Posts

MAMBO YA MSWATI WA SWAZLAND AKIWA TAYARI KUCHAGUA KIGORI KIMPYAAA

Image
Baadhi ya Wasichana vigori wa Swazland wakiwa kwenye gwaride rasmi tayari mmoja wao kuchaguliwa na King Mswati 11 kuwa mke wake. Mchakato huo hufanyika kila mwaka. Once described as the ‘luckiest man’ in Africa, Swaziland’s King Mswati III picked an 18 year-old beauty contestant as his 14th wife, revealed a palace spokesman. “I can confirm that the king has introduced to the nation a new liphovela (royal fiancee),” said Timothy Mtetwa, the palace governor. Young Swazis participate in the Reed Dance. [photo/mobile.saharareporters.com ] The King is said to have ‘noticed’ the 18-year-old former high school student who graduated last year in the Reed Dance ceremony held last month. The Reed Dance is an annual traditional Swazi dance ceremony where young Swazi women parade past the king, bare-chested, to allow the King to pick a new wife. The ceremony has become a tourist sensation in the small landlocked southern African country as sometimes tourists join the da...

Angalia hapa mrembo huyu anavyo kata mauno huku akiwa mtupu awafunika Snura na Shilole

Image
Mambo ya binadamu bado ni gumzo katika mitaa  mbalimbali duniani hapa nimekutana na kituko cha huyu mrembo eti hapa anafanya mazoezi ili aende club dah binafsi nimeshangaa 

WAJAWAZITO 1,500 WAKUTWA NA VVU

Image
JUMLA ya wanawake wajawazito 1,576 kati ya 42,712 waliopima Virusi Vya Ukimwi (VVU) mwaka jana katika vituo mbalimbali vinavyotoa huduma za afya mkoani Pwani walipatikana na maambukizi ya ugonjwa huo. Takwimu hizo zilitolewa mjini Kibaha juzi na Mratibu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) Mkoa wa Pwani, Hafidh Ameir, wakati wa ziara ya Kamati ya Bunge ya masuala ya ukimwi na dawa za kulevya ilipotembelea mkoani hapa. Ameir alisema pamoja na takwimu hizo, lakini kwa sasa maambukizi ya VVU mkoa huo yamepungua kutoka asilimia 6.7 mwaka 2008 hadi kufikia asilimia 5.9 kwa mwaka 2012 kutokana na jitihada mbalimbali. Alisema kwa sasa mkoa una vituo vya tiba 263 na kati ya hivyo vituo 214 sawa na asilimia 81 vinatoa huduma ya upimaji wa hiari na ushawishi wa VVU na vituo 52 vinatoa huduma ya dawa za kufubaza makali ya VVU kwa watu wanaoishi na VVU ambavyo ni asilimia 24 ya vituo 214. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Lediana Mng'ong'o, alitoa wi...

TANGAZO KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA (NECTA) BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

Image
Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwakumbusha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT)  mwezi Novemba, 2014  kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kilichoanza rasmi tarehe 1 Januari, 2014 kwa ada ya Shilingi 50,000/=kwa wanaojisajili CSEE na Shilingi 30,000/= kwa wanaojisajili QT  kitaishia tarehe 28 Februari, 2014. Waombaji wote wanasisitizwa kuhakikisha wanajisajili mapema kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani ya  www.necta.go.tz . Kabla ya kujisajili kwenye mtandao, waombaji wanapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) zinazotolewa bure na kulipa ada ya mtihani kwa njia ya Posta au Mpesa. Imetolewa na: KAIMU KATIBU MTENDAJI BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA.

MTANGAZAJI WA EAST AFRICA REDIO AFARIKI DUNIA NYUMBANI KWAKE.

Image
KENNY KIDAGO ENZI ZA UHAI WAKE Professor Jay ! Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko sana hizi taarifa za kifo cha rafiki yangu KENNY KIDAGO. ..Ambaye nilifahamiana naye tangu akiwa mtangazaji Radio UKWELI (Moro), Tripple A fm, na baadae East Africa Radio upande wa production mpaka mauti yalipomkuta ...BROTHER K Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi, jina lake lihimidiwe. ..Pumzika kwa Amani Bro, AMEN!!

SAMAKI KITOWEO BORA KINACHOKUZA AKILI, KUONGEZA MAISHA

Image
Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara kwa mara na jinsi kitoweo hiki kilivyo na umuhimu wa kipekee katika afya ya binadamu Samaki ni kitoweo ambacho kinatajwa na hata kupendwa na wengi, binadamu au wanyama. Kitoweo hiki kinaelezwa kuwa na mafuta yenye kiambata aina ya Omega 3 yanayomfanya binadamu kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, kutunza kumbukumbu na kuishi kwa muda mrefu. Vyakula vyote vinavyozalishwa majini huwa na kiambata aina ya Omega 3 yenye mafuta yanayotakiwa kwa mwili wa binadamu yatokanayo na samaki, yana mbegu maalumu zinazomsaidia binadamu katika ukuaji ambazo pia ni maalumu kwa faida ya mfumo wa ubongo na neva. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito mikubwa wamekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, akili nyingi na wamekuwa wakiishi kwa muda mrefu kutokana na kutokuzeeka mapema. Kwa upande wa Tanzania, watu waliozaliwa na kuishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito ik...

