Yaliyojiri jana kwenye ufunguzi rasmi wa NYUMBANI LOUNGE.
Hii ilikuwa usiku wa jana tarehe 31.1.14 kwenye ufunguzi rasmi wa awamu ya 3 wa NYUMBANI LOUNGE, watu walikuwa ni wengi na kila mmoja alifurahia show ya Mwanadada Jide na Machozi Band wakati ikitumbuiza huku ikiwa na waimbaji wapya wa kike kama mnavyowaona kwenye picha za juu waliovalia nguo za Kijani, Blue na Njano.
Picha kwa niaba ya http://baabkubwamagazine.com/
Comments
Post a Comment