MTANGAZAJI WA EAST AFRICA REDIO AFARIKI DUNIA NYUMBANI KWAKE.
KENNY KIDAGO ENZI ZA UHAI WAKE |
Professor Jay !Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko sana hizi taarifa za kifo cha rafiki yangu KENNY KIDAGO. ..Ambaye nilifahamiana naye tangu akiwa mtangazaji Radio UKWELI (Moro), Tripple A fm, na baadae East Africa Radio upande wa production mpaka mauti yalipomkuta...BROTHER K Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi, jina lake lihimidiwe. ..Pumzika kwa Amani Bro, AMEN!!
Comments
Post a Comment