Ndugu wa Marehemu. Wafanyakazi wa East Africa Radio Pamoja

LIBYA MABINGWA CHAN 2014

Image
TIMU ya taifa ya Libya imetwaa ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2014 baada ya kuifunga Ghana kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana Jumamosi Uwanja wa Cape Town. Ushindi huo ni sawa na Libya kulipa kisasi kwa Ghana baada ya kufungwa kwa penalti 7-6 miaka 32 iliyopita kwenye fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Kipa wa Ghana, Stephen Adams aliokoa penalti mbili za Mohamed Elgadi na Abdelsalam Omar na kufanya mikwaju mitano mitano ya awali imizike kwa sare ya 3-3. Ahmed El Trbi aliifungia penalti ya sita Libya kabla ya Joshua Tijani kukoa upande wa Ghana na kuamsha shamrashamra za wafalme wa Mediterranean Knights wa Libya. Katika mchezo uliotangulia kusaka mshindi wa tatu, Nigeria iliifunga Zimbabwe 1-0 na kushinda Medali ya Shaba ya michuano hiyo ya tatu. Libya inakuwa bingwa wa tatu tangu kuanzishwa CHAN, michuano inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee, wakifuata nyayo za DRC 2009 nchini Ivory Coast na Tunis

ANGALIA PICHA ZA BINADAMU ALIYEAMUA KUJIGEUZA KUWA MBWA ..."HIZI NDIZO PICHA ZA UPASUAJI WAKE KUBADILISHIKA KUWA MBWA

Image

UKATILI KWA WATOTO KAMA HUU UTAISHA LINI?

Image
 Mkono wa Fikiri Haus 13 uliounguzwa unavyo onekana kwa karibu huo ni ukatiri ulio kithiri Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya Kunguzwa Moto na Mama yake. Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi   Msomaji hebu angalia Jamii ya watanzania kila siku inafanya makongamano ya kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na mama, je kitendo kama hiki watanzania tunaenda wapi ?(Picha na Songea Habari)

ANGALIA PICHA AUNGUZWA NA MAFUTA YA MOTO KISA VOCHA

Image
MKASA MZIMA ULIKUWA HIVI..... Kijana mwenye umri wa miaka 17 ambaye ni mke wa mtu anateseka hospitalini baada ya kuchomwa na mafuta ya kupikia ya moto na ndugu yake baada ya kuhisiwa kuiba vocha ya simu ya mtandao wa Telecel yenye thaman ya senti 50 huko Zimbabwe. Kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Otilia Kosa anayeishi Plot 16, Tsungwizi Ridge maeneo ya Nyazura huko nchini Zimbabwe anateseka katika hospitali ya Rusape General Hospital akiuguza majeraha aliyoyapata baada ya kumwagiwa mafuta ya moto na ndugu yake. Inadaiwa kwamba mnamo tarehe 27 Decemba 2013, Otilia alimuuliza ndugu yake Kudakwashe kama yeye ndiye aliyetumia vocha yake ya mtandao wa Telecel yenye thamani ya senti 50 za kizimbabwe.Kudakwashe alikataa kuwa hakutumia vocha hiyo na hapo ndipo mtafaruku mkubwa ulipotokea kati ya wawili hao. Cha kushangaza ,siku iliyofuata kikao cha familia kilikaa ili kuwapatanisha wawili hao ambao walishindwa kuelewana na mpaka kufikia hatua mbaya ambayo in

Kikwete to meet political parties’ council members

Image
President Jakaya Kikwete President Jakaya Kikwete is expected to hold a meeting with political parties council members on February 6, this year at Mwalimu Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam. According to official statement issued in Dar es Salaam on Friday and signed by the Registrar of Political Parties, Judge Francis Mutungi, the main agenda to the meeting will be “The Role of Political Parties in the Constitutional Assembly.” He said the session offers the opportunity to all council members drawn from different political parties to reflect on the need to focus on issues of national interests, instead of thinking about individual party interests. Delegates to the meeting, (council of political parties) who by virtue of their positions are national leaders of the registered political parties with members in Zanzibar and the Mainland, will deliberate on important aspects for discussion during the constitutional Assembly, slated to b

Zanzibar president to visit Barefoot College on India trip

Image
African women being trained as solar power engineers in the Barefoot College in Tilonia, Rajasthan state, India. (Foto: The Barefoot College) New Delhi : President Ali Mohamed Shein of Tanzania's semi-autonomous region Zanzibar visits India Feb 1-9 and one of his important engagements, besides official talks in New Delhi, would be a visit to the Barefoot College in Rajasthan's Tilonia, that has taught 100 women from his country to make solar lamps. Shein, who is arriving on an official visit at the invitation of Indian Vice President Hamid Ansari, would be leading a delegation of senior ministers and officials. On Feb 3, delegation level talks will be held and the Tanzanian leader is expected to meet President Pranab Mukherjee and some cabinet ministers in Delhi, said an official statement. "Impressed by the skills of the Zanzibari rural women in assembling, installing and maintaining solar lamps for providing electric power to nearly 100 homes

HIVI NDIVYO JOKATE ALIVYOMSHANGAZA WEMA STEGINI KWA KUMWAGIA MINOTI ....MATUKIO KATIKA PICHA

Image
Unaweza kujikuta ukishindwa kuielewa hii hali lakini inabidi ukubaliane na ukweli halisi wa hiki kilichotokea,Jokate na Wema historia yao ilianzia kwenye shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2006 ambapo Mshindi alikua ni Wema Sepetu akifatiwa na Jokate kisha mshindi wa tatu akiwa Lissa Jensen. Headline zilikuja kutengenezwa tena zikiwahusisha warembo hawa kuonekana wako na mtu mmoja ambapo magazeti mengi yaliandika mahusiano haya  yaliyokua yakimhusu Diamond Platnumz kutoka na warembo hawa. Kimepita kimya kirefu sana juu ya hawa watu wawili hadi usiku wa February 01 huko Arusha kwenye Tamasha la Divaz Night Endless Fame ambalo ndani yake kulikua na mastar kadhaa akiwemo Wema Sepetu,Aunt Ezekiel,Martin Kadinda,Kajala,Zamaradi Mketema,Chid Benzi,Mirror,Jordan na wengine kibao. Wakati Madam Wema Sepetu akimwaga mauno kwenye jukwaa bila kutegemewa na mtu yoyote Jokate alipanda Jukwaani na kuanza kumtunza Wema pesa na wakati huo Wema alikua a

HUU NDIO UFIRAUNI UNAOTOKEA CLUB ZA USIKU....!

Image