UKATILI KWA WATOTO KAMA HUU UTAISHA LINI?

 Mkono wa Fikiri Haus 13 uliounguzwa unavyo onekana kwa karibu huo ni ukatiri ulio kithiri
Mtoto Fikili Hausi Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi ya Majengo Mansipaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya Mkoa baada ya Kunguzwa Moto na Mama yake.
Jeshi la Police lina endelea kumtafuta mama yake Fikili Hausi
  Msomaji hebu angalia Jamii ya watanzania kila siku inafanya makongamano ya kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na mama, je kitendo kama hiki watanzania tunaenda wapi ?(Picha na Songea Habari)

Comments

Popular posts from this blog