ANGALIA PICHA VIBAKA WACHOMWA MOTO BAADA YA KUKAMATWA WAKIIBA

Image
Watu wawili ambao hawajafahamika majina yao wameuwawa kwa kuchomwa moto  na wananchi wanaozaniwa kuwa na hasira kali  katika kijiji cha Kagongwa wilayani Kahama  Mkoani Shinyanga baada ya kudaiwa kuiba  vitu mbalimbali ikiwemo Komputa. Tukio hilo limetokea leo  majira ya saa tano asubuhi baada ya watuhumiwa hao kujaribu kuwakimbia viongozi wa Sungusungu waliokuwa wanawashikilia baada ya kuwakamata. Kwa mujibu wa Mashuhuda wamesema vijana hao walikuwa ni tishio katika mji huo kutokana na kuiba marakwamara hivyo wananchi baada ya kuwakamata wameamua kuwachoma moto kwa madai kuwa iwe ni fundisho kwa  wengine.Wamesema Awali watuhumiwa walikamatwa na sungusungu ya kijiji cha Iponya wilayani humo Kabla ya kuamriwa wakaoneshe vitu hivyo ndipo wakapata mwanya wa kukimbia.Diwani wa kata ya Kagongwa Hamis Kashantole Ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa kata hiyo amekataa kuzungumzia tukio hilo kwa madai kwamba...

CHADEMA KUSUSIA BUNGE LA KATIBA IKIWA

Image
Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisema wabunge wa chama chake watasusia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ikiwa hoja ya kuundwa kwa Serikali tatu itapingwa na wabunge wa CCM, Mwakilishi wa Mji Mkongwe (CUF), Ismail Jussa Ladhu ametaka kuvunjwa kwa Muungano. Akihutubia kwenye Uwanja wa Tubuyu nje kidogo ya Mji wa Morogoro juzi, Mbowe alisema wabunge wa chama chake wataandamana nchi nzima kufikisha ujumbe kwa wananchi kwamba maoni yao yamepingwa na wabunge wa CCM walio wengi. "Tutawaeleza wananchi kwamba maoni ya CCM ndiyo yameonekana ya maana kuliko ya wananchi ambao ni wengi zaidi," alisema Mbowe kwenye mkutano huo ambao ni sehemu ya Operesheni ya Vuguvugu la Mabadiliko - M4C Pamoja Daima. Alisema Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilikusanya maoni na kubaini kuwa asilimia 62 ya Watanzania wanataka Serikali tatu za Tanganyika, Zanzibar na ya Muungano. "Serikali ya CCM haitaki kusikia maneno Serikali tatu wanasema sera yao ni ya Ser...

MTOTO WA KIGOGO UKO MORO... APIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZIWEKA KWENYE MTANDAO

Image
Wakati sakata la mastaa kupiga picha za chafu likiwa bado halijaondoka vichwani mwa watu, gazeti la Ijumaa limenasa picha nyingine zinazomwonesha binti aliyetajwa kwa jina moja la Tuma akiwa mtupu ambaye inasemekana ni mtoto wa kigogo mmoja mkoani Morogoro, shuka mstari kwa mstari. Awali gazeti lenye heshima tele mbele ya jamii, Ijumaa lilipokea waraka pepe kutoka kwa msomaji mmoja mkoani Morogoro ambaye alisema, anazo picha chafu za binti huyo zinazosambazwa kwa kasi ya moto wa petroli kwenye mtandao wa intaneti. Waraka pepe uliotumwa kwenye anuani pepe ya Ijumaa ilisomeka: “Hello Ijumaa, ninazo picha za Tuma. Yupo mtupu, amelala kitandani, kama mnahitaji hiyo habari, nipeni pesa niwape mchongo mzima.” Kwa kutambua umuhimu wa habari hiyo, haraka, gazeti hili lilijibu waraka pepe wa ‘sosi’ huyo na baada ya makubaliano, alituma picha za mapozi tofauti za mrembo huyo (kama zinavyoonekana ukurasa wa mbele) na maelezo kwa ufupi. Chanzo hicho, kilieleza kwamba, picha hi...

MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO MARYAM.

Image
Kuna mdada wa miaka 18 Ambae amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya Kua kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi wa ma daktari wa muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii.  Madaktari walimshauri mama mzazi mtoto atafanyiwa operation wa kufungua njia ya choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto operation huo.  Nawaomba ndugu zanguni tumsaidie huyu mtoto, kwani hali hii Inaweza kumkuta mtu yoyote. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu tumsaidie huyu mtoto.  Kama Una msaada Wowote ule tafadhali nipige mimi apa kwa kutumia number: +255719009004 au Kama upo nje ya Tanzania na umeguswa na hili na unataka kutoa sadaka yako tafadhali Tuma kwenye account yangu ya Barclays: Miss S.Yussuf sort code: 207103 acc: 73049328 pia unaweza kutuma...

NAOMBA WAANDISHI WAANDIKE HABARI ZA UHAKIKA,

Image
 TANGU SAJUKI AFARIKI NAZUSHIWA NIMEOLEWA Muigizaji wa kike wa filamu za kiswahili, Wastara Juma amesema tangu mme wake Juma Kilowoko aka Sajuki afariki anakutana na changamoto nyingi kwenye mazingira yaliyomzunguka kwa sasa. Akizungumza na tovuti ya Times FM 100.5, Wastara amesema tangu Sajuki afariki kumekuwa na taarifa zisizo za kweli zinazodai kwamba amepata mume. “Nina changamoto nyingi sana,unajua siku zote kama mtu ukitaka kuheshimiwa basi heshima ndio msingi wa maisha,lakini tangu mume wangu afariki (Sajuki)kumekuwa na maneno mengi sana kwenye magazeti,mara nimeolewa sijui nimevishwa pete na ukija kuangalia mtu aliyeandikia hiyo habari unamjua na ukimpigia simu anaanza kukukwepa. Kama habari za kuolewa siwezi kwanza kutangaza, naomba waandishi waandike habari za uhakika ili ujumbe ufike mzuri kwa wananchi wanaotutazama sisi Wasanii.” Amesema Wastara. Katika hatua nyingine Wastara amesema mwaka huu amejipanga vizuri katika kutoa filamu zak...

PHOTO'S OF YOUNG BOY WHO AFFECTED WITH A RARE GENETIC SKIN DISEASE

Image
Pan Xianhang was born in Wenling, China with a rare genetic skin disease known as Ichthyosis, after the ancient Greek word for fish.Most sufferers develop dry scaly skin across part of their body, but Pan's case is severe: his scales have affected the shape of his eyes, nose, mouth and ears - and they limit the movement of his arms and legs. Photoshot / China Foto Press The condition also means he's in constant pain and struggles to sleep at night because of the itching.  Sufferers are treated with creams, oils and moisturisers, which are designed to hydrate the skin.  Liz Dale a spokesperson for the UK-based Ichthyosis Support Group said: "There is no known cure and treatments for ichthyosis are predominantly keeping the skin moisturised with plenty of emollients i.e. lotions and creams. "The skin needs to be moisturised to prevent it from further drying out, which could cause the skin to crack, making it more pr...

MINNE WACHOMWA MOTO HADI KUFA..

Image
Katika hali isiyo ya kawaida Majeshi ya ugaidi huko Nigeria yaliweza kuvamia kijiji na kusabisha mauaji makubwa, kati ya tukio ambalo linasikitisha ni pale ambapo walimkamata mama mmoja na kumbaka na kisha kumchoma moto yeye pamoja na mtoto wake mdogo mwenye umri wa miezi mi nne tu.

23 Year old boy marry a mama old enough to be his grandma

Image
How can a 23 Year old boy marry a mama old enough to be his grandma? They look so happy together. Big congrats to them.

NJIA KUMI KUSAIDIA KUPUNGUZA UNENE

Image
Ni makala muhimu sana. Wastani wa maisha ya Mtanzania ( na Waafrika wengi) hata wale waliosoma au wanaojiweza kiuchumi ni miaka 40-50. Kati ya sababu kuu zinazopunguza uhai wetu ni afya, unene na kutojua kujiangalia vyema afya zetu.   1-ULAJI Ipo mifumo miwili ya kula. Chakula unachokula na namna unavyokila. ·         Unavyokula. -Kuna kula vyakula vidogo vidogo vyenye madini, vitamini, mafuta nk mara nyingi kwa siku; au kula milo michache (mmoja au miwili) mikubwa ili kujaza tumbo. Ulaji mdogo mdogo husaidia afya na kuingia mwilini vyema kuliko ulaji mkubwa wa mara chache. Tumbo lina musuli zinazofanya kazi kama mashine au mnyama. Gari likijaa sana hupata taabu kwenda. Punda hivyo hivyo. Ulaji mdogo mdogo unaosambazwa mara kadhaa kwa siku  ni bora maana mwili unachambua kila kitu kwa wepesi na haraka.   Unapokula milo michache mikubwa unapalilia zaidi mafuta mwili. (PENDEKEZO la kwanza.  Asubuhi, kuny...